PAPAA MWINYI ZAHERA AELEZA ALIVYOONDOLEWA YANGA KISA MKWASA
Zahera amesema hayo alipokuwa akihojiwa, ambapo amesema alikubali kuachana na Yanga baada ya kuambiwa kuwa awe tayari nafasi ya kocha...
WIZARA YAZUNGUMZIA KUHUSU VIKWAZO VYA MAREKANI
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa hadi sasa hivi haijapokea waraka wowote wa Kidplomasia kutoka...
IGP SIRRO ATOA MAAGIZO KWA MAKAMANDA KUHUSU MAUAJI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amekutana na Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa, kwa lengo la kuweka...
FAHAMU MECHI 15 ZA ASTON VILLA ZINAZOMTEGEMEA MBWANA SAMATTA
Klabu ya Aston Villa imethibitisha kumsajili mshambuliaji Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu kuitumikia klabu hiyo had...
BEKA TITLE AWATANGAZIA VITA MR BLUE, NYANDU TOZZY
Kuanzia upande wa kushoto pichani Beka Title, kati Nyandu Tozzy na kulia ni Mr Blue Msanii wa kundi la B.O.B Micharazo Beka Title, ...
WAFANYAKAZI WANNE GREEN MILES WAKAMATWA NA POLISI
Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha Lake Natron(east) wilayani Longido wanashikil...
MAYWEATHER KUTWANGANA NA McGREGOR NA KHABIB
BONDIA Floyd Mayweather ameibuka na kuthibitisha kwamba atapambana na Conor McGregor na Khabib Nurmagomedov katika pambano la kurejea...
EKODI YA SVEN SIMBA YAMPOTEZA UCHEBE
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa...
MSHITAKIWA AFARIKI MAHAKAMANI
SHUGHULI zilisimama kwa muda katika Mahakama Kuu mjini Mbale nchini Uganda baada ya mtuhumiwa kuanguka na kufariki dunia.
TANZANIA YAPANGIWA WABABE KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022
TIMU ya taifa ya Tanzania imepangwa Kundi J katika mechi za kufuzu Kombe la Dunia ambapo fainali zake zitafanyika nchini Qatar mwaka 20...
SHIZA KICHUYA AANZA KAZI SIMBA SC LEO
Baada ya kuvuna pointi sita muhimu katika michezo miwili ya Ligi Kuu Bara huko Kanda ya Ziwa, kikosi cha Simba leo kinaingia kambini k...
MKWASA: AWASHUSHA PRESHA YANGA, KUIFUNGA SINGIDA UNITED LEO
UNAWEZA ukawa umesahau kutokana na changamoto za Januari lakini Yanga haijashinda mechi yoyote ya Ligi tangu mwaka wa 2020 uanze. Mar...
KOCHA WA YANGA APEWA ONYO KALI
KAMATI ya Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya Saa 72) imetoa onyo kali kwa Kocha wa Yanga Luc Eymael kwa kufanya vitendo na kutoa matamshi...
LISSU: NINAWAONEA HURUMA WADHAMINI WA KESI YANGU
Makamu mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema anawaonea huruma waliomdhamini katika kesi ya uchochezi inayomkabili, kuiomba ...
NJOMBE: MAHAKAMA YAKAMILISHA KUSIKILIZA USHAHIDI WA KESI YA MWANAFUNZI KUVUNJWA UTI WA MGONGO
Kesi namba 141-2019 inayomkabili mwalimu Focus Mbilinyi anayetuhumiwa kumvunja uti wa mgongo aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi M...
STAMICO KUANZISHA MRADI WA KUSAFISHA DHAHABU MWANZA
Imeelezwa kuwa, Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) lipo katika hatua za awali za uanzishwaji wa Mradi wa Kusafisha Dhahabu (Gold Refi...
HALMASHAURI UVINZA YAMKERA NAIBU WAZIRI MABULA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameijia juu halmashauri ya wilaya ya Uvinza mkoa wa Kigoma kwa ...
RAIS MAGUFULI: UCHAGUZI UJAO WA TANZANIA UTAKUWA HURU NA WA HAKI
Rais Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.Amesema...
TAHADHARI: MVUA KUBWA MIKOA YA KUSINI
Leo January 22, 2020 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtw...
WAZIRI AMVAA BOSS MHINDI “MMEPEWA KIWANDA KAMA MNAOKOTA BISCUIT”
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amewapa wiki moja wawekezaji wa kiwanda cha karatasi cha Mufundi kufika ofisini kwak...
AJALI YA BASI NA HIACE KUGONGANA USO KWA USO YAUA NA KUJERUHI KAHAMA
Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali iliyohusisha basi la Napol Express kugongana uso kwa ...
MAREKANI INA JADILI KUWAWEKEA WATANZANIA VIKWAZO KUINGIA MAREKANI
Serikali ya Marekani ina mpango wa kuziongeza Nchi nyingine 7 ikiwemo Tanzania kwenye orodha ya Nchi ambazo Raia wake wamewekewa zuio...
“WALIPANGA KUNIUA SASA NAINGIA VITANI” KIGWANGALLA
January 21, 2019 Waziri Kigwangalla ameandika katika ukurasa wake wa twitter “Kuna limit kwenye uvumilivu, uvumilivu ni hekima l...
“WATU WAMETEGA JIWE KWENYE NJIA YA TRENI” DC AWAPA AGIZO ZITO POLISI
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kisa Gwakisa ameiagiza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya kuchunguza watu waliohusika na dalili za kutak...
SHILOLE KAWEKA MSISITIZO KUCHUKUA UBUNGE IGUNGA “TUKUTANE MJENGONI”
Msanii Shilole ameendelea kuwekea msisitizo kauli yake ya kugombea ubunge huko kwao Igunga ifikapo mwezi wa kumi ambapo amesema an...