} });
 
WHO YATILIA MASHAKA VIPIMO VYA CORONA AFRIKA
WHO YATILIA MASHAKA VIPIMO VYA CORONA AFRIKA

  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Ghebreyesus amesema idadi ya Wagonjwa wa virusi vya Corona inayoripotiwa...

Read more » Soma zaidi »

MSD YAZUNGUMZIA KUPANDA BEI BIDHAA ZA KUJIKINGA NA CORONA
MSD YAZUNGUMZIA KUPANDA BEI BIDHAA ZA KUJIKINGA NA CORONA

Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini Tanzania imesambaza lita 350,000 za visafisha mikono pamoja na vifaa vingine ikiwamo vifunika pua (ma...

Read more » Soma zaidi »

RAIA 13 WA CHINA WAZUIWA KUINGIA KENYA WAKITOKEA TANZANIA
RAIA 13 WA CHINA WAZUIWA KUINGIA KENYA WAKITOKEA TANZANIA

Watu 16 walizuiwa kuingia nchini Kenya kupitia mpaka wa Lunga Lunga katika mji wa Kwale wakitokea Tanzania Kati ya watu hao, 13 ni ra...

Read more » Soma zaidi »

UDSM YATOA SAA 48 WANAFUNZI WOTE KUONDOKA
UDSM YATOA SAA 48 WANAFUNZI WOTE KUONDOKA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania kimewataka wanafunzi wote kuhakikisha ifikapo Ijumaa Machi 20, 2020 wawe wameondo...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YATOA TAMKO KWA WANAOSAFIRI NA WAMILIKI WA MABASI
WIZARA YATOA TAMKO KWA WANAOSAFIRI NA WAMILIKI WA MABASI

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa kuzingatia maelekezo ya Rais pamoja na Waziri wa Afya kuhusu kuchukua tahadhari za kuji...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MUFTI MKUU WA TANZANIA “NI HARAMU MWENYE CORONA KWENDA MSIKITINI”
VIDEO: MUFTI MKUU WA TANZANIA “NI HARAMU MWENYE CORONA KWENDA MSIKITINI”

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir leo March 18,2020 amesema kwa Muislamu atakayepata virusi vya corona ni haramu kwake kuhudh...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YA AFYA YASEMA UVAAJI HOLELA WA MASK NI HATARI KWA AFYA YAKO
WIZARA YA AFYA YASEMA UVAAJI HOLELA WA MASK NI HATARI KWA AFYA YAKO

Wizara ya afya imesema kuwa   kuwa si kila mtu anatakiwa kuvaa kifaa cha kuziba uso ‘mask’ ili kujikinga na homa inayosababishwa na virus...

Read more » Soma zaidi »

SCHOOL OWNER ARRESTED FOR DEFYING ORDER
SCHOOL OWNER ARRESTED FOR DEFYING ORDER

Parents and pupils of Beracha Academy in Karatina outside Mathira East sub-county Education office on March 18, 2020. A school prop...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YATAJA SABABU SAMPULI ZA VIRUSI VYA CORONA KUPIMWA DAR ES SALAAM
SERIKALI YATAJA SABABU SAMPULI ZA VIRUSI VYA CORONA KUPIMWA DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kuwa sampuli za washukiwa wa virusi vya Corona zinapimwa maabara ya...

Read more » Soma zaidi »

WALIOAMBUKIZWA CORONA KENYA WAFIKA 7
WALIOAMBUKIZWA CORONA KENYA WAFIKA 7

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho. A...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE
WAZIRI MKUU MAJALIWA: NCHI ZA SADC TUENDELEE KUPAZA SAUTI KUONDOLEWA VIKWAZO ZIMBABWE

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kutumia majukwaa ya kikanda, kita...

Read more » Soma zaidi »

UMOJA WA ULAYA WAKUBALIANA KUFUNGA MIPAKA
UMOJA WA ULAYA WAKUBALIANA KUFUNGA MIPAKA

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kufunga mipaka yao na kupiga marufuku Raia wa kigeni wasiingie Ulaya kwa siku 30 ili kudhibi...

Read more » Soma zaidi »

TBS YATOA ONYO KWA WATUMIAJI WA SANITIZER “MAOMBI YA UZALISHAJI YAMEONGEZEKA”
TBS YATOA ONYO KWA WATUMIAJI WA SANITIZER “MAOMBI YA UZALISHAJI YAMEONGEZEKA”

March 18, 2020 Shirika la Viwango nchini TBS limetoa kwa taarifa kwa Wananchi kuhusiana na Sanitizer ambazo zimekuwa zikitumika sana ki...

