Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema kuna uhusiano kati ya mabadiliko ya hali ya hewa na uvamizi wa nzige nc...
WAZIRI JAFO:HALMASHAURI KOTE NCHINI ZAKUSANYA JUMLA YA TSH.BILIONI 356.81, VIONGOZI WANAOLALA TU HAWAKUSANYI MAPATO WAJIANDAE KUONDOKA
NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, DODOMA Kwa Mwaka wa Fedha 2019/20 Halmashauri Kote nchini zilipanga kukusanya Shilingi Bilioni 765.48 kuto...
NYAMAPORI SASA KUUZWA KIHALALI KWENYE MABUCHA, BEI YA WANYAPORI WA MBEGU NAYO IMESHUKA
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imepitisha kanuni za kuanzisha mabucha ya nyamapori, na pia imerekebisha kanuni za uanzi...
MWAMPOSA ASITISHA MAKONGAMANO YAKE KUTOKANA NA TUKIO LA WATU 20 KUFARIKI KWA KUKANYAGANA
Kiongozi wa Kanisa la Inuka Uangaze, Nabii na Mtume Boniface Mwamposa amesema kwa sasa amesitisha makongamano yote kutokana na tukio li...
IDADI YA WALIOFARIKI KWA VIRUSI VYA CORONA CHINA YAFIKA WATU 811
Idadi ya waliokufa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona nchini China imeongezeka kwa vifo 89 na kufikia watu 811.
MANGULA ATANGAZA KUWAFYEKA WANACHAMA WANAOJIPITISHA MAJIMBONI
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula ametangaza kuwafyeka mapema wanachama wanaojipitisha kwenye majimb...
MWANAJESHI AWAPIGA RISASI NA KUWAUA WATU 26 NCHINI THAILAND
Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa nchini Thailand baada ya kupigwa risasi kiholela na mwanajeshi mmoja wa nchi hiyo kati...
MGUMBA: “WAKULIMA WA ZAO LA MUHOGO WALIME KWA TIJA”
Wakulima wa zao la muhogo nchini wameelekezwa kulima kwa tija ili waweze kutosheleza masoko ya ndani na nje ya nchi, huku wakihimizwa k...
UJENZI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA WAPAMBA MOTO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza...