} });
 


Washtakiwa wanne kwenye kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Geita wamepewa Hukumu ya kifo kwa kosa la kuua kwa kukusudia.

Waliokutwa na kesi ya kujibu katika mauaji hayo yaliyotokea mwaka 2015 ni Alfan Apolnari, Epafra Zakaria, Hashim Sharifu na Kalulinda Bwire.

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imeamuachia huru Habibu Feruzi baada ya ushahidi uliotolewa kushindwa kuthibitisha kuhusika kwake kwenye mauaji hayo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top