ALIYETUMBULIWA KWA VYETI FEKI ADAKWA KWA MAUAJI
Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Dezber Kahwa mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji Kibengwe, Bukoba Vijijini kwa tuhuma...
WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA RASMI HOSPITALI YA RUFAA MAWENI
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa ya mkoa maweni iliyopo mkoani Kigoma...
UTURUKI YAAPA KULIPIZA KISASI DHIDI YA UTAWALA WA SYRIA
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema wanaejshi wa Uturuki wataendelea kuyajibu mashambulizi ya serikali ya Syria, wakati pande...
ZAIDI YA VIBANDA 30 VYATEKETEA KWA MOTO MAKOROBOI JIJINI MWANZA
Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku ...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC ) YAKANUSHA KUTOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema haijatoa wala kutangaza ratiba yoyote ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2020.
CORONA YAPEWA JINA JIPYA
Idadi ya watu waliofariki dunia nchini China kutokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona imepindukia 1,113 huku maafisa wa...
WAKENYA WAMIMINIKA TANZANIA KUPATA MATIBABU
Maboresho katika sekta ya afya yanayoendelea kufanywa na Serikali ya Awamu ya Tano, yamewafanya raia kutoka nchi jirani ya Kenya kumimi...
MKIWA KIMWANGA AJITOSA UENYEKITI WANAWAKE ACT WAZALENDO
AFISA wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama Risasi Semasaba akimkabidhi fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo ...
ATCL YAANDAA SAFARI MAALUM KWA WAFANYABIASHARA
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), limeandaa safari kwa wafanyabiashara wazawa itakayofanyika Machi 4, 2020 kwenda Mumbai India kwaajili...
SERIKALI YA TANZANIA YAMSAMEHE DUDUBAYA....."BASATA HAIKUWA NA MAMLAKA YA KUMFUNGIA......."
Serikali ya Tanzania imemsamehe msanii, Godfrey Tumaini maarufu Dudubaya baada ya kumfungia kwa muda usiojulikana kujihusisha na kazi ...