Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Koka Moita, amesema kuwa wanamshikilia Wakili wa kujitegemea Albert Msando, baada ya kutoa ...
RAIS WA ZAMANI WA SUDAN OMAR AL-BASHIR AOMBA KUHAMISHWA GEREZA BAADA YA MSAIDIZI WAKE WA ZAMANI KUPATA CORONA
Rais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir ametaka kuhamishwa gereza kufuatia habari kwamba mmoja wa wasidizi wake wa zamani ameambukizwa v...
CORONA AFRIKA KUSINI: WAGONJWA WAPYA 354 NDANI YA SIKU MOJA, VIFO 10
Afrika kusini jana, Aprili 29, 2020 imethibitisha ongezeko la visa 354 vya wagonjwa wa covid 19 ndani ya saa 24 ambapo ni ongezeko ku...
CHOLERA KILLS SEVEN IN MARSABIT
People wait outside a dispensary in Marsabit. Seven people have died following a cholera in Illeret Ward in North Horr, Marsabit County. ...
VIDEO: WIDOW 'COOKS' STONES FOR HUNGRY CHILDREN
When the Covid-19 broke out, Peninah Kitsao, a widow from Kisauni in Mombasa County, just like any other Kenyan, thought the disease ...
WIZARA YAFAFANUA MJADALA KUHUSU WACHEZAJI WAGENI
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Singo Kufuatia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwa...
VIFO VYA CORONA MAREKANI VYAFIKIA ELFU 61
Vifo vinavyotokana na corona vimeendelea kuongezeka USA ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 61,669, USA inaongoza kwa vifo vingi Du...
TRUMP KUTOONGEZA MUDA WA JAMII KUJITENGA
Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali haitozidisha muda wa mwisho wa muongozo wa kujitenga baada ya kumalizika rasmi muda wa...
CHINA YARIPOTI VISA VIPYA 4 VYA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA
Nchini China kumeripotiwa visa vipya vinne vya maambukizi ya virusi vya corona kwa Aprili 29, ikiwa ni pungufu ya vingine 22 viliv...
HELKOPTA YA NATO YAPOTEZA MAWASILIANO UGIRIKI
Helkopta ya Canada chapa CH-148 Cyclone ambayo ilikuwa katika mpango wa ulinzi wa Umoja wa Kujihami wa NATO imetoweka katika maeneo y...
RONALDO KUMLIPA MPENZI WAKE ZAIDI YA MILIONI 231 KWA MWEZI KWAAJILI YA MATUMIZI YA NYUMBANI
Licha ya kua bado hawajafunga ndoa rasmi, lakini Nyota wa Soka Duniani Christiano Ronaldo, anamuhudumia mpenzi wake na mama wa mtoto ...
ARUSHA YATANGAZA MAZISHI KUHUDHURIWA NA WATU 10
Kufuatia sintofahamu inayoendelea kuhusiana na idadi ya watu wanaoruhusiwa kushiriki mazishi katika kipindi hiki cha mlipuko wa ugonj...
JAJI MKUU MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHAN KUZIKWA JUMAMOSI
Maziko ya Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhan yanatarajiwa kufanyika Jumamosi hii Kimara King'ong'o baada ya mwili wake kuagw...
MARIO BALOTELI AFUNGUKA SABABU ZA KUIKATAA JUVENTUS 2013
Mshambuliaji wa zamani wa Man City Mario Balotelli ameweka wazi kuwa alikuwa mbioni kujiunga na klabu ya Juventus ya Italia akito...
KOCHA YANGA ATAKA USAJILI KAMA WA SIMBA
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, ameutaka uongozi wa timu hiyo kusimamia matakwa yake katika zoezi zima la usajili ili kuhakikisha msim...
MAJAMBAZI WAVAMIA KANISA KATOLIKI PAROKIA YA MODEKO MOROGORO, KANISA LAFUNGWA KWA KUFURU
Mheshimiwa Padre Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S., Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki la Morogoro nchini Tanzania amefunga Kanisa la P...
MAHAKAMA YAAMURU ZITTO AKAMATWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprli 29, 2020, imeamuru kukamatwa kwa Mbunge na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kwa kukiuka M...
CORONA: HOSPITALI YA NAIROBI KUPIMA SAMPULI 900 KWA SIKU, KUPIMA NI SH 200,000
Wizara ya Afya nchini Kenya imesema kuwa kuanzia Jumatatu ijayo, Hospitali ya Nairobi itafanya vipimo vya corona ikiwa imewezeshwa ku...
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO APATA MAAMBUKIZI YA CORONA, AZUNGUMZA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amesema kuwa amepimwa na kukutwa na virusi vipya vya corona (Covid-19), siku tatu zilizopit...