} });
 
WANAJESHI 33 WA UTURUKI WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAKALI HUKO SYRIA
WANAJESHI 33 WA UTURUKI WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAKALI HUKO SYRIA

Wanajeshi 33, wa Uturuki wameuawa katika mapigano kwenye mkoa wa Idlib nchini Syria, hii ikiwa ni kulingana na shirika la habari la se...

Read more » Soma zaidi »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA ARDHI YA KILIMO KWA AJILI YA VIJANA
HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA ARDHI YA KILIMO KWA AJILI YA VIJANA

Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba ameziagiza halmashauri zote nchini kutenga ardhi ya kutosha kwa ajili ya vijana kuzalisha mazao ya...

Read more » Soma zaidi »

MALAWI YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI
MALAWI YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI

Nchini Malawi bangi itatumiwa kutengeneza dawa na vitambaa vya nguvu, mafuta yatokanayo na mimea, karatasi na bidhaa nyingine. Mala...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU
WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amepiga marufuku ukamataji wa wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya...

Read more » Soma zaidi »

BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA UKEREWE KUANZA KUTENGENEZWA
BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA UKEREWE KUANZA KUTENGENEZWA

Naibu waziri ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Mhe, Josephat Kandege ameelekeza Wakala wa Barabara za Viji...

Read more » Soma zaidi »

SUGU AFUNGUKA BAADA YA MADIWANI WAKE 11 WA CHADEMA JIJINI MBEYA KUTIMKIA CCM
SUGU AFUNGUKA BAADA YA MADIWANI WAKE 11 WA CHADEMA JIJINI MBEYA KUTIMKIA CCM

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amemtumia salamu katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally akibainisha kuwa ma...

Read more » Soma zaidi »

MKURUGENZI WA KAMPUNI INAYOJENGA RELI YA KISASA AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA DOLA MILIONI 100 AMA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU
MKURUGENZI WA KAMPUNI INAYOJENGA RELI YA KISASA AHUKUMIWA KULIPA FAINI YA DOLA MILIONI 100 AMA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU

Mkurugenzi wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Markez inayojenga Reli ya kisasa Standard Gauge, Yetkin Genc Mehmet ((54) raia wa Uturuki ...

Read more » Soma zaidi »

RC TELACK AFUNGUA MKUTANO WA TATHMINI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI,LISHE NA CHF ILIYOBORESHWA, ATAKA JITIHADA ZAIDI KUTOKOMEZA VIFO VYA UZAZI NA WATOTO
RC TELACK AFUNGUA MKUTANO WA TATHMINI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA YA UZAZI,LISHE NA CHF ILIYOBORESHWA, ATAKA JITIHADA ZAIDI KUTOKOMEZA VIFO VYA UZAZI NA WATOTO

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack ameziagiza halmashauri zote za wilaya mkoa wa Shinyanga na wadau wa afya kuongeza jitihada...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMTEUA KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI JOHN KIJAZI KUWA MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI
RAIS MAGUFULI AMTEUA KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI JOHN KIJAZI KUWA MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA WAKALA WA NDEGE ZA SERIKALI

Read more » Soma zaidi »

MFANYABIASHARA WA MADINI YA DHAHABU MWANZA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUWAJERUHI WATU WAWILI KWA RISASI AKIWEMO MPENZI WAKE
MFANYABIASHARA WA MADINI YA DHAHABU MWANZA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUWAJERUHI WATU WAWILI KWA RISASI AKIWEMO MPENZI WAKE

Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwa...

Read more » Soma zaidi »

TYSON FURY AMUOMBA WILDER AKUBALI YAISHE TU (+HIGHLIGHTS ZA PAMBANO)
TYSON FURY AMUOMBA WILDER AKUBALI YAISHE TU (+HIGHLIGHTS ZA PAMBANO)

Bondia muingereza Tyson Fury baada ya kushinda Ubingwa wa Dunia uzito wa juu kwa TKO kwa kumpiga Deontay Wilder round ya 7 na kubeba ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO IJUMAA 28 FEBRUARI, 2020
MAGAZETI YA LEO IJUMAA 28 FEBRUARI, 2020

Read more » Soma zaidi »
 
Top