Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma inamshikilia Simon Mapunda mkazi wa Dodoma kwa tuhuma za kujifanya afisa wa...
WENYE VIRUSI VYA CORONA NCHINI KENYA WAFIKA 607
Kenya imethibitisha maambukizi mapya 25 ya virusi vya Corona, hii ni baada ya watu 632 kupimwa katika muda wa saa 24 zilizopita na kufanya...
TANZIA: MKUU WA WILAYA YA NYANG'WALE MKOANI GEITA, HAMIM BUZOHERA GWIYAMA AFARIKI DUNIA
Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufa...
CCM UBUNGO YAMPONGEZA DC MAKORI KWA UTENDAJI
KAMATI ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ubungo, chini ya mwenyekiti wake Lucas Mgonja, imempongeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kis...
ETHIOPIAN AIRLINES: TUKO TAYARI KUSAIDIA MASHIRIKA YA NDEGE YALIYOKWAMISHWA NA CORONA
Shirika la Ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) linajiandaa kuyaokoa mashirika ya ndege yaliyokwama katika ubebaji mizigo licha ya kwamba ...
COVID-19: RAIA 209 WA UTURUKI WASAFIRISHWA KUTOKA MALDIVI
Waturuki 209 wasafirishwa kutoka katika visiwa vya Maldivi kutokana na virusi vya corona na kurejeshwa Uturuki. Waturuki 209 wasafirishwa k...
MIKE TYSON KURUDI TENA ULINGONI
Bingwa wa zamani wa ndondi katika uzito wa juu duniani, Iron Mike Tyson, yupo katika mazoezi makali ya kurudi jukwaani, akitaka kucheza pam...
MANCITY YASEMA HERI SANE AOZEE BENCHI BADALA YA KUUWAUZIA BAYERN KWA BEI YA KUTUPA
MANCHESTER City wamesema itakuwa heri zaidi kwa kiungo Leroy Sane kuingia katika mwaka wa mwisho katika mkataba kati yake nao na awe huru ku...
UGONJWA USIOJULIKANA WAENDELEA KUSABABISHA VIFO NCHINI NIGERIA
Watu wasiopungua 100 wamekwishafariki ndani ya siku 10 kutokana na ogonjwa usiojulikana nchini Nigeria . Ogonjwa ambao umeripotiwa kuwa ugon...
WATU 45 WAFARIKI KATIKA AJAILI YA MOTO ILIOTOKEA KWENYE MGODI WA DHAHABU NCHINI LIBERIA
Moto uliotokea katika mgodi wa kuchimba dhahabu nchini Liberia umepelekea watu 45 kufariki. Ajali hiyo ya moto imetokea katika mgodi wa dha...
WAZIRI AWESO: WATUMIAJI WA MAJI WASHIRIKISHWE USOMAJI WA MITA
Serikali imewaagiza wakurugenzi wa mamlaka zote za maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji wa mi...
BUNDESLIGA KUREJEA MEI 15
Bodi ya ligi nchini Ujerumani (DFL) imethibitisha kuwa ligi kuu ya soka nchini humo (Bundesliga), inatarajiwa kuendelea Mei 15, baada ya kus...
TRUMP ATUMIA VETO KUUKATAA MUSWADA WA KONGRESI ULIOMPUNGUZIA MAMLAKA YA KUANZISHA VITA DHIDI YA IRAN
Rais Donald Trump wa Marekani ametumia mamlaka yake ya veto kuukataa muswada uliopitishwa na Kongresi, ambao umetaka mamlaka aliyopewa ya ku...
TRUMP AENDELEA KUISHAMBULIA CHINA KUHUSU VIRUSI VYA CONA, WALIOFARIKI KWA VIRUSI HIVYO MAREKANI WAFIKA 74,809
Kwa mara nyingine rais wa Marekani Donald Trump ameishambulia China kwa jinsi ilivyoshughulikia mlipuko wa virusi vya corona huku akisema ja...
FLOODS KILL 200 PEOPLE IN KENYA AFTER HEAVY RAINS
Floods and landslides in Kenya have killed nearly 200 people since heavy rain began last month across much of the country. Another 100,000...
ALIYETANGAZWA KUFA 2016 BADO YU HAI
Mchezaji Hiannick Kamba, aliyetangazwa amekufa katika ajali ya gari mwaka 2016 amekutwa yupo hai. Kwa mujibu wa gazeti la Bild la nchini U...
INDIA GAS LEAK: AT LEAST EIGHT DEAD AFTER VISAKHAPATNAM ACCIDENT
Hundreds have taken ill after the gas leak at a polymer factory Eight people have died, with hundreds of others taken ill, after a gas leak ...
MWANRI: “TUNAKUJA NA KITU KINAITWA KUBAMIZA CORONA”
Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amepiga marufuku kwa abiria yoyote anayeingia na kutoka mkoani humo kuingia kwenye usafiri wa umma bil...
VIDEO: MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jim...
SPIKA NDUGAI AIGOMEA BARUA YA CHADEMA YA KUTOMTAMBUA CECILI MWAMBE KAMA MBUNGE
Spika Job Ndugai jana alisoma barua ya Katibu wa Chadema, John Mnyika, iliyotaka bunge kutomtambua Cecili Mwambe kama Mbunge na kumlipa sta...
WANANCHI WATAKIWA KUFUTATA TARATIBU ILI KUJIJINGA NA CORONA
Na Imani Anyigulile - Mbeya Diwani wa kata ya Itezi Mh. Clavery Mayango amewataka wananchi wa kata hiyo kuendelea kufuata utaratibu unaotole...
SPIKA NDUGAI AWATAKA WABUNGE WOTE CHADEMA WALIOSUSIA VIKAO VYA BUNGE WARUDISHE MAMILIONI YA PESA WALIZOLIPWA
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa Chadema waliosusia vikao vya bunge kwa kisi...
SPIKA NDUGAI AWATAKA CHADEMA WAJIANDAE KULIPA GHARAMA ZA KESI ILIYOFUNGULIWA NA TUNDU LISSU
Spika wa Bunge ,Job Ndugai amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu M...
WAFANYABIASHARA WA SUKARI WATAKIWA KUBAINISHA CHANGAMAMOTO ZINAZOWAKABILI KATIKA UPATIKANAJI WA SUKARI
Na Magdalena Kashinye - Kahama Serikali Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga imewataka wafanyabiashara wakubwa wa sukari wilayani hapa kufikis...