Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia anasema ni ndoto za alinacha yeye kurudi Chama Cha Mapinduzi kwani kwa kufanya hivy...
CHINA: MKURUGENZI WA HOSPITALI YA WUHAN AFARIKI KWA VIRUSI VYA CORONA
Mkurugenzi wa Hospital Wuhan, China, Liu Zhiming amefariki dunia kwa ugonjwa wa Corona, taarifa imetolewa na Viongozi wa eneo hilo na...
RAIS PUTIN WA URUSI AMEMFUTA KAZI MAKAMO WAKE
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amemfukuza kazi msaidizi wake Vladislav Surkov.
LIBYA " HAKUNA MELI YA UTURUKI ILIYOPIGWA"
Kiongozi wa bandari nchini Libya anayetambulika na serikali ya makubaliano ya kitaifa iliyohalalisha na Umoja wa Mataifa, amesema mi...
REAL MADRID YASAJILI KINDA WA MIAKA 18 KUTOKEA FLAMENGO
Matembo wa soka la Uhispania, klabu ya soka ya Real Madrid imemwagisha wino na kumuongeza kwenye kikosi chake nyota (18), kiungo kuto...
KIJANA AFARIKI DUNIA KWA KUNYWA POMBE KUPITA KIASI SHINYANGA MJINI
Mkazi wa Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, Nkuba Mawe (27) amekutwa amefariki dunia kwenye vibaraza vya maduka katika mtaa w...
NANDI MAN WISHES HIMSELF RIP ON FACEBOOK THEN HANGS SELF
Dennis Yego Kogo, from Kabiyet in Nandi County who committed suicide on February 19,2020. A 24-year old man has committed suicide ...
GUNMEN ATTACK BUS IN MANDERA COUNTY
A Moyale Raha bus headed to Nairobi from Mandera was Wednesday attacked by suspected Al-Shabaab militants.
JACQUELINE WOLPER ATUHUMIWA KUIBA MWANAUME WA MTU
Mtanzania anayetoka na mzungu aliyempita miaka 32 Azzy Super amesema msanii Jacqueline Wolper alimuibia mwanaume wake wa zamani ambaye ...
'NCCR MAGEUZI TUNAKUJA NA K YA 4' - MBATIA
Mbunge wa Vunjo kupitia Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia, amesema kuwa chama hicho kilipambana kuleta hoja mpya ya elimu ambayo kw...
MWANAHARAKATI AAMURIWA KUKAMATWA MUDA MCHACHE TU, BAADA YA MAHAKAMA KUMFUTIA MASHITAKA
Waendesha mashitaka wa Uturuki wametoa waranti mpya ya kukamatwa kwa mwanaharakati Osman Kavala, muda mchache baada ya kuondolewa mas...
PREMIERE: DAWA YAMBADILISHA KUWA ALBINO "ANAPANDISHA MAJINI, NGOZI KAMA NYOKA INAPUKUTIKA"
Hafidh Damson Masokola (57) mkazi wa Tabora miaka 10 iliyopita inasemekana aliugua Malaria na kutumia dawa aina ya Metakelfine hiyo ili...
KESI YA UFISADI NA ULAGHAI INAYOMKABILI WAZIRI MKUU ISRAEL KUANZA MARCH 17
Kesi inayomkabili Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa muda mrfeu, inatarajiwa kusikilizwa Machi 17...
WAZIRI MKUU ANATARAJIA KUWASILI MKOANI KAGERA KWA ZIARA YA SIKU MBILI
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassimu Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku mbili katika mkoa wa Kagera yenye l...
KIKAOKAZI: WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene(kushoto) akimfafanulia jambo Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP),Simon Sirro, leo F...
MADAKTARI KUKUTANA NA RAIS MAGUFULI KESHO
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kinatarajia kukutana na kuzungumza na Rais John Magufuli, ambapo miongoni mwa mambo watakayomueleza ...
WALIOFARIKI KWA VIRUSI VYA CORONA WAFIKA 2000
Tume ya Afya ya China imeripoti kuwa idadi ya vifo kutokana na virus vya Corona imefikia 2,004, huku idadi ya maambukizi ikiongezeka ha...
MKE WA RAIS WA UGANDA ATAKIWA KUFIKA MBELE YA BUNGE KUHOJIWA
Spika wa bunge la uganda ametoa wito kwa mke wa raia wa Uganda ambaye pia ni Waziri wa Elimu, Janet Museveni kufika mbele ya chombo hic...
MAHAKAMA YAHALALISHA MLINZI ALIYEMTAKA WAZIRI KUPANGA FOLENI KUFUKUZWA KAZI
Mahakama nchini Kenya imehalalisha aliyekuwa mlinzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Daizy Cherogony kufukuzwa kaz...
NZIGE WA JANGWANI KUVAMIA TENA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Afrika Mashariki (IGAD) imezitahadharisha nchi za Afrika Mashariki dhidi ya uvamizi wa awamu ya pili wa...
KATIBU UVCCM MULEBA AKUTWA AMEKUFA
Jeshi la polisi mkoani Kagera limeanza uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Kata...
RC MAKONDA AKUTANA NA UBALOZI WA UTURUKI PAMOJA NA JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI HUMO
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo (jana) February 18 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uturuki Nchini Ta...