BAADA ya nahodha wa Yanga, Papy Tshishimbi kusema kuwa hajaongeza kandarasi ndani ya klabu yake hiyo uongozi wa Simba umesema kuwa un...
Divine Radio Live
REAL MADRID YAJIPANGA KUMREJESHA KUNDINI BEKI WAO HAKIMI
Klabu ya Real Madrid imejipanga kumrejesha nyota wake Achraf Hakimi kikosini akitokea katika klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani. ...
NIYONZIMA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA YANGA
Haruna Niyonzima, kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anafurahia maisha ndani ya klabu hiyo kutokana na sapoti a...
KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA MAKOCHA KUWA NA PRESHA
KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amesema kuwa makocha wengi wanaozinoa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaishi kwa presh...
ADEBAYOR AKWAMA TOGO KWA SIKU 15
Mshambuliaji wa Club Olimpia ya Paraguay Emmanuel Adebayor raia wa Togo amekwama Benin katika mji wa Cotonou kwa siku 15 akiwa an...
TRUMP ATAKA WAMAREKANI WAFUNGULIWE KABLA YA PASAKA KUNUSU UCHUMI
Rais Donald Trump amesema anaitaka Marekani “ifunguliwe tena” kabla ya sikukuu ya Pasaka (Aprili 12), licha ya onyo kuwa kufanya ...
GSM IMEONDOA MISAADA YANGA SC
Kampuni ya GSM ambayo ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC imeiandikia barua club hiyo na kueleza kuwa imesitisha huduma zote ilizoku...
RAIS WA DRC ATANGAZA HALI YA DHARURA NCHINI KOTE KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA
Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo DRC ametangaza hali ya dharura nchini kote, ikiwa ni juhudi za kupambana na v...
GODBLESS LEMA AFIKISHWA MAHAKAMANI
Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amefikishwa mahakamani mkoani Singida na kusomewa mashitaka 15. Tarehe mbili mwezi ...
8-MONTH-OLD BABY TESTS POSITIVE FOR COVID-19 IN UGANDA
Uganda has confirmed five new coronavirus cases, bringing the total to 14. Minister of State for Primary Health Care Joyce Mori...
MP IN TROUBLE FOR SKIPPING COVID-19 SCREENING
Garsen MP Ali Wario during a past event. Police are hunting for him for refusing to be screened Kanagoni after crossing from Kilifi. ...
COVID-19: BLOGGER NYAKUNDI IN TROUBLE
Blogger Cyprian Nyakundi. Police are holding him for claiming that a senior KPA official had travelled out of the country and failed to ...
BREAKING NEWS: MWANAMFALME CHARLES WA UINGEREZA APATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI
Mwanamfalme huyo wa Wales mwenye umri wa miaka 71, anaonyesha dalili ndogo za coronavirus kwa sasa "lakini bado amebakia kuwa kati...
JAFO: WANAFUNZI WALIOFAULI KIDATO CHA NNE 2019 RUKSA KUBADIRISHA 'COMBINATION'
Kwa mara ya pili ya Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2019 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha t...
ALIYEKUWA MWENYEKITI CCM DODOMA KUPANDISHWA MAHAKAMANI KWA KUGHUSHI NYARAKA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma inatarajiwa kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha...
WANAMGAMBO WA BOKO HARAM WAFANYA MAUAJI CHAD
Zaidi ya askari tisini wa jeshi la Chad wameuawa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Boko Haram. Rais Idriss Deby wa n...
WAZIRI MKUU WA INDIA ATANGAZA NCHI NZIMA KUKAA NDANI KWA SIKU 21
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametangaza lock down ya siku 21 kuanzia jana March 24,2020 ambapo hakuna Mtu anayeruhusiwa kutoka ...
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA CORONA TOKA KWA MFANYABIASHARA WA CHINA JACK MA
Vifaa tiba vilivyotolewa na mfanyabiashara kutoka China, Jack Ma kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona nchini Tanzania vimewasili...
MAHAKAMA YAJIPANGA KUKABILIANA NA CORONA, KESI AMBAZO UPELELEZI HAUJAKAMILIKA HAZITAPOKELEWA
Mahakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi na Wilaya nchini, wameagizwa kuzingatia maelekezo ya tangazo la serikali namba 296 la mwaka 2002 ...
MBOWE ATHIBITISHA MWANAE KUPATA VIRUSI VYA CORONA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amethibitisha mtoto wake Dudley amepata maambukizi ya Corona....
AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA BAADA YA KUMBAKA NA KISHA KUMNYONGA BINTI WA MIAKA 7
Mtuhumiwa anayedaiwa kubaka mtoto wa umri wa miaka 7, kisha kumnyonga shingo hadi kumuua amehukumiwa na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda...
WIZARA YA AFYA YATANGAZA NAFASI 1000 ZA MADAKTARI
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza nafasi mpya elfu moja za ajira kwa kada ya madaktari daraja la p...
WANANCHI WATISHIA KUFUNGA MNARA WA SIMU ZA MKONONI KWA KUDAI KODI YA PANGO
Serikali ya kijiji cha Bunango kata ya Bugarama Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga imeitaka kampuni ya Helious Tower Tanzania inayosi...
WAZIRI MKUU AKANUSHA TAARIFA YA SHULE, VYUO KUFUNGULIWA MACHI 25
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho siyo za kweli. “Hiz...
MMILIKI WA OLYMPIACOS NA NOTTINGHAM FOREST APONA CORONA
Mmiliki wa club ya Nottingham Forest na Olympiacos Evangelos Marikanis ,52, aliyetangaza kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku k...
CHINA YATOA KAULI KUHUSU NGUO ZA WAGONJWA WA CORONA
Ubalozi wa China nchini Tanzania umekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba, nguo za watu walioathirika na Vir...
VIDEO: MAFURIKO IRINGA, DC AJITOSA KWENYE MAJI KUWAOKOA WAHANGA
Wakati Serikali ikipambana kutokomeza ugongwa wa Virusi vya Corona nchini, hali ya wananchi wa kitongoji cha Mbingama katika kijiji c...