Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi 281 baada ya visa vingine 11 kuthibitishwa leo Jumata...
TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YAKABIDHI TAARIFA KUHUSU MAPITIO YA SHERIA ZINAZOSIMAMIA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDHI
Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania imekabidhi Taarifa ya Mapitio ya Sheria Zinazosimammia Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi nchini kwa Wazi...
VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWA NA OFISI NDOGO ZA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ametoa wito kwa vyama vya siasa kufungua ofisi za makao makuu Jijini Dodoma kwa kuwa ndiyo m...
YONDANI AKINGIWA KIFUA YOUNG AFRICANS
Nahodha wa zamani beki wa Young Africans, Kelvin Yondani huenda akasaini mkataba mpya na uongozi wa klabu hiyo, kufuatia mkataba wake...
RAIS WA BRAZIL JAIR BOLSONARO AUNGANA NA WAANDAMANAJI KUPINGA AMRI YA KUBAKI NYUMBANI KISA CORONA
Rais Jair Bolsonaro wa Brazil ameamua kujiunga na mamia ya waandamanaji nje ya makao makuu ya jeshi mjini Brasilia kupinga amri ya kuba...
VIJANA WAHAMASISHWA UFUGAJI WA KUKU, KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa vifaranga vya kuku 540 kikundi cha vijana wajasiriamali ili kuhamasisha ufugaji utakaosaidia kuziba p...
WATU 8 WATIWA MBARONI BAADA YA KUTENGENEZA MSIBA FEKI ILI KUKIMBIA JIJI LA NAIROBI AMBAKO KUNA AMRI YA KUTOTOKA ILI KUKABILIANA NA CORONA
Watu nane ambao ni waombolezaji feki wanashikiliwa na polisi nchini Kenya kwa kudanganya kuwa walikuwa wanakwenda msibani, lengo lao li...
MAELFU WAANDAMANA ISRAEL KUMPINGA WAZIRI MKUU BENJAMIN NETANYAHU ANAYEKABILIWA NA MASHITAKA YA UFISADI
Maelfu ya raia wa Israel, wakiwa wamevaa barakoa za kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona, wameendelea kuandamana katika mji w...
NEWCASTLE UNITED KUWEKA REKODI MPYA ENGLAND
Kampuni ya Saudia Arabia Public Investment Fund chini ya Mfalme Mohammed Bin Salman, ipo tayari kuinunua klabu ya Newcastle United, ...
AMUUA MKEWE BAADA YA KUMFUMANIA NA NJEMBA NDANI KWAKE
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Pastory Majura mwenye umri wa miaka 52, Msukuma,...
WAFANYABIASHARA 200 WATANZANIA WAWEKWA KARANTINI KENYA
Wakati maambukizi ya Virusi vya Corona yakizidi kushika kasi nchini, zaidi ya Watanzania 200 wanaofanya biashara nchini Kenya, wameka...
CORONA: MIILI YA WAAFRIKA ITATAPAKAA MITAANI – MELINDA GATES
Melinda Gates, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga ...
MBUNGE TANZANIA AAMBUKIZWA CORONA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika ...
MWANDISHI AFUNGIWA KWA KUSAMBAZA TAARIFA ZA MGONJWA WA CORONA
Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar imemsimamisha kufanya kazi za uandishi Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Talib Ussi...
COLD AND SLEEPING IN CAVES, FLOODS VICTIMS SAY THEY ARE FORGOTTEN
A victim goes through the remains of his house at Chesegon area in West Pokot County after floods and landslides destroyed his home. ...
JONATHAN MOI'S WIVES BURY HATCHET
The late Jonathan Moi. PHOTO | FILE It is exactly one year since former President Daniel Moi’s eldest son Jonathan passed away . ...
YOUNG AFRICANS WAPEWA USHAURI WA BURE
Klabu ya Young Africans imeshauriwa kufanya kweli kama wanahitaji huduma ya mshambuliaji wa FC Saint-Éloi Lupopo ya DR Congo, Mpiana ...
GADIEL: WACHEZAJI SIMBA TUNADENI KUBWA
BEKI wa kushoto wa kikosi cha Simba, Gadiel Michael, amesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo wana deni kubwa la kulipa kwa mashabiki wa ...
APATA CORONA AKIWA GEREZANI
TEHRAN, IRAN Fatemeh Khishvand, mashuhuri kwa jina la Sahar Tabar katika mtandao wa Instagram, baada ya kutuma picha zake mtandaon...
BARNABA KUFUTA TATTOO YA MAMA MTOTO WAKE
Msanii wa bongo fleva, Eliasi Barnaba ‘Barnaba’ amesema mpango wake aliokuwa nao kwa sasa ni kufuta tattoo ya mama mtoto wake baada y...
ROSTAM: TAHADHARI KABLA YA ATHARI
Mfanyabiashara Rostam Aziz amewataka Watanzania kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona kutokana na ugonjwa huo kuwa ti...