Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania (THBUB) imeeleza masikitiko yake kuhusu kauli zinazotolewa na baadhi ya viongo...
TFF YAMFUNGIA MUAMUZI MSAIDIZI WA SIMBA vs NAMUNGO
TFF imetangaza kumfungia kwa miaka 3 muamuzi msaidizi Kassim Safisha kwa kosa la kushindwa kutafsiri sheria ya kuotea (Offside) wakat...
MKE WA WAZIRI MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUUA MKWE WAKE WA KWANZA
Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane alipandishwa kizimbana jana kwa tuhuma za kumuua mkwe wa kwanza wa kiongozi huyo siku mb...
TANZANIA YASEMA KUNA TOFAUTI KATI YA MAKOSA YA JINAI NA MAKOSA YA KITAALUMA
Tanzania imeieleza Tume ya haki za binadamu na watu wa Afrika ya Umoja wa Afrika kuwa kuna tofauti kati ya makosa ya kitaalamu na mak...
RAIS MAGUFULI AWAPA POLE WAATHIRIKA WA MAFURIKO LINDI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewapa pole wananchi walioathiriwa na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni mkoani Lindi.
HATIMAYE BERNARD MEMBE AHOJIWA CCM, "NIMEKUWA MTU WA FURAHA KUBWA YA AJABU"
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema amekuwa mtu wa furaha baada ya kuhojiwa na Kamati ya ...
MTOTO WA UMRI WA SIKU MOJA AAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
Mtoto mchanga nchini China ameambukizwa virusi vya corona saa 30 baada ya kuzaliwa, kisa chenye kuhusisha mtoto mchanga zaidi kuwahi ku...
"KINGWENDU ALIKURUPUKA"-SENGA
Baada ya mchekeshaji Kingwendu kutangaza nia yake ya kuendelea kugombea Ubunge kwa mwaka huu 2020, amepingwa na mchekeshaji mwenziye ...
MBOWE AHOJI TUME HURU NA RUHUSA YA KUFANYA KAMPENI
Mbunge wa Hai kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amehoji ni lini vyama vya siasa nchini vitaruhusiwa ...
ANUSURIKA KIFUNGO JELA KWA KOSA LA KUINGIA NA MBWA MSIKITINI
Mwanamke mwenye akili punguani amenusurika kifungo jela nchini Indonesia kwa kukufuru baada ya kumbeba mbwa na kumuingiza msikitini.
LIVE: MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA (LAW DAY) - JNICC DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 06 Febuari, 2020 anashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO MKOANI LINDI, ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini wahakikishe wananchi waliokuwa wakiishi mabondeni ambao waliokol...
POLISI ALIYEKAMATWA NA MAGENDO ACHUKULIWE HATUA HARAKA- RC SONGWE
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ameagiza Afisa wa Jeshi la Polisi wa Tunduma aliyekamatwa na gari alilomiliki kwa ...
BENARD MEMBE ATAMANI WAANDISHI WA HABARI WAWEPO WAKATI AKIHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM
Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema kikao kitakachomuhoji kuhusu tuhuma za kimaadili zinazomkabili kitakuwa muhimu ...
RAIS WA MALAWI, MUTHARIKA KUKATA RUFAA UAMUZI WA KUFUTA UCHAGUZI
Rais wa Malawi, Peter Mutharika amekosoa uamuzi wa Jumatatu wa mahakama ya kikatiba kuwa ulikuwa wenye kujaa dosari ambazo zilipasw...
RAIS TRUMP AFUTIWA MASHTAKA, MCHAKATO WA KUMUONDOA WAGONGA MWAMBA
Rais Donald Trump ameondolewa mashtaka yaliyokuwa yanamkabili na kumaliza mchakato wa kumuondoa madarakani mchakato ambao uliigawanya...