Bao pekee la mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), David Molinga Ndama ‘Falcao’ leo limeipa Yanga SC ushindi wa ...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA MTIBWA SUGAR LEO
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
KIKOSI CHA MTIBWA SUGAR KITAKACHOANZA DHIDI YA YANGA LEO
Kikosi cha Mtibwa Sugar kitakachoanza dhidi ya Yanga, mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
UFILIPINO YARIPOTI KIFO CHA KWANZA KUTOKANA NA VIRUSI VYA CORONA NJE YA CHINA
Ufilipino leo imeripoti kifo cha kwanza kutokana na virusi vipya vya Corona nje ya China ambapo serikali ya China imechelewesha kufun...
WIKI YA SHERIA, WAKILI WA SERIKALI AYATAJA MAKOSA YALIYOKITHIRI MANYARA
Wakili mwandamizi wa serikali na mkuu wa mashtaka mkoa wa Manyara Mutalemwa Kishenyi, amesema makosa mengi zaidi kwa mko wa Manyara n...
VIRUSI VYA UGONJWA WA CORONA NCHINI CHINA WASHUSHA BEI YA PEMBE ZA NG’OMBE KAHAMA
Wafanyabiashara wa Pembe za Ng’ombe Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, wamesema kuwa, kuibuka kwa virusi vya ugonjwa wa corona nchini ch...
MIILI 16 YA WAUMINI WALIOFARIKI WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO YATAMBULIWA, KUAGWA KESHO UWANJA WA MAJENGO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema miili ya watu 20 waliofariki kwenye kongamano la Mtume na Nabii Mwamposa, itaagwa ke...
PICHA : MUONEKANO WA UWANJA WA MAJENGO, MOSHI BAADA YA IBADA YA MTUME MWAMPOSA KUKANYAGA MAFUTA YA UPAKO
Muonekano wa Uwanja wa Majengo, Moshi baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 ku...
MTUME BONIFACE MWAMPOSA ATIWA MBARONI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema wamemkamata Mtume Boniface Mwamposa Jijini Dar es salaam alipokuwa amekim...
MTUME MWAMPOSA AAGA WAUMINI WAKE KUTII WITO WA JESHI LA POLISI MOSHI
Kiongozi wa kanisa la Inuka Uangaze, Nabii na mtume Boniface Mwamposa amelazimika kusitisha ibada kwa ajili ya kuitikia wito wa Polisi ...
CCM KAHAMA WAADHIMISHA MIAKA 43 KUANZISHWA KWAKE KWA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Katika kuelekea katika maadhimisho ya miaka 43 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) kamati ya siasa ya CCM wilaya ya Kahama mkoan...
IDADI YA VIFO KUTOKANA NA VIRUSI VYA CORONA YAFIKA 304 CHINA
Idadi ya vifo kutokana na janga la virusi vya corona nchini China imefikia watu 304 kufikia jana usiku, baada ya watu 45 kufariki duni...
MPINA ATOA SIKU 7 VIGOGO SERIKALINI KUKUTANA KUMALIZA DHULUMA KWA WAFUGAJI
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ametoa siku saba kwa Daktari Mkuu wa Mifugo Tanzania (CVO), Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa ...
POLISI TANZANIA YAMSAKA MTUME MWAMPOSA VIFO VYA WAUMINI 20 WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Salum Hamduni, amesema kuwa Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka Mtume Boniface Mwamposa, aliyetow...
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WATU 20 WAKIKANYAGA MAFUTA YA UPAKO MOSHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya Watu 20 waliofariki dun...
WATU 20 WAFARIKI DUNIA WAKIGOMBANIA MAFUTA YA UPAKO KWENYE IBADA YA MAHUBIRI YA MTUME 'BULDOZA'
Watu 20 wamefariki dunia jana jioni Jumamosi Februari 1,2020 katika ibada ya mahuburi wakati wa harakati za kukanyaga mafuta ya upako...