Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameielekeza kamati ya Waamuzi kukutana na Bodi ya Ligi kutathmini...
Divine Radio Live
VIDEO: TAKWIMU ZAONYESHA WATANZANIA 85 WANASUBIRI KUNYONGWA CHINA KWA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA – KAIMU KAMISHNA DCEA
Kwa mujibu wa kaimu kamishina wa mamlaka ya dawa za kulevya (DCEA) hapa nchini Tanzania James Kaji, amethibitisha kuwa mbalina kufani...
MIKOA 9 KUKUMBWA NA MVUA KUBWA NCHINI, TMA YATOA TAHADHARI NA ATHARI ZITAKAZO JITOKEZA
Mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), imetoa utabiri wa siku tano leo tarehe 05/02/2020 na angalizo la Mvua kubwa kunyesha kwa baadhi...
VIDEO: “BANGI INAFAIDA” FID Q KAELEZA FAIDA ZAKE
Mjadala wa bangi uliibuliwa tena juzi na Mbunge wa Kahama Jumanne Kishimba Bungeni akitaka Tanzania iruhusu Wakulima walime bangi...
EWURA YATANGAZA BEI YA MAFUTA KUPANDA
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji imetangaza ongezeko la bei kwa mafuta yanayoingilia Bandari ya Dar es Salaam kutokan...
LULU DIVA ADAI KIGEZO CHA MWANAUME WAKE NI PESA
Bosslady wa Bongo Fleva Lulu Diva, amesema huwa anamtambua mwanaume aliyekuwa naye kwenye mahusiano kama sio mtu sahihi kwake, pale a...
KESI YA TITO MAGOTI USHAHIDI KUTOKA NJE YA NCHI
Wakili wa Serikali Mkuu Monica Mbogo, amesema kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Afisa wa Kituo cha Sheria na Haki...
YANGA YAMBANIA MANULA
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula hajakaa langoni kwenye klabu hiyo tangu alipodaka katika mchezo wa ligi wa Simba dhidi ya Yanga,...
AJIUA KISA DENI LA MILIONI 889
Aliyekuwa Meneja wa Chama cha Ushirika cha 'Ngara Farmers Cooperative' mkoani Kagera, Hamphrey Kachecheba mwenye umri wa miak...
TANZANIA-TURKEY FOR STRONGER ECONOMIC TIES
Tanzania and Turkish investors have been challenged to exploit the cordial relations between the two countries by jointly executing eco...
WAFANYABIASHARA MBEYA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA
NA IMANI ANYIGULILE, MBEYA Wafanyabiashara mkoani Mbeya wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo ndani ya mkoa hasa kwa kufungua biasha...
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA JIJINI DODOMA ZIMEHARIBU MIUNDOMBINU YA BARABARA
NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, DODOMA Ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Azimio kata ya Mpunguzi barabara ya Dodoma kwenda Ir...
FIFA IMEMFUNGIA MAISHA MCHEZAJI WA UGANDA
Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA limetangaza kumfungia maisha kujihusisha na soka aliyekuwa mchezaji wa zamani wa club ya Kakamega...
MAFURIKO YAUA WATU WANNE SONGWE
Leo February 5, 2020 Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Songwe, George Salala, amesema watu wanne wamefariki dunia baada ya ku...
SHIRIKA LA RELI LASITISHA SAFARI ZA DSM – DODOMA
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesitisha huduma za usafiri wa treni ya abiria na mizigo kutoka DSM kwenda Dodoma kutokana na uharib...
MASAUNI: POLISI HAINA PESA YA KUFUNGA CCTV
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amewataka Wabunge kushirikiana na wadau mbalimbali katika maeneo yao kw...
VIGOGO WENGINE 6 WA JESHI LA ZIMAMOTO WAWASILI TAKUKURU MAKAO MAKUU DODOMA KUHOJIWA
NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, DODOMA Waliokuwa wajumbe wa kamati ya utekelezaji wa makubaliano iliyosainiwa tarehe 22,Agosti ,2019 ka...
DKT. ABBASI ASISITIZA MAGEUZI YA KIUTENDAJI KWA MENEJIMENTI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.Hassan Abbasi amewataka viongozi wa menejimenti wa Wizara hiyo kufanya ...
MPASUKO MKALI WAINYEMELEA MAREKANI
Rais Trump kususia mkono wa Spika Pelosi na Pelosi kumjibu kwa kuichana hotuba yake ni baadhi tu ya vitimbi vilivyodhihirisha mgawanyik...
SHILINGI BILIONI 1.5 KUJENGA CHUO CHA VETA TABORA (UYUI)
Halmashauri ya Wilaya ya Tabora(Uyui) limeishukuru Serikali kwa kuwapatia kiasi cha shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo ch...
MAHAKAMA YA IRAN YAMHUKUMU KIFO JASUSI WA CIA
Msemaji wa Idara ya Mahakama nchini Iran Bw. Gholam Hossein Esmaili, amesema Mahakama Kuu ya nchi hiyo imemhukumu kifo raia mmoja wa Ir...
RAIA BURKINA FASO KUPATIWA SILAHA KUPAMBANA NA WANAMGAMBO WENYE UHUSIANO NA MAKUNDI YA KIGAIDI
Wabunge nchini Burkina Faso wamepitisha kwa kauli moja muswada utakaowezesha raia wa kupewa silaha ili kupambana na makundi yenye ya wa...
IRAQ: MAANDAMANO YASABABISHA VIFO 536 NDANI YA MIEZI 4
Kamati ya haki za kibinadamu ya bunge la Iraq imetoa taarifa ikisema, maandamano yaliyotokea katika sehemu mbalimbali za Iraq katika mi...
PALESTINA YAKARIBISHA UUNGAJI MKONO WA EU NA AU KUKATAA MPANGO WA AMANI WA MAREKANI KUHUSU MASHARIKI YA KATI
Palestina imepongeza Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika kwa uungaji mkono wao kwa Palestina kukataa mpango wa Marekani kuhusu amani ya M...
WATU WALIOFARIKI DUNIA KWA VIRUSI VYA CORONA WAFIKIA 425 NCHINI CHINA
Idadi ya watu waliofariki dunia kwa ugonjwa unaotokana na virusi vya Corona imefikia 425.
NABII NA MTUME BONIFACE MWAMPOSA, WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema watu wanane akiwemo Nabii na Mtume Boniface Mwamposa wameachiwa kwa dhamana baada ya kuhojiw...