} });
 
MAREKANI YAJA NA MKAKATI WA KUFUNGUA UCHUMI
MAREKANI YAJA NA MKAKATI WA KUFUNGUA UCHUMI

Rais Donald Trump wa Marekani amesema Kikosi Kazi cha Ikulu kinachosimamia janga la COVID-19 kinatarajiwa kuvunjwa na mkakati uliopo hivi sa...

Read more » Soma zaidi »

CORONA: SERIKALI YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOJITOKEZA MIPAKANI
CORONA: SERIKALI YAENDELEA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZINAZOJITOKEZA MIPAKANI

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema changamoto zinazojitokeza katika mipaka mbali...

Read more » Soma zaidi »

KENYA WAKUBALI JARIBIO CHANJO YA CORONA KUFANYIKA KWAO
KENYA WAKUBALI JARIBIO CHANJO YA CORONA KUFANYIKA KWAO

Wanasayansi nchini Kenya wameungana na wenzao wa Kimataifa katika juhudi za kutafuta chanjo ya ugonjwa wa Covid -19, kwa kufanyia majaribio ...

Read more » Soma zaidi »

AZAM FC: TUNA CHANGAMOTO, LAKINI TUTAPAMBANA
AZAM FC: TUNA CHANGAMOTO, LAKINI TUTAPAMBANA

Mabingwa wa kombe la shirikisho Tanzania bara (ASFC) Azam FC wamesema wapo tayari kurejea kwa ligi kuu ya soka Tanzania bara, licha ya kukab...

Read more » Soma zaidi »

CORONA: NIMR-TANZANIA YATENGENEZA DAWA ASILI KUWASAIDIA WAGONJWA
CORONA: NIMR-TANZANIA YATENGENEZA DAWA ASILI KUWASAIDIA WAGONJWA

Wakati Dunia inaendelea kutafuta dawa na kinga dhidi ya virusi vipya vya corona (covid-19), Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu ya Ta...

Read more » Soma zaidi »

MTOTO WA MIEZI 6 AAMBUKIZWA CORONA, VISA VYAONGEZEKA KENYA
MTOTO WA MIEZI 6 AAMBUKIZWA CORONA, VISA VYAONGEZEKA KENYA

Visa vya corona nchini Kenya vimeongezeka baada ya idadi ya wanaopima kuongezeka kwa kasi kufuatia mikakati mipya iliyowekwa, ambapo mtoto w...

Read more » Soma zaidi »

WAFUNGWA 100 WAAMBUKIZWA CORONA DRC
WAFUNGWA 100 WAAMBUKIZWA CORONA DRC

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha maambukizi ya virusi vya Corona kwa wafungwa wapatao 100 katika gereza la kijeshi...

Read more » Soma zaidi »

AU KUCHUNGUZA DAWA YA CORONA KUTOKA MADAGASCAR
AU KUCHUNGUZA DAWA YA CORONA KUTOKA MADAGASCAR

Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitisha...

Read more » Soma zaidi »

RONALDO AWASILI ITALIA NA KUFIKIA KARANTINI SIKU 14
RONALDO AWASILI ITALIA NA KUFIKIA KARANTINI SIKU 14

Mshambuliaji wa Juventus ya Italia Cristiano Ronaldo amerejea Turin Italia kwa ajili ya kujiandaa na kuendelea tena kwa Ligi Kuu Italia Seri...

