Mechi namba 240- Coastal Union 0 FC vs Yanga SC 0 Kocha wa Yanga Luc Eymael ametozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la...
TIMU YA RUVU SHOOTING FC YATOZWA FAINI YA TSH 1,000,000
Mechi namba 232 - Polisi Tanzania FC 3 vs Ruvu Shooting FC 1 Timu ya Ruvu Shooting FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000.00 (milioni...
TSHISHIMBI APIGWA FAINI YA TSH. 200,000
Mchezaji na nahodha wa timu ya Yanga SC Papi Tshishimbi ametozwa faini ya Tsh. 200,000 (laki mbili) kwa kosa la kukataa kufanya mahoj...
WAAMUZI WALIOSIMAMIA MECHI YA POLISI TANZANIA VS YANGA SC WAFUNGIWA MIEZI MITATU
Mchezo namba 233 (Polisi Tanzania vs Yanga SC) Waamuzi waliosimamia mchezo namba 223 Polisi Tanzania vs Yanga SC Abel Willium na ...
MASAU BWIRE APELEKWA KWENYE KAMATI YA NIDHAMU YA TFF
Msemaji wa Timu ya Ruvu Shooting Masau Bwire amepelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kwa kosa la kuto...
NYAMA YA PUNDA YAZUA BALAA
WAZIRI wa Kilimo nchini Uganda, Peter Munya, ameagiza kufungwa kwa machinjio yote ya punda nchini humo na akawataka wamiliki kuchinja w...
VIDEO: RC MGHWIRA AFICHUA UPIGAJI WA MIL 300, ALIYEKUA DED ATAJWA
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt.Anna Mghwira amebaini upotevu wa shilling mil.300 katika ujenzi wa hospital ya wilaya ya siha Mkoani hu...
MCHUNGAJI ANASWA NA SILAHA, SARE ZA JESHI
MCHUNGAJI Florence Lanyero, wa kanisa la Rest Arena lilipo Gulu, Uganda, amekamatwa nyumbani kwake Februari 23, 2020, kwa kumiliki sar...
MWALIMU JELA KUMSABABISHIA MWANAFUNZI ULEMAVU
MAHAKAMA ya Wilaya ya Njombe imemhukumu mwalimu Focus Mbilinyi aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Madeke kifungo cha miaka mi...
AMUUA MKEWE KWA MKUKI AKIWA AMELALA
HAWA JUMA (35) mkazi wa Kijiji cha Isikizya , Wilayani Uyui, ameuawa alipokuwa amelala kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali ki...
YANGA: SIMBA TUNAWAPIGA KIULAINI TU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amefunguka kuwa licha ya kushindwa kupata matokeo mazuri katika mechi nne mfululizo, lakini...
WAZIRI ATHIBITISHWA KUPATA CORONA IRAN
Naibu Waziri wa Afya wa nchi ya Iran, Iraj Haririch amegundulika kupatwa na maambukizi ya Virusi vya 2019-nCoV ambavyo husababisha ug...
WACHINA WALIOTAKA KUMPA BOSS TRA RUSHWA MILIONI 11 WAHUKUMIWA
Raia wawili wa China, Zheng Rongman(50) na Ou Ya(47), wamehukumiwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu, kulipa faini ya Sh.Mil 1...
TANZANIA YAIHAKIKISHIA JUMUIYA YA KIMATAIFA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI
Tanzania imesema hatua zote ambazo zimechukuliwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya mabadiliko katika sheria za vy...
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 154 ZATUMIKA KUJENGA VYUMBA VITATU VYA MADARASA,UKARABATI WA SHULE WILAYANI TANDAHIMBA
Zaidi ya shilingi Milioni 154 zimetumika kujenga vyumba vitatu vya madarasa na kukarabati shule ya Msingi Luagala 'B' Wilayan...
WAASI WA SYRIA WANAOUNGWA MKONO NA UTURUKI WADHIBITI MJI ULIO KARIBU NA IDLIB
Waasi wa Syria wanaoungwa mkono na jeshi la Uturuki wamedhibiti mji wa Narab, katika mkoa wa Idlib, kwa mujibu wa vyanzo kutoka Uturuki...
ALGERIA YATHIBITISHA KUWA NA MGONJWA WA CORONA, WALIOFARIKI HADI SASA KWA VIRUSI HIVYO NI WATU 2,763
Algeria imethibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona, ambapo mgonjwa ni raia wa Italia aliyewasili nchini humo Februari 17. Tay...
NAIBU WAZIRI JOSEPHAT KANDEGE AFURAHISHWA NA MIRADI YA TARURA – ILEMELA JIJINI MWANZA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Josephat Kandege ameelezea kuridhishwa kwake na miradi ya ...
BILL GATES AJITOSA KUPAMBANA NA NZIGE WALIOVAMIA AFRIKA MASHARIKI
Taasisi ya Bill & Melinda Gates imechangia dola za kimarekani milioni 10 (Tsh 23.1 bilioni) kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na nz...
TAKUKURU YAAGIZWA KUCHUNGUZA 'WALIOTAFUNA' FEDHA ZA UJENZI WA CHOO KAHAMA
Serikali mkoani Shinyanga imetoa siku tatu kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilaya ya kahama kufanya uchun...
NAIBU WAZIRI WA ARDHI ANGELINE MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuanza kupanga maeneo ya uwekezaji...
ALIYEWAHI KUWA KATIBU UHAMASISHAJI BAVICHA AJIVUA UANACHAMA WA CHADEMA
Aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi/ Uhamasishaji wa Baraza la Vijana la Chama Cha demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Edward Simbeye Leo Fe...