PYONGYANG, KOREA KUSINI KOREA Kusini imeripoti ongezeko la maambukizi mapya ya virusi vya Corona 123 na kufanya walioambukizwa kufi...
HAZARD HATARINI KUWAKOSA CITY, BARCELONA
MADRID, HISPANIA KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Real Madrid, Eden Hazard, yupo hatarini kuukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dh...
KIJANA AFUNGWA GEREZANI KWA KUMUINGILIA NG’OMBE
Leo February 24, 2020 Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 23 amehukumiwa kifungo cha miezi nane gerezani na Mahakama ya Mji wa Kapengu...
VIDEO: MWANAMKE ALIYEWAOA WANAUME WATATU “NIMEWAPA NYUMBA, NINA MIMBA, NATAKA MUME WA NNE”
Ni muendelezo wa story ya Mwanamke wa Uganda, Ann Grace Aguti(36) ambaye amewaoa Wanaume watatu na kumpa kila mmoja wao nyumba moja k...
BREAKING: MWANDISHI KABENDERA AACHIWA HURU, ALIPA MILIONI 100, ADAIWA MIL. 173
Leo February 24, 2020 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mwandishi wa Habari, Erick Kabendera kulipa fidia na faini ya...
ONGEZEKO LA SANGARA ZIWA VICTORIA LAISHTUA CCM, YATOA MAAGIZO MAZITO
CHAMA cha Mapinduzi kimeshtushwa na ongezeko kubwa la samaki aina ya Sangara ikiwa ni miaka mitatu tu tangu Serikali ya awamu ya tano k...
HATIMA YA TUNDU LISSU KUHUSU UBUNGE WAKE KUJULIKANA KESHO
Mahakama Kuu kesho itaanza kusikiliza maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kumruhusu kwenda Mahakama ya Rufani...
EVERTON YATANDIKWA 3-2 NA ARSENAL
Kombora la Pierre-Emerick Aubameyang na bao kutoka kwa kinda Eddie Nketiah yalitosha kwa Arsenal kunyakuwa ushindi wa 3-2 dhidi ya Eve...
AUAWA KWA RADI AKINYOLEWA SALUNI NJOMBE
Martin Nyigu (35) mkazi wa kijiji cha Lusitu, kata ya Luponde, halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe, amefariki dunia kwa kupigwa...
HALIMA MDEE AGOMA KUMPA MKONO ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA CHADEMA, DK.VINCENT MASHINJI
Baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk.Vincent Mashinji kuhamia CCM, leo Februari 24, amekutana na viongozi wa CHADEMA katika Ma...
WAZALISHAJI WATAKIWA KUZINGATIA VIWANGO
Wazalishaji wa bidhaa mbalimbali mkoani Singida wametakiwa kutambua kuwa suala la viwango ni la kisheria hivyo ni lazima kuthibitisha ...
ISRAEL YADAI KUISHAMBULIA SYRIA KWA MAKOMBORA
Israel inadai kuwa imevishambulia vituo vya kijeshi vya kundi lijiitalo Islamic Jihad karibu na mji mkuu wa Syria, Damascus.
WAZIRI MKUU: SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hatua iliyofikiwa ya kuzuia uvunaji haramu wa rasilimali kwa utaoji wa cheti cha uhalisia kwa madin...