Serikali imewataka Wanafunzi wanaosoma China ambao wako likizo nchini Tanzania, kutorudi nchini humo kwanza hadi pale zitakapopatikan...
PICHA: LUGOLA ATOKA TAKUKURU, AHOJIWA KWA MASAA 6
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemaliza kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jiji...
SPIKA NDUGAI ASEMA WANAMSUBIRI ZITTO KABWE AWAELEZE KWANINI ALIANDIKA BARUA KWA BENKI YA DUNIA KUZUIA MKOPO KWA AJILI YA ELIMU NCHINI
Spika wa Bunge, Job Ndugai Leo Ijumaa Januari 31, 2020 amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benk...
WAZIRI MKUU: SERIKALI HAIWEZI KUFUTA UCHAGUZI WOTE WA SERIKALI ZA MITAA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema licha ya kuwepo kwa ugatuaji wa madaraka (D by D), Serikali za Mitaa bado zina wajibu wa kuwahudumi...
RUGEMALILA AFUNGUKA MAZITO MAHAKAMANI
Mfanyabiashara James Rugemalila, amedai mahakamani kwamba ameandika barua kwenda kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA...
CCM NAYO KUMHOJI KANGI LUGOLA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kitamhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola baada ya kutuhumiwa ku...
MTIBWA: TUNAWACHAPA YANGA MAPEMA
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga hawana presha nao kwa kuwa wamejipanga ku...
KISA NYONI, KOCHA SIMBA APANGUA KIKOSI
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderbroeck anatarajia kuivunja safu yake ya ulinzi inayoundwa na Muivory Coast, Pascal Wawa pam...
OFISA ARDHI WILAYANI HAI KIZIMBANI KWA RUSHWA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Hai, Wilbert Mayila ambaye ni ofisa ardhi ...
BABA ATELEKEZA WATOTO 5 ALIOACHIWA
Watoto watano waliotelekezwa na baba yao mzazi, wamekaa ndani nyumbani kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kazima wanapoishi sasa KAT...
MAJIBU YA SERIKALI KUHUSU DHAMANA KWA WANAOTUHUMIWA KWA MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI
Serikali imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa makosa h...
PICHA: KANGI LUGOLA ALIVYOWASILI TAKUKURU KWA AJILI YA KUHOJIWA
Mbunge wa Mwibara na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewasili makao makuu ya ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kup...
MCHUNGAJI ASHAMBULIWA KWA KUSEMA APEWE 10 PERCENT AMFUFUE KOBE BRYANT
Mchungaji Nigel Gaisie wa nchini Ghana ameibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi waliofikiwa na taarifa zake wakimkosoa ...
TEASER: FAST AND FURIOUS 9 KUZINDULIWA RASMI MWAKA HUU (+VIDEO)
Ni Headlines za muendelezo wa msimu wa filamu za Fast and Furious ambapo mwaka huu wanatarajia kutoa toleo la tisa na time hii wa...
NIDA WAMESITISHA KUTOA COPY ZA VITAMBULISHO MTANDAONI
Kama ulikuwa haujaipata hii kutoka NIDA basi nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha z...