Read more » Soma zaidi »

HALMASHAURI YA MJI KAHAMA YAPIGA MARUFUKU UUZAJI HOLELA WA BARAKOA
HALMASHAURI YA MJI KAHAMA YAPIGA MARUFUKU UUZAJI HOLELA WA BARAKOA

Na Magdalena Kashindye Halmashauri ya mji wa Kahama Mkoani Shinyanga imepiga marufuku uuzaji holela wa Barakoa na kuwataka wananchi kuacha t...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI NCHEMBA ASEMA BAADHI YA WABUNGE WA UPINZANI KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE NI ISHARA YA KUSHUSHA UCHUMI NA KUWATAKA WATANZANIA KUACHA KUFUATA MILUZI INAYOPOTOSHA
WAZIRI NCHEMBA ASEMA BAADHI YA WABUNGE WA UPINZANI KUSUSIA VIKAO VYA BUNGE NI ISHARA YA KUSHUSHA UCHUMI NA KUWATAKA WATANZANIA KUACHA KUFUATA MILUZI INAYOPOTOSHA

Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Waziri wa Katiba na sheria Mhe.Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia ...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YA VIWANDA  NA BIASHARA YAOMBA  KUIDHINISHIWA ZAIDI YA TSH. BILIONI 81.4 HUKU WANANCHI WAKIASHWA KUNUNUA BIDHAA ZA NDANI
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YAOMBA KUIDHINISHIWA ZAIDI YA TSH. BILIONI 81.4 HUKU WANANCHI WAKIASHWA KUNUNUA BIDHAA ZA NDANI

Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Serikali imeendelea  kuhamasisha wananchi kununua bidhaa zinazozalishwa katika viwanda vya ndani  ili kuj...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YAVIFYEKA VYAMA 3,348 NI BAADA YA KWENDA KINYUME NA UANZISHWAJI WAKE
SERIKALI YAVIFYEKA VYAMA 3,348 NI BAADA YA KWENDA KINYUME NA UANZISHWAJI WAKE

SERIKALI imetangaza kuvifuta rasmi vyama vya Ushirika 3,348 ambavyo vingi ni hewa huku ikisema zoezi la kufuta vyama hivyo litakua endelevu ...

Read more » Soma zaidi »

TRA KAGERA YAVUKA MALENGO YA SERIKALI YAKUSANYA BILLION 16 KWA ROBO YA MWAKA WA FEDHA 2019-2020
TRA KAGERA YAVUKA MALENGO YA SERIKALI YAKUSANYA BILLION 16 KWA ROBO YA MWAKA WA FEDHA 2019-2020

Jumla ya shilingi Bilioni 16.18 zimekusanywa na mamlaka ya mapato Tanzania mkoani Kagera kwa upande wa kodi za forodha na kodi za ndani kwa ...

Read more » Soma zaidi »

SIMIYU YAZINDUA MKAKATI WA WANAFUNZI KUSOMA KIPINDI CHA LIKIZO YA TAHADHARI YA CORONA
SIMIYU YAZINDUA MKAKATI WA WANAFUNZI KUSOMA KIPINDI CHA LIKIZO YA TAHADHARI YA CORONA

Mkoa wa Simiyu umezindua mpango mkakati wa kuwawezesha wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari kusoma katika kipindi hiki cha likizo ya  d...

Read more » Soma zaidi »

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUANDIKA TAARIFA SAHIHI KUHUSU UGONJWA WA CORONA
WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUANDIKA TAARIFA SAHIHI KUHUSU UGONJWA WA CORONA

Waandishi wa Habari nchi wametakiwa kuandika habari sahihi kuhusu virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona (COVID-19) ili wananchi wapate t...

Read more » Soma zaidi »

VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO
VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO

Vyuo vya Mafunzo ya Kilimo ( MATI) vimeagizwa kuhakikisha vinatumia wataalam wakufunzi na rasilimali ardhi kuzalisha mazao mengi bora ili ku...

Read more » Soma zaidi »

VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KUTOKA 25 KWA KILA VIZAZI HAI 1000 HADI SABA KWA KILA VIZAZI HAI 1000
VIFO VYA WATOTO WACHANGA VIMEPUNGUA KUTOKA 25 KWA KILA VIZAZI HAI 1000 HADI SABA KWA KILA VIZAZI HAI 1000

Vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28 vimepungua kutoka 25 kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwaka 2015/16 na kufikia saba  kwa...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATANO 06 MEI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATANO 06 MEI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top