Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amemshukia Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangala kwamba anadhalilisha wa...
WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKA 88, WAMEONGEZEKA 29, HADI LEO WALIOPONA 11, VIFO VINNE
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Nchini Tanzania imetoa taarifa ya uwepo wa Wagonjwa 29 waliothibitika ku...
ZAIDI YA WATU MILIONI MBILI WAAMBUKIZWA CORONA
Maambukizi ya virusi vya corona dunianiani yamefikia zaidi ya watu milioni mbili jana, kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Afya c...
WABUNGE CCM WAJA JUU BAADA YA MATIKO KUSEMA AHADI ZAHANATI KILA KIJIJI IMEKWAMA
Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko (Chadema), amewekwa mtu kati na wabunge wa CCM na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na ...
BILA BARAKOA HAKUNA KUINGIA KCMC
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC umetangaza utaratibu mpya wa wagonjwa na ndugu kuingia hospitali hapo wakitakiwa kuvaa barakoa. ...
SIMBACHAWENE AAGIZA MKANDARASI KUWEKWA NDANI
Mkandarasi wa Kampuni ya Nangonga Ltd Mohammed Nangonga (Tisheti nyekundu) akiwa chini ya ulinzi baada ya agizo la Waziri wa Mambo ya Nda...
BIBI ALIEPIGWA LOCKDOWN AOMBA BIA ‘NIMEISHIWA BIA NATAKA ZINGINE”
Moja kati ya picha iliyo-trend mitandaoni ni hii ambayo inamuonesha Bibi wa miaka 94, ambaye ameshika bango ambalo linaeleza kuwa ana...
CHINA WASEMA MAREKANI HAIJAIKOMOA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI
Ni Msemaji kutoka wizara ya Mambo ya Nje China, Zhao Lijian alizungumza juu ya mijadala inayoendelea kati ya Marekani na Shir...
VIDEO: DAR ES SALAAM YATENGA VITUO 25 VYA KUKUSANYA SAMPULI ZA VIPIMO VYA CORONA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametanagza vituo 25 katika jiji la Dar vitakavyotumika kukusanya sampuli za vipimo vya ugon...
WAGONJWA WA CORONA NCHINI KENYA WAONGEZEKA NA KUFIKA 225, MMOJA KAFARIKI LEO
Watu tisa zaidi wameambukizwa Virusi hatari vya Corona Nchini Kenya chini ya saa 24 zilizopita na hivyo kufanya idadi ya waliombukiz...
MWAKALEBELA APELEKWA KAMATI YA SHERIA
Baada ya klabu ya Simba kuwasilisha malalamiko yake kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela kuwa ...
WALIBORA: POLICE SEEK MATATU DRIVER
Author, literary scholar and journalist Ken Walibora. PHOTO | FILE Renowned linguist, author and journalist Ken Walibora is dead. ...
MWANDISHI WA HABARI NA MTUNZI WA VITABU MAARUFU KEN WALIBORA AFARIKI DUNIA
Mwandishi wa habari na mtunzi wa vitabu maarufu nchini Kenya, Profesa Ken Walibora amefariki dunia. Prof Walibora aligongwa na gari kat...
TCRA YAWATAKA WANANCHI 'KU - SCREEN SHOT' TAARIFA ZA HOVYO KUHUSU CORONA MITANDAONI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewataka wananchi kupiga picha (Screen shot) ujumbe wowote katika mitandao ya kijamii unaopoto...
ANUSURIKA KUFA KWA KIPIGO AKITUHUMIWA KUIBA NDOO YA KUNAWA MIKONO KUJIKINGA CORONA SHINYANGA MJINI
Mmoja wa wananchi akimdhibiti "kibaka" asikimbie baada ya kudaiwa kuiba ndoo ya maji kwa ajili ya kunawa mikono ili kujikinga n...
WILFRED LWAKATARE ATANGAZA KUTOGOMBEA TENA UBUNGE
Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia CHADEMA Wilfred Lwakatare, jana Aprili 14, 2020, amesema kuwa kwa sasa atapumzika katika siasa ambazo a...
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA AJALI ILIYOSABABISHA VIFO 18 PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Watu takr...
AJALI YA COASTER, LORI YAUA WATU 18, KUJERUHI 15 PWANI
Watu 18 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika kijiji cha Kilimahwewa Wilaya ya Mkuranga mko...
SHULE ZOTE NA VYUO KUENDELEA KUFUNGWA TANZANIA, SHEREHE ZA MUUNGANO NA MEI MOSI ZAAHIRISHWA KUKABILIANA NA CORONA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SHULE ZOTE NA VYUO KUENDELEA KUFUNGWA – MAJALIWA *Sherehe za Muungano, Mei Mosi zaahirishwa WAZIR...