President Uhuru Kenyatta addresses the nation about the coronavirus pandemic, at State House in Nairobi on April 25, 2020. The Covid-...
JPM ASAMEHE WAFUNGWA 3,973, ATOA UJUMBE MAADHIMISHO YA MUUNGANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewasamehe jumla ya wafungwa 3,973, siku moja kabla ya kuadhimisha...
NI KWELI KIM JONG-UN AMEFARIKI DUNIA? TRUMP HAAMINI, ‘MAREKANI’ WAANZA SHEREHE MAPEMA!?
Usiku wa kuamkia leo, Aprili 26, 2020 vyombo vya habari hasa vya Magharibi vimeripoti kuwa huenda Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jo...
WANAFUNZI WAONYWA KUPATA MIMBA LIKIZO YA CORONA
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanatulia nyumbani hawajihusishi na ngono kat...
ADHABU YA VIBOKO SAUDI ARABIA YAFIKA UKOMO
Mahakama ya juu nchini Saudi Arabia imetangaza kufuta adhabu ya viboko na kusema hatua hiyo ni moja ya mageuzi muhimu katika kulinda ...
MBARONI KWA KUREKODI NA KUSAMBAZA VIDEO ZA MTOTO AKINYWA BIA BAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII SHINYANGA
Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga linawashikilia Watu watatu kwa tuhuma za kufanya ukatili dhidi ya Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka ...
TUENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA CORONA - ASP SWEBE
Mrakibu mwandamizi wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam ASP Swebe ametoa wito kwa wananchi, hususan Wana Dar es Salaam kuendelea kuc...
MASOKO YADHAHABU KAHAMA YAINGIZA SHILINGI BILIONI6 1.5
Baada ya Serikali kujenga Masoko ya Madini katika mkoa wa Madini Kahama ili kudhibiti biashara holela na utoroshwaji wa dhahabu i...
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAFUNGA MASHINE TATU ZA KUSAFISHIA DAMU
Hospitali ya Taifa Muhimbili, imefunga mashine tatu za kusafisha damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana zenye thamani ya Shilin...
MAREKANI YAANZA KUFUNGUA BAADHI YA MAJIMBO YAKE LICHA YA KUENDELEA KUONGOZA DUNIANI KWA VIFO VYA CORONA
Majimbo matatu nchini Marekani yameruhusu baadhi ya maduka kufunguliwa tena baada ya hatua zilizowekwa za kukabiliana na kusambaa kwa v...
TANZIA: ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MAFIA, ABDULKARIM SHAH (BURJI) AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kuwa mbunge wa Jimbo la Mafia (2005-2015), Abdulkarim Shah (59) amefariki dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu ...
SERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUPAMBANA NA JANGA LA UGONJWA WA CORONA
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya ...
KATIKA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA CCM YAZINDUA USHONAJI WA BARAKOA CHUO CHA IHEMI MJINI IRINGA
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Mama Queen Mlozi, amezindua ushonaji wa Barakoa (Mask) katika Chuo cha Mafunzo...
WAZIRI BASHUNGWA AMEWAAGIZA TEMDO KUTENGENEZA MASHINE ZA KUKAMUA MIWA NA KUCHAKATA ZAO LA MKONGE.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ametoa rai kwa Taasisi ya Uhandisi na Usanifu wa Mitambo Tanzania (TEMDO) kuhakik...
WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWATAKA WENYE VIWANDA VYA SUKARI KUREJEA MIKATABA YA UBINAFSISHWAJI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amewataka wenye viwanda vya sukari nchini kurejea mikataba ya uzalishaji walioaf...