Shilingi Bilioni 4.5 zimetumika kujenga Hospitali za Wilaya Mkoani Morogoro ikiwa ni jitihada za Serikali kuhakikisha kuwa huduma za a...
IRAN YAKATAA MSAADA WA MAREKANI
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hal...
WENYE VIRUSI VYA CORONA NCHINI KENYA WAFIKA 15
Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa, watu wengine wanane wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Corona nchini humo. Ongez...
DC NJOMBE ATAKA SEHEMU ZA STAREHE KUFUNGWA SAA NNE USIKU KUEPUKA CORONA
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza watoa huduma za baa na wamiliki wa maeneo ya starehe kufunga huduma hizo kwa kipindi hi...
WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAHIMIZWA KUKAGUA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VILIVYOTENGWA NA SERIKALI KWA AJILI YA KUWAHUDUMIA WATU WENYE CORONA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt.Dorothy Gwajima amewataka Waganga wakuu wa Mikoa ...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) WAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUJADILI KUHUSU UCHAGUZI MKUU
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekutana na viongozi wa vyama vya siasa kwa lengo la kuzungumzia masuala ya maandalizi ya uchaguzi Mk...
LALIGA YASIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Shirikisho la soka Hispania (RFEF) limetangaza kuwa limesitisha michuano yote ya soka nchini Hispania ikiwemo LaLiga kwa muda usiojul...
KAMA ULIPITWA NA HII BASI NIMEKUSOGEZEA, FREEMAN MBOWE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI DODOMA (VIDEO)
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amezungumza na waandishi wa habari, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.
HALIMA MDEE NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA 27 akiwemo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee wamesomewa mashitaka 7 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu i...
VIDEO: CORONA:BAA ZOTE ZAPIGWA MARUFUKU NCHINI KENYA
Wizara ya Afya nchini Kenya imeagiza kufungwa kwa Baa zote nchini humo ili kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona, Migahawa ya ...
RC MAKONDA AZUNGUMZA KUHUSU CORONA NA UJENZI WA MWENDOKASI
NI Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambae muda huu anazungumza na waandishi wa habari kuhusu Corona na Ujenzi wa Mwendokas...
MTANZANIA ALIYEOKOA WATOTO SITA BAHARINI NA KUPEWA SHAVU SOUTH AFRICA
Kutana na Moses Mtilema mtanzania ambaye anautaalamu wa kuokoa watu Baharini ambaye alishahusika kwenye uokoaji wa matukio tofauti ...
MWIGIZAJI KUTOKEA MAREKANI HARVEY WEINSTEIN AKUTWA NA CORONA VIRUS
Mwigizaji na Mtayarishaji maarufu wa filamu nchini Marekani Harvey Weinstein ameripotiwa na vyombo vya habari kuwa amekutwa na maambu...
VIDEO: CORONA ILIVYOATHIRI WAFANYABIASHARA KARIAKOO ,DSM “TUNA MIKOPO BANK, WATEJA HAWAJI”
Ugonjwa wa corona umeendelea kushika kasi Duniani huku idadi ya vifo na wagonjwa ikiongezeka kila kunapokucha kwenye Nchi mbalimb...
AJALI YA TRENI YAUA WATU WATANO
Watu watano ambao ni watumishi wa Shirika la Reli wamefariki dunia katika ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na kiberenge k...
TANZIA: WAZIRI WA ZAMANI MAKONGORO MAHANGA AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Ilala Milton Makongoro Mahanga, amefariki Dunia le...
VYOMBO VYA ULINZI VYATAKIWA KUIMARISHA ULINZI MIPAKANI
Vyombo vya ulinzi na usalama vimeagizwa kuimarisha ulinzi wa mipaka yote nchini, ili kuzuia watu kuingia nchini bila kufanyiwa uchung...
WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA TAASISI YA SEKTA BINAFSI- TPSF KUJADILI NAMNA YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu jana amekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na ...
ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MPENZI WAKE
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia FESTO MADUHU [28 -30] Mbeba Mizigo @ Kuli na Mkazi wa Mtaa wa Benki Kabwe Jijini Mbeya kwa ...