Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuhoji Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, JOSEPHAT GWAJIMA kwa tuhuma za kusambaza ...
Divine Radio Live
YALIYOJIRI WAKATI MAALIM SEIF, PROF. LIPUMBA NA JAMES MBATIA WALIPOKUTANA NA RAIS MAGUFULI IKULU DAR ES SALAAM (+PICHA)
GODBLESS LEMA AKAMATWA, APELEKWA SINGIDA AKITUHUMIWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO
Jeshi la Polisi mkoani Singida, limethibitisha kumkamata Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa ajili ya mahojiano akituhumiwa kutoa ...
SENEGAL NA TUNISIA ZATHIBITISHA KUWA NA WAATHIRIKA WA CORONA
Waziri wa afya wa Senegal Bw. Abdoulaye Diouf Sarr amesema mgonjwa aliyeambukiziwa ni raia wa Ufaransa, baba wa watoto wawili, alirudi...
BENJAMIN NETANYAHU AELEKEA KUSHINDA UCHAGUZI ISRAEL, LAKINI ANAWEZA ASIPATE VITI VYA KUTOSHA KUUNDA SERIKALI
Chama cha Likud cha Israel kinachoongozwa na waziri mkuu Bw. Benjamin Netanyahu kimepata viti vingi kwenye uchaguzi wa bunge, lakini ...
JESHI LA SYRIA LADHIBITI TENA MJI WA KIMKAKATI WA SARAQEB, UTURUKI YAITISHIA ULAYA, URUSI YATIA NENO
Vikosi vya utawala vya Syria vinadhibiti tena Saraqeb, tangu Jumatatu Machi 2. Saraqeb ni eneo la kimkakati nchini Syria. Rais wa...
VIJANA WA SKAUTI WATAKIWA KUWA MABALOZI WAZURI KATIKA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MADHARA YA RUSHWA
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Vijana wa Skauti hapa nchini wametakiwa kuwa Mabalozi wazuri katika kutoa elimu kwa Umma juu ya m...
WANANCHI WATAKIWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VITENDO VYA KIKATILI HASA KWA WANAWAKE NA WATOTO
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka wananchi wa Mkoa huo kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo v...
MARUFUKU WATUMISHI WA UMMA KUMALIZA WIKI WAKIWA MAOFISINI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano iko imara na inamipango madhubuti ya kuwahudumia na kuwatumikia Watanzani...
11 WAKAMATWA KWA KUWATAPELI WATU KWA KUTUMIA AKAUNTI FEKI ZA FACEBOOK ZA JOKATE MWEGELO, WEMA SEPETU, WOLPER, KAJALA MASANJA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wak...
MEYA WA MANISPAA YA IRINGA, ALEX KIMBE ATUHUMIWA KWA MATUMIZI MABAYA YA OFISI, APEWA SIKU 5 ZA KUJITETEA
Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amepewa siku tano kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwamo matumizi mabaya ya madaraka. Hatua hi...