Serikali ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka 2019 amba...
COVID-19: HIV/AIDS, TB PATIENTS TO GET DRUGS FOR 3 MONTHS
The lockdown had created panic among people living with HIV/AIDS and TB who had appointments to collect their life-sustaining drugs. ...
PASTOR YIGA SPENDS HOLY WEEK, EASTER IN JAIL
Pastor Yiga Pastor Augustine Yiga of the Revival Church in Kawaala, Kampala, will spend the Easter Holidays behind bars after utterin...
VIDEO: RAIS MAGUFULI ATIMIZA AHADI YAKE “MAAFISA TARAFA MWANZA WAKABIDHIWA USAFIRI”
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikabidhi ufunguo wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Maafisa Tarafa Mkoa Mwanza, Peter Michael (k...
CHELSEA, NAPOLI ZAITAKA SAIN YA CAVAN
EDINSON Cavani anamatumaini ya kucheza La Liga katika msimu ujao wa ligi, hii baada ya dirisha lililopita la Januari kukwama. ...
NGASSA AJICHIMBIA MWANZA KWA SASA
MRISHO Ngassa, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa amejichimbia Mwanza huku akichukua tahadhari ya kujilinda na Virusi...
WALIOFUNGA NDOA LICHA YA AMRI YA KUTOTOKA NJE WAKAMATWA AFRIKA KUSINI
Wanandoa wapya wajipata matatani huko Afrika Kusini punde tu baada ya kufunga pingu za maisha. Maharusi hao walivamiwa na maafisa w...
MAELFU WATAKA DAWA YA CHOLOROQUINE ITUMIKE KATIKA KUTIBU VIRUSI VYA CORONA HUKO UFARANSA
Zaidi ya watu 215,000 wametia saini rufaa inayowataka maafisa wa Ufaransa kuwapa idhini madaktari wawakubalie wagonjwa wa covid-19 kutumi...
RAIS WA UTURUKI: TUTAJENGA HOSPITALI MBILI KWA AJILI YA KUKABILIA NA VIRUSI VYA CORONA
Rais wa Uturuki asema kuwa kutajengwa hospitali mbili mjini Istanbul kwa ajili ya kupambana na virusi vya corona. Rais wa Uturuki...
MBUNGE KISHIMBA- TUTUMIE GONGO KUNAWIA MIKONO KUJIKINGA NA CORONA
"Tunamuomba Waziri wa Afya, kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sabuni ambazo zina alcohol 65% atamke basi wananchi kwa m...
RAIS WA UJERUMANI ATOA WITO WA USHIRIKIANO DUNIANI ILI KULIKABILI JANGA LA CORONA
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametoa wito wa ushirikiano wa nchi zote duniani ili kulikabili janga la maambukizi ya virusi ...
RIPOTI YA CAG YABAINI NDC KUSHINDWA KUENDELEZA BAADHI YA MAENEO
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeshindwa kuendeleza hekta...
MASHIRIKA MATANO YA UMMA YATAJWA NA CAG KUWA NA UPUNGUFU
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30, 2019 imebaini...
CAG ABAINI MATUMIZI YA SH2 BILIONI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KINYUME NA UTARATIBU
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amebaini matumizi ya Sh2.58 bilioni yaliyofanywa na Wizara y...
CORONA: IRAN YAKATAA MISAADA KUTOKA MAREKANI
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya Iran Abbas Moussavi amesema Iran kamwe haitokubali msaada kutoka Marekani katika mapambano dhidi...
BREAKING: WALIOPONA VIRUSI VYA CORONA NCHINI TANZANIA WAFIKA WATANO
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wengine 2 wa Corona hapa nchini wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufika 5 huku kif...
CAG AWASILISHA RIPOTI YAKE YA UKAGUZI KWA MWAKA WAFEDHA ULIOISHIA MWEZI JUNI 30,2019 HUKU IKIIBUA"MADUDU" MBALIMBALI
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Ofisi ya Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) jana April 6,2020 imewasilisha ripot...
MBUNGE AIOMBA SERIKALI KUMSHUGHULIKIA WAZIRI WA ZANZIBAR ALIYEDAIWA KUGOMA KUKAA KARANTINI YA CORONA
Mbunge wa Konde(CUF) Khatib Said Haji ameiomba Serikali kumchukulia hatua Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati, Salama Aboud Talib ...
MBOWE ASHAURI KUUNDWA KWA KIKOSI KAZI CHA TAIFA KWA AJILI YA KUANGALIA ATHARI ZA UCHUMI ZINAZOTOKANA NA UGONJWA WA CORONA
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Bunge, Freeman Mbowe, ameshauri kuundwa kwa kikosi kazi cha Taifa kwa ajili ya kuangalia athari za uchumi z...
SERIKALI KUTOA VITABU MSINGI, SEKONDARI KWA MTANDAO BURE ILI WANAFUNZI WAJISOMEE WAKIWA NYUMBANI
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.Joyce Ndalichako amesema kwasasa serikali inatoa huduma ya upatikanaji wa vitabu vyote kua...
TRUMP NA VIONGOZI WENGINE DUNIANI WAMTAKIA AHUENI WAZIRI MKUU UINGEREZA AMBAYE YUKO ICU KWA CORONA
Rais wa Marekani Donald Trump ameungana na Viongozi wengine Duniani, kutoa pole kwa swahiba wake, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johns...
MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA KWA KUNASWA UMEME JUU YA MTI
Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mrunyigo, Kijiji cha Kiemba mkoani Mara, Calvin Eranga (14) , amefariki dunia baada ya kun...
I WANT SABURI IN JAIL, UHURU SAYS
President Uhuru Kenyatta has revealed that he ordered the arrest of Kilifi Deputy Governor Gideon Saburi for what he termed as careless...
ZARI: “NATOKA MARA MOJAMOJA SANA, NIMEJIFUNGIA”
Zari ambae ni miongoni mwa waliojifungia majumbani nchini South Africa ili kujikinga na corona amepaza sauti kuhamasisha Watu watulie ...
MWIGIZAJI FUNKE WA NIGERIA AKAMATWA NA POLISI KISA CORONA
Mwigizaji Funke Akindele wa Nigeria amekamatwa na Polisi baada ya kufanya house party kusherehekea birthday ya Mume wake ambapo ameka...
WHO: HAKUNA CHANJO YA CORONA ITAYOFANYWA AFRIKA
Baada ya kuwepo malalamiko dhidi ya kauli za kibaguzi za Madaktari wa Ufaransa, Shirika la Afya duniani (WHO) limesema Afrika haitofa...
MKANDARASI AZUIWA KUTOKA NJE YA MKOA WA SONGWE
Mkandarasi wa Mradi wa maji wa Iyula uliopo Wilaya ya Mbozi amezuiwa kutoka Nje ya Mkoa wa Songwe huku akiwekwa chini ya uangalizi wa j...
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA BORIS JOHNSON APELEKWA ICU BAADA YA HALI KUWA MBAYA KWA VIRUSI VYA CORONA
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi ICU baada ya hali yake kiafya kuwa mbay...
TAARIFA KUTOKA UGANDA VISA VYA CORONA VYAFIKIA 52
NI Headlines za Janga la Corona Virus ambapo jana nchini Uganda kupitia Rais Museveni ametangaza idadi ya visa vingine vipya vya ...