Baba mwenye nyumba mmoja amewaachia Wapangaji wake tabasamu la nguvu kwa kuwafutia kodi ya nyumba ya miezi miwili ili watumie hizo pe...
Divine Radio Live
EPL HAITOREJEA TENA APRIL 30 2020
Baada ya Ligi Kuu England wiki iliyopita kutangazwa kuwa imesogezwa mbele hadi April 30, leo imethibitika taarifa mpya kuwa Ligi hi...
TMA: MVUA KUBWA ZINATARAJIWA KUNYESHA KESHO
Mvua kubwa zinatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ziwa Victoria, nyanda za juu kaskazini mashariki na maeneo ya kati ya nchi.
MTUHUMIWA ALIYEMUUA BINTI WA KAZI KWA KIPIGO APANDISHWA KIZIMBANI TENA
Kesi ya mauaji namba 5 ya mwaka 2020 imekuja kutajwa tena kwa Mara ya pili Leo katika mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Arumeru. ...
MBOWE AJIWEKA KARANTINI BAADA YA MTOTO WAKE KUTHIBITIKA KUWA NA CORONA
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amejiweka karantini siku chache baada ya kutangaza kuwa mwanaye Dudley amepata maambukizi ya ...
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ETHIOPIA
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kutokana na matumizi mabaya ya fedha za umma. Rais ameyas...
RIPORI YA CAG YABAINI UBADHIRIFU CUF, CCM
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebainisha ubadhirifu kwenye vyama vya siasa wakati akikabidhi ...
RAIS MAGUFULI AMTEUA BRIGEDIA JENERALI MBUNGO KUWA MKURUGENZI WA TAKUKURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa (T...
RAIS MAGUFULI: UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2020 HAUTAAHIRISHWA LICHA YA KUWEPO KWA CORONA
Rais John Magufuli amesema uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu hautaahirishwa licha ya kuwepo kwa mlipuko wa virusi...
WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 13, MGOJWA WA KWANZA KAPONA
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni Watanzania na watano ni wageni. W...
VIDEO: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU CHAMWINO JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwak...