Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema tayari amewaelekeza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanatenga maeneo maalumu ya kuwah...
MGONJWA WA KWANZA WA CORONA TANZANIA AMEPIMWA TENA HANA CORONA- UMMY MWALIMU
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema mgonjwa wa kwanza kutambulika na corona Tanzania ali...
WAMILIKI WA BAA WAJIPANGA KUPUNGUZA WATEJA ILI KUEPUKA MIKUSANYIKO
Chama cha Wamiliki wa Baa na Kumbi za Starehe Tanzania (UBAKUTA) kimeadhimia kusitisha mikusanyiko ya Watu hasa Muziki wa Band na Dis...
RC MAKONDA AAGIZA KUPULIZWA DAWA YA KUUA VIMELEA VYA VIRUSI VYA CORONA DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Machi 24, 2020 ameagiza kupulizwa dawa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, ili kuua...
MWANAMUZIKI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUUGUA CORONA
Mwanamuziki, mwandishi na mpuliza saxophone maarufu Duniani Emanuel N’Djoke Dibango (MANU DIBANGO) mzaliwa wa Cameroon amefariki Du...
KANSELA WA UJERUMANI APIMWA VIRUSI VYA CORONA , MAJIBU HAYA HAPA
Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel apimwa virusi vya corona na kukutwa akiwa salama. Msemaji wa Bi Angela Merkel amefahamis...
WAFUNGWA 23 WAFARIKI DUNIA KWA JARIBIO LA KUTOROKA GEREZANI KISA CORONA
Wafungwa 23 wamefariki dunia baada ya kutokea mkanyagano uliosababishwa na hofu ya kuenea kwa virusi vya corona katika gereza moja nchi...
MOURINHO ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAZEE
Jose Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham ametoa msaada wa chakula kwa wazee wa kituo cha Your Door Step kilichopo Enfield. Kocha hu...
RAIS WA BOTSWANA ATANGAZA KUJIWEKA KARANTINI SIKU 14 KUTOKANA NA HOFU YA CORONA
Rais wa Botswana, Mokgweetsi Masisi ametangaza kujitenga kwa muda wa siku 14 kutokana na hofu ya kuambukizwa virusi vya corona. U...
MTOTO WA MBOWE ANAUGUA CORONA NDOMANA AMESITISHA MIKUTANO - RC MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka wananchi kusikiliza kauli za Serikali juu ya namna gani watajikinga na kupata m...
BRITAIN ORDERS LOCKDOWN TO SLOW DOWN CORONAVIRUS SPREAD
A family listens as Britain's Prime Minister Boris Johnson makes a televised address on March 23, 2020 with the latest instructions...
CORONAVIRUS: JUDICIARY STAFF DIRECTED TO WORK FROM HOME
Judiciary Chief Registrar Anne Amadi who on March 23, 2020 instructed judges, judicial officers and workers to keep off court stations ac...
VIDEO: WAZIRI MKUU AZUIA ZIARA ZA MAWAZIRI “WOTE MSHIRIKI KWENYE KINGA YA CORONA”
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kufanya tathmini ili kuhakikisha inazuia ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayo...
WHO “CORONA INAZIDI KUSHIKA KASI DUNIANI”
March 24, 2020 Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa Corona unazidi kushika kasi na mpaka sasa zaidi ya watu 300,000 wame...
VIDEO: AJALI YAUA WATU WATANO KWENYE DARAJA LA MCHEPUKO KIYEGEYA MOROGORO
Watu watano wamefariki Dunia na wengine sita kujeruhiwa, kufuatia ajali ya barabarani baada ya Lori kubwa la mizigo, kuigonga gari ndo...
SERIKALI YA TANZANIA YAUNDA KAMATI TATU KUKABILIANA NA CORONA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kufanya tathmini, ili kuhakikisha inazuia virusi vya corona havienei kwa kiasi ...
ATCL YAFUTA SAFARI KWENDA COMORO, UGANDA, BURUNDI KUKABILIANA NA VIRUSI VYA CORONA
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imefuta safari zake za kwenda nchini Comoro, na hivyo kuifanya iwe imefuta safari zake kwenda kwenye m...
MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA AFRIKA KUSINI YAFIKIA 402, NCHI NZIMA YAWEKWA KARANTINI
Maambukizi ya virusi vya corona nchini Afrika ya Kusini yameongezeka na kufikia watu 402, ikilinganishwa na watu 128 siku moja kabla na...
WASAFIRI WATAKAOPITA MPAKA WA TUNDUMA KUWEKWA KARANTINI SIKU 14
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Songwe imeanza utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magu...