Bernard Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amebadilishiwa program na kocha wake, Luc Eymael ambapo kwa sasa anafanya mazoezi ufukwe...
POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
Malale Hamsini, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa ni jambo la msingi kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vy...
RONALDO de LIMA ALITIKISA ZAMA ZAKE, KWA SASA NI BOSI MKUBWA ANAMILIKI TIMU YAKE
Ronaldo Luis Nazario de Lima, nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil ana umri wa miaka 43. Ni miongoni mwa nyota ambao wanatajwa ...
MTUPIA MABAO NAMBA MOJA NDANI YA YANGA KUSEPA MAZIMA
Klabu ya ES Setif inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria imeweka ofa mezani kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga ‘Falcao...
VIDEO: MKENYA WA KWANZA ALIYEFARIKI NA VIRUSI VYA CORONA AMEZIKWA
Haya ni Mazishi ya Mtu wa kwanza kufariki kwa virusi vya corona nchini Kenya, amezikwa na Watu wachache na ibada ya mazishi kuchukua ...
UGONJWA WA EBOLA WAWILI WAFARIKI NCHINI CONGO
Congo imeripoti vifo viwili vipya vya Ebola wakati huu ambapo zilibaki siku chache Nchi hiyo itangazwe kutokuwa na ugonjwa wa Ebola...
TAARIFA KUTOKA UGANDA VISA VYA CORONA VYAFIKIA 54
Wizara ya Afya Uganda imesema mgonjwa mmoja wa corona ameongezeka na kufanya visa vya corona kufikia 54 Uganda, Rais Museveni amesema ...
BINTI WA MAYWEATHER ‘IYANNA’ HUENDA AKAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 99 KWA KOSA HILI
Taarifa zilizosambaa leo kutokea nchini Marekani ni kwamba Binti wa Floyd Mayweather, Iyanna (20) huenda akahukumiwa kifungo cha hadi ...
RC ANNA MGHWIRA ATEMBELEA NA KUKAGUA MIPAKA WILAYANI ROMBO NA NCHI JIRANI YA KENYA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezitaka familia zilizopokea ndugu kutoka nchi jirani kupitia njia za panya na hawakukaa kar...
POLISI ECUADOR WAKUSANYA MITAANI MAITI 800 ZA WALIOFARIKI KWA CORONA NA KUTELEKEZWA
Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kw...
WATU 100 WAFARIKI DUNIA KWA CORONA NDANI YA SAA 24 NCHINI UTURUKI
Karibu vifo vipya 100 vimeripotiwa ndani ya masaa 24 siku ya Jumapili nchini Uturuki, na kusababisha jumla ya vifo vinavyohusiana na u...
WATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MWALIMU
Jeshi La Polisi mkoani Dodoma, linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Mwalimu Eradius Lucas Mgaya wa Kijiji cha Chilungulu,...
ASKARI POLISI AKUTWA AMEFARIKI DUNIA MTARONI
Askari wa kituo cha polisi Kia, Sajenti Juma Ango amekutwa akiwa ametupwa mtaroni mita chache kutoka kituo cha polisi Hai Mjini mkoani ...
TANZIA: MWANAHARAKATI WA KUTETEA HAKI ZA WATU WENYE UALBINO JOSEPHAT TORNER AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Josephat Torner enzi za uhai wake Mkurugenzi wa Idara ya Ushawishi na Utetezi wa Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na Utete...