KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema wamejipanga kikamilifu kuhakikisha wanaimarisha ulinzi wa...
Divine Radio Live
P FUNK: MAPRODYUZA BADO NI WACHACHE
MTAYARISHAJI wa nyimbo za wasanii wa bongo fleva, Paul Matthysse ‘P Funk’ amesema kwa sasa kuna watengenezaji wengi wa midungo ‘beat...
DRAKE AANIKA CHANZO BIFU NA CHRIS BROWN
CALIFORNIA, MAREKANI RAPA Aubrey Graham maarufu kwa jina la Drake, amefunguka kwa mara ya kwanza chanzo cha mgogoro wake dhidi ya m...
TRA YAVUNJA REKODI NYINGINE KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.987 DESEMBA 2019
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa mara nyingine, imevunja rekodi kwa kukusanya jumla ya kiasi cha sh. trilioni 1.987 kwa mwezi Dese...
JESHI LA MAGEREZA LAJIPANGA KIMKAKATI KUZALISHA CHAKULA CHA WAFUNGWA KWA MWAKA 2020
JESHI la Magereza limejipanga kwa mwaka 2020 kuendelea na utekelezaji wa jukumu la uzalishaji wa chakula cha kutosha cha wafungwa kwa ...
ASKARI POLISI AKATWA UUME NA MKEWE SHINYANGA
Askari polisi aitwaye Kazimir (28) mkazi wa Shinyanga Mjini amenusurika kifo baada ya sehemu zake za siri kukatwa na kitu chenye ncha k...
WAZIRI MKUU AAGIZA MIUNDOMBINU YA SHULE IKAMILIKE MAPEMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema miradi yote ya ujenzi wa miundombinu ya shule ikamilike mapema na kama kuna watendaji walioko liki...
KIWANDA BUBU CHA KUCHENJULIA DHAHABU CHAKAMATWA KAHAMA
Waziri wa Madini Dotto Biteko akishirikiana na osi ya madini ya wilaya ya Kahama amefanya msako katika maeneo ya kuchenjulia dhahabu w...
KABENDERA AMLILIA MAMA YAKE GEREZANI
Wakili Jebra Kambole amesema tayari wamempa taarifa ya msiba wa Mama yake Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera ambae yupo Gerezani.
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 01JANUARI, 2020: RONALDO, AUBAMEYANG, CHILWELL, CALVERT-LEWIN, DEMBELE, XHAKA
Juventus ina mpango wa kurefusha mkataba wa mshambuliaji nyota wa Ureno Cristiano Ronaldo hadi mwaka 2023 - atakapokuwa na umri wa mi...
TRUMP APANDWA NA HASIRA BAADA YA WAANDAMANAJI KUUVAMIA UBALOZI WA MAREKANI NCHINI IRAQ NA KUTAKA KUUCHOMA MOTO
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anatarajia Iraq itatumia vikosi vyake vya usalama kuulinda ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
WAANDAMANAJI WA IRAQ WAVAMIA UBALOZI WA MAREKANI MJINI BAGHDAD
Waombolezaji nchini Iraq wamekusanyika nje ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad kulaani mashambulio ya ndege za Marekani yaliyolenga vi...
RAIS MAGUFULI AWATAKIA WATANZANIA HERI YA MWAKA MPYA 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia Watanzania wote heri ya Mwaka mpya wa 2020 na kuwaomb...
CCM YATANGAZA MCHAKATO KUANDAA SERA, ILANI YA UCHAGUZI 2020/25
Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania kimesema kiko katika mchakato wa kuandika mwelekeo wa sera za CCM kwa mwaka 2020 hadi 2030 ...
WAZIRI KIGWANGALLA : KULETA KIBURI NA JEURI KWENYE MAZINGIRA HAYA NI UPUMBAVU
Baada ya Rais John Magufuli kuagiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. ...