WABADILI JINSIA ZAIDI YA MARA MOJA
Utafiti unaonesha kwamba watu wengi ambao wanabadilisha jinsia huwa hawafikiria mara mbili. Lakini baada ya wanaume wawili waliobadil...
FLOYD MAYWEATHER ‘MONEY’ KUINUNUA NEWCASTLE UNITED
Mwanamasumbwi machachari raia wa Marekani, Floyd Mayweather a.k.a ‘Money’ ameonyesha nia yake ya kutaka kuinunua klabu ya Newcastle U...
RAIS XI JINPING ATEMBELEA MJI ULIYOATHIRIKA ZAIDI NA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA
Rais wa China Xi Jinping ameutembelea mji wa Wuhan leo kwa mara ya kwanza tangu mji huo ulipokumbwa na janga la mlipuko wa virusi vya...
VIDEO: UBALOZI WA ITALIA TANZNAIA WATOA TAMKO KUHUSU VIRUSI VYA CORONA, YAONGOZA KWA MAAMBUKIZI DUNIANI SHUGHULI ZOTE ZAFUNGWA KWA WIKI TATU
Ubalozi wa Italia nchini Tanzania kupitia balozi wake Bwana Roberto Mengoni siku ya leo umetoa tamko kuhusu kuenea kwa virusi vya cor...
WAZIRI MKUU MAJALIWA KUFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI SADC KWA NJIA YA VIDEO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kufungua kikao cha Baraza la Mawaziri wa Nchi...
CHADEMA, POLISI WAVURUGANA MAHAKAMANI
Vurugu na kurushiana maneno vimeibuka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakati wa kusikiliza kesi ya viong...
TANZANIA YAFANYA VIZURI MFUMUKO WA BEI
Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa taifa umezidi kuimarika kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, ...
MAWAZIRI SEKTA YA AFYA NCHI ZA SADC WAKUTANA KWA DHARURA TANZANIA KUJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), imesema imejiandaa kikamilifu kukabiliana na ugonjwa wa homa ya Virusi vya C...
RC TABORA AAGIZA KUKAMATWA KWA WANAOTUMIA VYANDARUA KINYUME CHA UTARATIBU WA KUJIKINGA NA MBU
MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewaagiza viongozi wa vijiji na mitaa kuwamata watu wote watakutwa wakitumia vyandarua kwa matum...
WAZIRI MKUU SUDAN ANUSURIKA KUUAWA
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amenusurika kifo kufuatia jaribio la mauaji lililotekelezwa mapema leo asubuhi katika mji mkuu w...
VIDEO: MSAIDIZI WA RAIS MAGUFULI CCM AWEKEWA SUMU ALAZWA “HATA AWE CCM TUTAMKAMATA”
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM limesema baada ya kufanya uchunguzi limebaini makamu mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula ana...
JAMAA WA “ILE HELA TUMA KWA NAMBA HII” WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Vijana watatu wakazi wa Sumbawanga wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kosa la kusambaza ujumbe wenye...
LIVE: KUTOKA MAHAKAMANI HUKUMU YA MBOWE NA VIONGOZI WENZAKE CHADEMA
Mahakama ya Kisutu leo March 10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani hapo, V...