Read more » Soma zaidi »

BANDA ATOA UFAFANUZI KUDAIWA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
BANDA ATOA UFAFANUZI KUDAIWA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA

Mtanzania Abdi Banda leo ametumia ukurasa wake wa instagram kuelezea kuwa hakuwa hakisumbuliwa na virusi vya corona kama ambavyo imek...

Read more » Soma zaidi »

KESI YA TUNDU LISSU YASHINDWA KUENDELEA
KESI YA TUNDU LISSU YASHINDWA KUENDELEA

Kesi inayomkabili aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na wenzake imeshindwa kuendelea baada ya Upande wa Mashtaka kush...

Read more » Soma zaidi »

AMERICAN WOMAN WHO SURVIVED COVID-19 SHARES HER STORY
AMERICAN WOMAN WHO SURVIVED COVID-19 SHARES HER STORY

I SURVIVED COVID-19 She believes she got virus from a house party, Don't panic, American woman tells Kenyans

Read more » Soma zaidi »

MUFTI WA TANZANIA, SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI AAGIZA MADRASA ZOTE NCHINI KUFUNGWA ILI KUKABILIANA NA CORONA
MUFTI WA TANZANIA, SHEIKH ABUBAKAR ZUBERI AAGIZA MADRASA ZOTE NCHINI KUFUNGWA ILI KUKABILIANA NA CORONA

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote hadi utakapotangazwa utaratibu mpya. Aidha ...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MGONJWA WA KWANZA WA VIRUSI VYA CORONA AWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA
VIDEO: MGONJWA WA KWANZA WA VIRUSI VYA CORONA AWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA

Mtanzania wa kwanza kuthibitika kuwa na ugonjwa hatari unaosababishwa na Virusi vya Corona, anayejulikana kwa jina la Isabella Mwampa...

Read more » Soma zaidi »

MKURUGENZI WA WILAYA BABATI AWAONDOA WAFANYABIASHARA MNADANI KUHOFIA CORONA
MKURUGENZI WA WILAYA BABATI AWAONDOA WAFANYABIASHARA MNADANI KUHOFIA CORONA

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati Hamisi  Malinga amezuia mnada maarufu wa Maole uliokuwa ufanyike leo Machi 18,katika kiji...

Read more » Soma zaidi »

MBATIA AVISHAURI VYAMA VYA SIASA KUSITISHA MIKUTANO YA HADHARA
MBATIA AVISHAURI VYAMA VYA SIASA KUSITISHA MIKUTANO YA HADHARA

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,-James Mbatia amevishauri vyama vya siasa nchini kusitisha mipango ya kuendesha mikutano ya hadhar...

Read more » Soma zaidi »

PREMIER LEAGUE WAJA NAMPANGO MKAKATI DHIDI YA CORONA, MECHI 92 ZILIZOBAKI LAZIMA ZIPIGWE
PREMIER LEAGUE WAJA NAMPANGO MKAKATI DHIDI YA CORONA, MECHI 92 ZILIZOBAKI LAZIMA ZIPIGWE

Ligi kuu nchini England maarufu kama Premier League imekuja na mpango mkakati katika kuhakikisha msimu unamalizika bila kusimamishwa....

Read more » Soma zaidi »

MBABE WA ZAMANI WA KIVITA DRC GERMAIN KATANGA AACHIWA HURU
MBABE WA ZAMANI WA KIVITA DRC GERMAIN KATANGA AACHIWA HURU

Kiongozi wa zamani wa kundi la waasi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Germain Katanga, aliyekuwa amehukumiwa kifun...

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: WAGONJWA WA CORONA WAONGEZEKA, DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR
BREAKING: WAGONJWA WA CORONA WAONGEZEKA, DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza wagonjwa wawili wa virusi vya corona Tanzania mmoja amekutwa Zanzibar.

Read more » Soma zaidi »

LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO BARAZA LA MAWAZIRI SADC
LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO BARAZA LA MAWAZIRI SADC

Read more » Soma zaidi »

CORONAVIRUS HITS ALL 50 US STATES AS DEATH TOLL RISES
CORONAVIRUS HITS ALL 50 US STATES AS DEATH TOLL RISES

\ New York's Mayor Bill de Blasio may order the city's 8.5 million residents to "shelter in place" The deadly cor...

Read more » Soma zaidi »

CHINA YAITAKA MAREKANI IIONDOLEE IRAN VIKWAZO
CHINA YAITAKA MAREKANI IIONDOLEE IRAN VIKWAZO

Marekani haionyeshi uwezekano wa kupunguza vikwazo kwa Iran licha ya ombi kutoka China kwamba ingefanya hivyo kwa sababu ya janga la ml...

Read more » Soma zaidi »
 
Top