} });
 
TAMBUA DALILI NA NAMNA YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA
TAMBUA DALILI NA NAMNA YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA

Corona ni ugonjwa wa homa kali ya mapafu inasababishwa na virusi vya Corona ni ugonjwa unaoambukizwa kwa kuingiwa na majimaji yatokanay...

Read more » Soma zaidi »

DARAJA LA KIEGEYA LASOMBWA TENA NA MAJI
DARAJA LA KIEGEYA LASOMBWA TENA NA MAJI

Kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha mkoani Morogoro zimesababisha kusombwa tena kwa daraja la Kiegeya ambalo lilitengenezwa ili ...

Read more » Soma zaidi »

TBS YASISITIZA USAJILI WA MAJENGO YA CHAKULA NA VIPODOZI
TBS YASISITIZA USAJILI WA MAJENGO YA CHAKULA NA VIPODOZI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limemaliza Kampeni yake ya kutoa elimu kwa umma katika Wilaya za Mpanda, Rungwe na Ludewa kuhusiana...

Read more » Soma zaidi »

CORONA: KENYA WAGONJWA WAONGEZEKA, KENYATTA AZUIA WAKENYA KUSAFIRI, AFUNGA SHULE (VIDEO)
CORONA: KENYA WAGONJWA WAONGEZEKA, KENYATTA AZUIA WAKENYA KUSAFIRI, AFUNGA SHULE (VIDEO)

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kuzuia Raia wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa muda wa siku thelathini kuanzia hii leo, ik...

Read more » Soma zaidi »

RAIS TRUMP AFANYA VIPIMO VYA VIRUSI VYA CORONA, UFARANSA YAFUNGA MADUKA, MIGAHAWA NA KUMBI ZOTE ZA STAREHE
RAIS TRUMP AFANYA VIPIMO VYA VIRUSI VYA CORONA, UFARANSA YAFUNGA MADUKA, MIGAHAWA NA KUMBI ZOTE ZA STAREHE

Rais wa Marekani, Donald Trump amefanyiwa vipimo vya Virusi vya Corona na kugundulika kuwa hajaambukizwa ugonjwa huo. Kwa mujibu ...

Read more » Soma zaidi »

MKE WA WAZIRI MKUU HISPANIA, PEDRO SANCHEZ  AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA
MKE WA WAZIRI MKUU HISPANIA, PEDRO SANCHEZ AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

Serikali ya Hispania imesema kuwa Mke wa Waziri Mkuu, Pedro Sanchez amethibitika kuwa na virusi vya corona. Hata hivyo serikali i...

Read more » Soma zaidi »

MAENEO YA KUABUDU, SHULE ZAFUNGWA RWANDA KUKABILIANA NA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA
MAENEO YA KUABUDU, SHULE ZAFUNGWA RWANDA KUKABILIANA NA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA

Serikali ya Rwanda imetangaza kuchukua hatua kadhaa za dharura kukabiliana na janga la Virusi vya Corona, saa kadhaa baada ya kutanga...

Read more » Soma zaidi »

PAKUA APP YETU PLAYSTORE ILI USIPITWE NA CHOCHOTE KUTOKA KWETU
PAKUA APP YETU PLAYSTORE ILI USIPITWE NA CHOCHOTE KUTOKA KWETU

KUPAKUA/KUDOWNLOAD BOFYA HAPA

Read more » Soma zaidi »

WANAOVUJISHA MAPATO UWANJA WA TAIFA KUCHUKULIWA HATUA KALI
WANAOVUJISHA MAPATO UWANJA WA TAIFA KUCHUKULIWA HATUA KALI

Serikali itawachukulia hatua kali  za kisheria wale wote watakaobainika kushiriki kuvujisha na upotevu wa mapato katika Uwanja wa Taifa...

Read more » Soma zaidi »

“NCHI YETU IKO SALAMA DHIDI YA CORONA” – DKT. ABBASI
“NCHI YETU IKO SALAMA DHIDI YA CORONA” – DKT. ABBASI

Serikali imesema nchi iko salama dhidi ya ugonjwa wa CORONA  na tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukiz...

Read more » Soma zaidi »

UPELELEZI SAKATA LA HALIMA MDEE, BULAYA NA WAFUAS WA CHADEMA KUDAIWA KUVAMIA GEREZANI WAKAMILIKA
UPELELEZI SAKATA LA HALIMA MDEE, BULAYA NA WAFUAS WA CHADEMA KUDAIWA KUVAMIA GEREZANI WAKAMILIKA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, amesema kuwa wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Halima Mdee na Ester B...

Read more » Soma zaidi »

BITEKO ASEMA IMETOSHA KUHUSU MCHUCHUMA NA LIGANGA
BITEKO ASEMA IMETOSHA KUHUSU MCHUCHUMA NA LIGANGA

Serikali kupitia Waziri wa Madini Doto Biteko amesema, serikali ipo katika hatua za mwisho za majadiliano kuhusu miradi ya mchuchuma na...

Read more » Soma zaidi »

MAMBOSASA ADAI KINA MDEE WALIMCHANIA SARE ASKARI
MAMBOSASA ADAI KINA MDEE WALIMCHANIA SARE ASKARI

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, amesema kuwa wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Halima Mdee na Ester B...

Read more » Soma zaidi »

MRADI WA UPANGAJI NA UPIMAJI ARDHI MANISPAA YA SHINYANGA WAIKUNA KAMATI YA BUNGE
MRADI WA UPANGAJI NA UPIMAJI ARDHI MANISPAA YA SHINYANGA WAIKUNA KAMATI YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Malisili na Utalii imeridhishwa na maendeleo ya mradi wa kupanga, kupima na kumilikisha ardhi katik...

Read more » Soma zaidi »

WAKURUGENZI SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO
WAKURUGENZI SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO

Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wameagizwa kuhakikisha wanasimamia ukusanyaji wa Mapato ya ndani ili kutimiza malengo yaliyopang...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YASITISHA MICHEZO YA UMISETA, UMITASHUMTA, YATOA MAELEKEZO KUHUSU MAHAFALI KIDATO CHA 6
SERIKALI YASITISHA MICHEZO YA UMISETA, UMITASHUMTA, YATOA MAELEKEZO KUHUSU MAHAFALI KIDATO CHA 6

Read more » Soma zaidi »

MAALIM SEIF AUKWAA UENYEKITI ACT – WAZALENDO, ZITTO KABWE APATA ASILIMIA 73
MAALIM SEIF AUKWAA UENYEKITI ACT – WAZALENDO, ZITTO KABWE APATA ASILIMIA 73

  Mshauri Mkuu wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif hamad, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa kwa kura 337 sawa na asilimia 9...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 15 MACHI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 15 MACHI, 2020

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: NJIA SITA ZA KUJIKINGA NA CORONA UKIWA OFISINI
VIDEO: NJIA SITA ZA KUJIKINGA NA CORONA UKIWA OFISINI

  Hadi Machi 12, 2020 jumla ya visa vya Virusi vya Corona vilivyoripotiwa duniani kote ni zaidi ya 129,000 ambapo vifo ni 4,749 n...

Read more » Soma zaidi »
 
Top