Takwimu nchini Tanzania zinaonyesha asilimia 49 ya wanawake wamefanyiwa vitendo vya Ukatili huku nusu ya Wanawake walioolewa,asilimia ...
TAMAA YA FEDHA YAMPONZA AFISA MADINI, ASWEKWA RUMANDE
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Manyara inamshikilia Afisa Madini mkoa wa Kimadini Simanjiro,Dauda Ntalim...
ATIWA MBARONI KWA KUMUUA BODABODA MWENZAKE KWA KUMSINGIZIA MWIZI
Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Frank Kafuba mkazi wa Kayanga wilayani Karagwe mkoani Kagera kwa tuhuma za kuhusika na mau...
JESHI LA POLISI MWANZA LAWATIA MBARONI WATU 6 KWA KUKUTWA NA ZANA HARAMU ZA UVUVI, LINAWACHUNGUZA POLISI KWA KUKIUKA MAADILI
Jeshi la polisi mkoa wa mwanza linawashikilia jumla ya watu sita kwa makosa ya kupatikana na zana haramu za uvuvi na kupatikana na dawa...
ZANZIBAR YAPIGA MARUFUKU NDEGE ZA KITALII KUTOKA ITALIA ILI KUZUIA KUSAMBAA VIRUSI VYA CORONA
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imezuia kuingia visiwani humo ndege za kitalii kutoka Italia ili kuzuia kusambaa virusi vya coron...
VYAMA VYOTE VYA SIASA KUFANYIWA UHAKIKI KABLA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amesema watafanya uhakiki wa vyama vya siasa ili kuangalia uhalali wao kabla...
TANI 31 ZA MIFUKO YA PLASTIKI KUTEKEKEZWA SONGWE
Tani 31 za Mifuko ya Plastiki iliyo kusanywa kutoka Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini inayojumuisha Mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa na Njom...
BASHIRU AKIRI CCM KUTUMIA DOLA KUBAKI MADARAKANI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amekiri chama chake kuitumia dola kuhakikisha kinabaki madarakani. ...
HATA WANAWAKE WANAWEZA KUANDIKA MIRATHI - WAKILI SUZANA SENSO
WAKILI Suzana Senso amesema kwamba hata wanawake wanaweza kuandika mirathi ili kupunguza msongamano wa kesi za kugombania mali kwenye...
OFFICIAL VIDEO: IRENE ROBERT x GUARDIAN ANGEL x LEVIXON x GABY KIMANZI - VILE VILE
Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert baada ya kuachia wimbo wa ‘ Tembea’ mwishoni mwa mwaka jana, ameianza...