Umoja wa Wavuvi wa Samaki wa mkoani Mara na mkoa jirani wa Mwanza wamelalamikia vitendo vya ujambazi vinavyofanywa na baadhi ya wavuv...
MAHAKAMA YATOA HATI YA KUKAMATWA KWA JACOB ZUMA
Mahakama ya juu ya Pietermaritzburg nchini Afrika Kusini imetoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma baada ya ...
SERIKALI YAWATAKA WAAJIRI WA MAKOCHA KUTOKA NJE KUTOA TAARIFA ZAO TRA ILI WALIPE KODI
Serikali imezitaka timu zote za mpira zinazoajiri makocha na wachezaji kutoka nje ya nchi kutoa taarifa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania ...
WAZIRI MHAGAMA AWAFUNDA WATUMISHI WA OFISI YAKE
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama am...
SERIKALI KUPANDA MITI BILIONI 1 MLIMA KILIMANJARO
SERIKALI imeandaa programu mbalimbali za kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti zaidi ya bilioni moja katika eneo la Mlima ...
RAIS MAGUFULI: TUSIZUIE SHUGHULI ZA KIDINI NA BADALA YAKE YASHUGHULIKIWE MAPUNGUFU YALIYOJITOKEZA
Rais Magufuli amesema shughuli za kidini ama kiimani, hazipaswi kufungwa kutokana na maafa ya vifo vya watu 20 mkoani Kilimanjaro, yali...
MBUNGE ATAKA WABAKAJI WAHASIWE, SERIKALI YAGOMA YASEMA ADHABU ZILIZOPO NI KALI NA ZINATOSHA
NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, DODOMA Serikali imesema haiwezi kuongeza adhabu kali kwa wabakaji zikiwemo adhabu za kuhasiwa kwani zili...
WANAWAKE USHETU WAKERWA NA TATIZO LA KUJIFUNGULIA NJIANI
Tatizo la kufuata huduma za matibabu umbali mrefu kwa wakazi wa kata ya kinamapula katika halmashauri ya Ushetu limetajwa kuchangia ak...
WANAFUNZI 14 WAFARIKI KWA KUKANYAGANA KENYA
Wanafunzi 14 wamefariki dunia huku wengine 39 wakijeruhiwa katika Shule ya Msingi Kakamega nchini Kenya kutokana na kukanyagwa na wenza...
SIMBA YATAKA UBINGWA NA REKODI YA POINTI 100
Wakati ikiendelea kukosa huduma za mawinga wake wapya Luis Miquisone na Shiza Kichuya, Simba itashuka katika Uwanja wa Uhuru leo ikiw...
HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM LEO
Leo februari 4 kutakuwa na michezo miwili ya ligi kuu ambapo simba itamenyana na polisi Tanzania na mchezo mwingine ni wa maafande wa J...
PSG KUMKOSA NEYMAR LEO
PARIS Saint-Germain (PSG) itamkosa mshambuliaji wake raia wa Brazil, Neymar Jr kwenye mchezo wa Ligue 1 utakaochezwa leo dhidi ya Nante...
BEKA FLAVOUR: UMBEA NDO UMESABABISHA NIACHANE NA MAMA WATOTO WANGU
Msanii wa bongo fleva Beka Flavour, naye ametangaza kuachana na mama watoto wake kwa sababu ya watu kufuatilia sana mahusiano yao.
WANAJESHI 10 WA TANZANIA WAPOTEZA MAISHA WAKATI WAKIFANYA MAZOEZI
Jeshi la Ulinzi la Tanzania limetangaza kuwa askari 10 wa jeshi hilo wamepoteza maisha wakati wakifanya mazoezi.
MALAWI: MAHAKAMA YAFUTA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, YAIPA TUME SIKU 150
Mahakama ya Katiba ya Malawi imeyafuta matokeo ya uchaguzi wa rais wa Mei 2019, uliompa ushindi Rais Peter Mutharika.
MBUNGE WA KAHAMA MJINI ‘CCM’ MH. KISHIMBA, ALIOMBA BUNGE KURUHUSU WAKULIMA KUUZA ZAO LA BANGI – VIDEO
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba amemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene kuwaruhusu Wakulima wa bangi k...
KATAVI: MTOTO WA DARASA LA 3 APEWA MIMBA NA DEREVA BODABODA
Mtoto mwenye umri wa miaka 13 ambaye alikuwa akisoma katika Shule ya Msingi Msakila Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, ...
RAIS MAGUFULI AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA KWA MSIBA WA MOI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, kufuatia k...
RAIS MSTAAFU WA KENYA DANIEL ARAP MOI AFARIKI DUNIA
Daniel Arap Moi, rais wa pili wa Kenya ameaga dunia leo Jumanne. Kifo chake kimetangazwa na Rais Uhuru Kenyatta, katika tangazo lililor...