Watoto Abigaeli na Roselyn wakiwasha moto kwa kutumia magunzi ya mahindi ili wapike chakula chao. Hawa ni wakazi wa Makanyagio na wazazi wao...
KANISA KATOLIKI: IBADA, HARUSI KURUHUSIWA KUANZIA MEI 18
SERIKALI ya Italia na Maaskofu wa Kanisa Katoliki wamesaini makubaliano ya kuruhusu Ibada pamoja na mikusanyiko vya kidini kama harusi...
VIDEO: AJALI YA LORI NA COASTER YAUA WATU WATANO MKOANI GEITA, 14 WAJERUHIWA
Picha hii haihusiani na habari hii Watu watano wamefariki dunia huku wengine 14 wakijeruhiwa baada ya gari aina ya Coaster kugonga Lori kati...
WABUNGE WALIOPO DAR ES SALAAM WATAKIWA KURIPOTI POLISI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka w...
BAADA YA MWANAJESHI WA IKULU KUKUTWA NA CORONA, TRUMP APIMA TENA ASEMA HANA CORONA
Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu wake wa Rais Mike Pence wamelazimika kupima tena corona baada ya Mwanajeshi anayefanya kazi Ikulu ku...
WIZARA YA UTALII YAWASILISHA BAJETI YA MAKADIRIO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021, HUKU IKIWEKA BAYANA ATHARI ZA CORONA KATIKA UTALII IKIWA NI PAMOJA NA KUSHUKA MAKUSANYO KWA ASILIMIA 75%
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imewasilisha bajeti yake ya mwaka 2020/2021 huku ikiweka bayana athari zit...
WORLD VISION YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID-19 VYA MILIONI 17 KWA MKOA WA TABORA
SHIRIKA la World Vision Tanzania limekabidhi vifaa vya thamani ya shilingi milioni 17.1 vya kudhibiti virusi vya Corona vinavyosababisha ugo...
KASHUWASA WAIUNGA MKONO SERIKALI KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA COVID-19
Katika jitihada za kuunga mkono Serikali katika mapambano dhindi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona Mam...
HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA YATOA MSAADA KWA WAUMINI WA KIISLAMU KAHAMA
Halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa baraza la waislam Tanzania (BAKWATA) wenye thamani ya zai...
VIDEO: WATUHUMIWA WA UJAMBAZI WAKAMATWA WAKIWA NJIANI KWENDA KUFANYA UHALIFU MKOANI ARUSHA (+PICHA)
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha baada ya kupata taaarifa fiche limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne wa ujambazi akiwemo Mganga wa Kienyej...
MKUU WA MKOA WA SONGWE BRIG. JEN. NICODEMUS MWANGELA ATOA SIKU TATU WATUMISHI WARUDISHE MILIONI 22 WALIZOTUMIA
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje walio tumia fedha za makusanyo ya ndani kiasi cha shilingi milioni 22.083 wametakiwa kuzirudisha...
MAFURIKO YAUA 55, YASOMBA NYUMBA NA MALI – RWANDA
Watu 55 wamefariki dunia na wengine 16 wamejeruhiwa kwa mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha jana nchini Rwanda. Wizara in...
RAPA WA UINGEREZA AFARIKI KWA UGONJWA WA CORONA
Rapa Ty wa Uingereza ambaye jina lake halisi ni Ben Chijioke amefariki baada ya kushambuliwa na virusi vipya vya corona (covid-19). Ta...
VIDEO: “NINGEKUWA SPIKA NINGECHARAZA WABUNGE VIBOKO” RC ALIECHAPA WANAFUNZI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amewashauri Watanzania kutorudi nyuma kwenye vita dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona na badal...
SEX ASSAULT ACCUSER SAYS JOE BIDEN SHOULD QUIT POLL RACE
Democratic presidential candidate and former US Vice President Joe Biden displays his schedule card as he speaks during the 2020 Gun Safety ...
COVID-19: VIRUS COULD KILL UP TO 190,000 IN AFRICA
Business in Eastleigh, Nairobi, on May 6, 2020, continued as usual despite coronavirus outbreak. Some 190,000 people in Africa are likely to...
DKT. NDUGULILE: ENDELEENI KUTIBU WATU WENYE MAGONJWA MENGINE NA SI WA COVID -19 TU
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewataka wataalamu wa afya kuendelea kutibu watu wenye magonjwa mengine kama vi...
PROFESA ALIYEKUWA ANAFANYA UTAFITI KUHUSU VIRUSI VYA CORONA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI MAREKANI
Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa ku...
VIFO VYA CORONA KUCHUNGUZWA
Vituo vya kutolea huduma za afya nchini vyatakiwa kufanya uchunguzi juu ya kifo chochote kitakachotokana na ugonjwa wa corona ili kubaini ka...