NETANYAHU APINGWA MAHAKAMANI
MAHAKAMA ya Juu ya Isreal imesikiliza hoja za kumpinga Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika harakati zake za kutaka kuiongoza serika...
SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) WAFUNGUKA KUHUSU KUREJEA KWA MICHUANO YA LIGI KUU
Shirikisho la soka nchini (TFF), limeweka wazi kuwa linashirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB), kuhakikisha ligi kuu inarejea, lakini bado m...
MKUU WA MKOA AHAMASISHA WATU 'KUPIGA NYUNGU', DC AOMBA VIONGOZI WANAOJIFUKIZA WATUPIE PICHA
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa wito kwa wananchi na wadau wote mkoani humo kuhakikisha wanachukua hatua za tahadhari...
WAFANYABIASHARA SOKONI KUUZA KWA ZAMU KUEPUKA CORONA
Waziri wa viwanda na biashara nchini Rwanda, Soraya Hakuziyaremye amesema wafanyabiashara wa sokoni watafanya kazi kwa awamu ilikuepu...
NDEGE YA VIFAA VYA COVID-19 YAANGUKA SOMALIA SITA WAFARIKI
Nchini Somalia ndege iliyobeba vifaa vya misaada kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona nchini humo imeanguka na kuuwa watu si...
WIZARA YA UJENZI YAOMBA KUIDHINISHIWA ZAIDI YA TSH.TRILIONI 4
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Katika mwaka wa fedha 2020/21, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano imeomba kuidhinishiwa j...
WAGONJWA WA CORONA NCHINI UGANDA WAKIA 97
Wizara ya afya nchini Uganda imethibitisha maambukizi mapya 8 ya virusi vya Corona baada ya sampuli 2246 kufanyiwa vipimo na kufanya id...
MADAGASCAR YAENDELEA KUSAMBAZA DAWA YA CORONA
Madagascar ambayo imetangaza kugundua dawa ya asili ambayo inatibu ugonjwa wa corona, imeendelea kushafirisha shehena na dawa hiyo nj...
VIDEO: PIERRE AELEZA ALIVYOPONA CORONA “NAMUAMINI MUNGU TU”
Mchekeshaji Peter Mollel (Pierre Liquid) ambaye alipata maambukizi ya corona amethibitisha kuwa tayari amepona na kuruhusiwa huku...
WHO “VIRUSI VYA CORONA VINATOKA KWA WANYAMA”
Msemaji wa Shirika la afya duniani (WHO) Bibi Fadela Chaib jana kwenye mkutano na waandishi wa habari amesema, kwa mujibu wa ushahidi...
HII NDIYO MADAGASCAR NCHI ILIYOTANGAZA KUWA NA DAWA YA CORONA, WANANCHI WAKE WANAAMINI KATIKA NGUVU ZA MABABU,WACHAWI NA MIZIMU
MADAGASCAR imekua nchi ya kwanza barani Afrika kutangaza dawa ya asili inayotibu virusi vya Corona ambapo Rais wa nchi hiyo Andry Rajoe...
MWANAMKE MWENYE LIPS KUBWA DUNIANI ACHOMA SINDANO 20 ASIDI AONGEZE UKUBWA ZAIDI
Andrea Ivanova aliyeongeza lips Mwanamke Andrea Ivanova mwenye miaka 22 kutokea nchini Bulgaria, amesema ameongeza lips za mdomo wak...
MSHUMAA WAUNGUZA NYUMBA NA KUUA WATOTO
Watoto wawili wamefariki Dunia kufuatia kuungua moto kwa nyumba waliyokuwa wakiishi, katika mtaa wa Makuburi Ubungo jijini Dar es s...
TANZIA: MWANASHERIA NA MWANASIASA MKONGWE DK. MASUMBUKO LAMWAI AFARIKI DUNIA
Mwanasiasa na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 5, 2020. Dkt. Lamwai aliwahi...
ALGERIA YAFUNGA TENA BIASHARA KWA HOFU YA CORONA BAADA YA TARATIBU KUKIUKWA
Biashara nyingi nchini Algeria zilizokuwa zimefunguliwa wiki iliyopita, zimefungwa tena, katika maeneo kadhaa ya nchi hiyo, kwa sababu...
MARUFUKU KWA USAFIRI WA UMMA UGANDA KUENDELEA KWA SIKU 14
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kwamba marufuku kwa usari wa umma,kutotoka nje kuanzia saa moja jioni hadi saa kumi na moja n...