Hiki hapa Kikosi rasmi cha Azam FC dhidi ya Polisi Tanzania mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.
NZIGE WAKIVAMIA ENEO LA KM 1 WANAKULA CHAKULA CHA WATU 35,000
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa Misaada ya Kibinadamu na Masuala ya Dharura (OCHA), Bwana Mark Lowcock amesema wimbi la nzige waliozin...
PENTAGON: ASKARI 109 WA MAREKANI WALIPATWA NA UGONJWA WA UBONGO KATIKA SHAMBULIZI LA MAKOMBORA LA IRAN
Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaouguza majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moj...
RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI ALIYECHANA QURAN HADHARANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amemuagiza Waziri wa TAMISEMI Seleman Jafo, kuhakikisha anamuandikia b...
UPANDE WA MASHITAKA WAOMBA KUKUTANA NA ERICK KABENDERA KWA AJILI YA KUKAMILISHA MAJADILIANO YA KUMALIZA KESI YAKE
Hatima ya kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera itajulikana Februari 17, 2020 baada ya Upande wa Ma...
IDADI YA WALIOFARIKI KUTOKANA NA VIRUSI VYA CORONA NCHINI CHINA IMEONGEZEKA NA KUFIKIA VIFO 1,016
Idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa virusi vipya vya corona imeongezeka leo na kupindukia 1,016, wakati Shirika la Afya Ulimwenguni - ...
VIKOSI VYA SYRIA VYAKAMATA BARABARA MUHIMU KASKAZINI MAGHARIBI MWA NCHI HIYO
Serikali ya Syria na vikosi vya washirika hii leo vimelikomboa eneo la mwisho la barabara moja kuu kutoka mikononi mwa waasi kaskazini ...
YAELEZWA HALI MBAYA YA KIAFYA YA PELE YAPELEKEA KUSHINDWA KUTOKA NYUMBANI
Mchezaji maarufu wa soka nchini Brazil na ulimwengu kwa jumla Pele hayuko radhi kuondoka nyumbani kwake kwasababu hawezi kutembea bil...
KESI YA ERICK KABENDERA KUENDELEA TENA LEO
Leo Februari 11, 2020, Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera, itatajwa tena katika Mahakama ya Hakim...
WAKENYA KUNYWA MAZIWA, SODA NA VITAFUNWA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA KENYA DANIEL ARAP MOI
Waombolezaji katika mazishi ya Rais wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi wamehimizwa kuwahi mapema kwenye mazishi ili wapate maziwa na v...
JAJI WARIOBA AZUNGUMZIA YANAYOENDELEA CCM, AGUSIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema yanayotokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa sasa si kitu kipya, na kwamba hakun...
PICHA: WASTAAFU MKAPA NA KIKWETE WALIVYOWASILI KENYA KUMZIKA MOI
Leo February 11, 2020 Marais wastaafu Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete wamewasili Jijini Nairobi kwa ajili ya mazishi rasmi ya ...
JACKIE CHAN KUTOA FEDHA KWA KWA ATAKAYEGUNDUA KINGA YA CORONA
Nyota wa filamu nchini China, Jackie Chan ametangaza kuwa atatoa zawadi ya Yuan milioni 1 (zaidi ya Tsh. milioni 300) kwa mtu au kiku...
VIDEO: YA DOGO JANJA AKIMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE KWENYE MELI
Msanii Dogo Janja amevisha pete ya uchumba mpenzi wake waliyedumu naye kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa Muda sasa.
LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigambon...