Leo michezo ya ligi kuu ya vodacom inaendelea katika viwanja mbalimbali hapa nchini na hii hapa ndio ratiba;
SPIKA JOB NDUGAI KUZINDUA PROGRAMU YA KULIOMBEA TAIFA, RAIS MAGUFULI KESHO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kesho anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Kuliombea Taifa ambay...
VIFO VYA CORONA VYAFIKIA 1523 CHINA
Beijing China leo imetangaza kuwa maambukizi ya virusi vya Corona yamefikia visa 66,492 huku idadi ya waliokufa imepanda hadi watu 1,...
VIRUSI VYA CORONA VYAINGIA AFRIKA, KISA CHA KWANZA CHATHIBITISHWA MISRI
Wizara ya afya ya Misri imetangaza kisa cha kwanza kilichothibitishwa cha mgonjwa wa virusi vya Corona kinachokuwa cha kwanza pia baran...
HII NDIO KAULI YA MANCHESTER CITY BAADA YA KUFUNGIWA KUSHIRIKI UEFA KWA MISIMU MIWILI
Manchester City imepigwa marufuku kushiriki katika ligi ya mabigwa Ulaya kwa misimu miwili ijayo baada ya kupatikana kwamba wamekiuka...
NDUGULILE APIGA MARUFUKU MAOMBI YA DAWA KWA NJIA YA KARATASI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amepiga marufuku kwa watumishi wa afya katika...
VIDEO: NZIGE KUSABABISHA NJAA AFRIKA MASHARIKI, WAZIRI MKUU AELEZA SERIKALI ILIVYOJIPANGA
Kanda ya Afrika Mashariki inaweza kukumbwa na njaa kama wimbi la nzige wanaokula mimea kwa haraka na malisho ya mifugo hawatadhibitiw...
VIRUSI VYA CORONA: KISA CHA KWANZA CHA CORONA AFRIKA CHATHIBITISHWA MISRI
Wizara ya afya ya Misri imetangaza kisa cha kwanza kilichothibitishwa cha mgonjwa wa virusi vya Corona kinachokuwa cha kwanza pia bar...
SERIKALI YA TANZANIA YATAJA SABABU KUTOWAREJESHA WANAFUNZI 420 WALIOPO CHINA
Serikali ya Tanzania imesema haina mpango wa kuwarejesha nchini wanafunzi 420 waliopo mji wa Wuhan, nchini China kwa kuwa nchi zilizo...
MANGULA: CCM ITAFUTA UPINZANI UCHAGUZI MKUU 2020
Makamu mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula amesema chama hicho tawala nchini Tanzania kitashinda viti vyote vya udiwani, ubunge na...
MGANGA WA KIENYEJI ALIYESABABISHA WANAWAKE 29 WABAKWE NA KUUAWA ATIWA MBARONI
Mganga wa kienyeji anayedaiwa kusababisha wanawake 29 kubakwa na kisha kuuawa baada ya kutoa masharti ya dawa kwa mtu aliyekua akitaka...
WANAFUNZI 700 WA SHULE YA SEKONDARI SHINYANGA 'SHY BUSH' WAANDAMANA ZAIDI YA MASAA MANNE KWENDA KWA MKUU WA MKOA
Wanafunzi zaidi ya 700 wa shule ya Sekondari Shinyanga maarufu 'ShyBush' wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wameandamana hadi o...
MKE WA RAIS WA NAMIBIA ATANGAZA KUGAWA UTAJIRI WAKE
Katika kuondoa mifumo ya ubaguzi na kukosekana usawa kati ya wanaume na wanawake nchini humo, mke wa Rais wa Namibia aamua kuchangia ...
ADAKWA AKIIBA SADAKA KANISA (+PICHA)
February 14, 2020 Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Peter Muiya Irungu anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuiba sadaka...
RC MGHWIRA AAGIZA MKURUGENZI ASILIPWE MSHAHARA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira ameagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga, Zefrin Lubuva asilipwe mshahara wa ...
UEFA YAIFUNGIA MANCHESTER CITY
Umoja wa vyama vya soka Ulaya (UEFA) leo (jana) umetangaza kuifungia club ya Man City ya England kwa misimu miwili mfululizo kwa kute...