Askari wa JWTZ Wilayani Nachingwea, Lindi Pascal Lipita(28), amefikishwa Mahakamani akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi Askari mwen...
ZITO KABWE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekutwa na kesi ya kujibu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi yake ya uchochezi i...
LIVE: ZITTO KABWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe muda huu anazungumza na waandishi wa habari, bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.
WATOTO WAFARIKI KWA KULA VITAFUNWA VILIVYOPIKWA KWA DAWA YA KUULIA WADUDU
Vitafunwa aina ya Kabalagala Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada ya kula kitaf...
WAISLAMU NCHINI CHINA WAZUILIWA KUFUGA NDEVU KUFUNIKA USO NA KUTIMIA INTERNET, SABABU ZAELEZWA
Stakabadhi iliyoonyesha jinsi China inavyowazuilia maelfu ya waislamu katika taifa hilo kutumia mitandao ya kambi maalum pamoja na k...
ALIYEKUWA KATIBU WA CHADEMA DKT. VICENT MASHINJI ATANGAZA KUHAMIA CCM RASMI
Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vicent Mashinji ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Februari 18, 2020.
SOKO LA TEGETA LATEKETEA KWA MOTO
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vibanda saba katika soko la Tegeta Nyuki Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
ZITO KABWE AREJEA NCHINI
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jana Jumatatu February...
LUKUVI AMSIMAMISHA KAZI OFISA ARDHI ALIYETAJWA NA RAIS MAGUFULI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi amemsimamisha kazi ofisa ardhi wa Wilaya ya Kigamboni ambaye siku kadh...