Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametangaza vita kwa wafanyabiashara wanaouza Sukari kwa bei ghali tofauti na bei elekezi y...
HALI YA MBUNGE MWENYE CORONA YAIMARIKA, WATATU WA CHADEMA WAHUDHURIA KIKAO
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametangaza kuwa Mbunge aliyekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona mwezi uliopita anaendelea vizuri na a...
KENYA IMETHIBITISHA MAAMBUKIZI MAPYA 25 YA VIRUSI VYA CORONA
Kenya imethibitisha maambukizi mapya 25 ya virusi vya Corona na kukisha 490 waliothibitishwa kuwa na virusi hivyo kukia sasa. Wiza...
LALIGA KUREJEA KWA TAHADHARI KUBWA/WACHEZAJI KUKAA KARANTINI
Ligi Kuu Hispania LaLiga leo Jumatatu ya May 04 Wachezaji wameanza mazoezi binafsi na kati ya Alhamisi na Jumamosi wanaweza kurejea u...
WATOA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA WAPEWA MAFUNZO NAMNA YA KUHUDUMIA WASHUKIWA NA WAGONJWA WA CORONA (+PICHA)
Jumla ya watoa huduma za afya 56 kutoka kwenye vituo vya afya vya umma na watu binafsi wilaya ya Shinyanga na Kishapu wamepatiwa mafunz...
WADAU WACHANGIA SH. MILIONI 150 KUKABILIANA NA CORONA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama amepokea msaada w...
SERIKALI YASEMA DEMOKRASIA ITAENDELEA KUHESHIMIWA NCHINI
Serikali inaendelea na zoezi la Kidemokrasia la wananchi kuboresha taarifa za wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ambazo zi...
MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO ATAKA MBINU MBADALA YA KARANTINI KWA WAGENI KUTOKA NJE YA MKOA KUINUA SEKTA YA UTALII
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema ataishauri serikali kuangalia uwezekano wa kuondoa utaratibu wa sasa wa kuwaweka kwenye kar...
SERIKALI YAWATAKA WAFANYA KAZI WA SALUNI WACHUKUE TAHADHARI DHIDI YA MAAMBUKIZI YA CORONA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa Wafanya kazi katika maeneo ya saluni kuchukua tahadhari ili kujikinga dhidi ya maambuki...
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI JIJINI MWANZA
Jeshi la polisi (m) Mwanza linawashikilia watuhumiwa 13 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali baada ya kufanya operation kali ...
KAMANDA WA POLISI AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA STENDI KUU YA MABASI MBEYA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI leo tarehe 04.05.2020 majira ya saa 05:00 Alfajiri ...
KUPOTEA SUKARI KISARAWE, DC JOKATE AMEFANYA UAMUZI HUU
Mkuu wa Wilaya ya Kisare Jokate Mwegelo ameeleza maamuzi yaliyofikiwa na uwongozi wa Wilaya ya Kisarawe kufuatia changamoto ya up...
VIPIMO VYA JPM, WAZIRI UMMY AAGIZA MKURUGENZI MAABARA ATUMBULIWE
Leo May 04, 2020 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Afya kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa...
WAGONJWA WATATU WAPYA WA CORONA WAPATIKANA CHINA
Maafisa wa afya Nchini China wamebaini leo Jumatatu kuwa watu watatu wamepatikana na virusi vya Corona katika China Bara, pia wamebai...
JAMII YAASWA KUFANYA MAZOEZI KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Rai hiyo imetolewa na Mtaalam wa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na lishe (TFNC) iliy...
MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA YAPINDUKIA MILIONI 3.5 DUNIANI KOTE
Maambukizi ya virusi vya Corona duniani yamepindukia milioni 3.5 leo Jumatatu, wakati idadi ya vifo vinavyosababishwa na janga hilo ime...
WENYE VIRUSI VYA CORONA UGANDA WAFIKA 89 BAADA YA MMOJA KUONGEZEKA
Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la mgonjwa mmoja wa corona na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 89. Waliopona corona Ugan...
MWANAFUNZI MIAKA 9 ABADILIKA RANGI KWA MARADHI YA MOYO, AOMBA MSAADA
Mwanafuzi mwenye umri wa miaka (9) darasa la tatu katika shule ya msingi Likuyuseka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma Jeska Kifaru anao...
MORRISON KUVURUGA DILI LA JUSTIN SHONGA
Wakati tetesi za usajili zikieleza huenda mabingwa wa soka Tanzania bara Wekundu Wa Msimbazi Simba wakamsajili mshambuliaji wa Orland...