Divine Radio Live
SERIKALI YABAINISHA WATAKAOFANYIWA JARIBIO DAWA YA CORONA
Mganga mkuu wa Serikali prof. Abel Makubi mapema leo amebainisha makundi matatu ya watu ambao watafanyiwa majaribio ya dawa dhidi ya homa ka...
MUME WA MWIMBAJI JENNIFER MGENDI AFARIKI DUNIA
Mhadhiri wa chuo kikuu cha ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula ambaye pia ni mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Jennifer Mgendi amefar...
CORONA YASHUSHA MAPATO SEKTA YA UTALII TANZANIA
Kutokana na virusi vya corona vinavyoendelea kuisumbua dunia, Wizara ya Utalii na Maliasili imesema mapato katika sekta hiyo yameshuka kutok...
TAARIFA KWA KINA: MADAGASCAR YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA DAWA YA CORONA
Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya COVID – 19 na badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kura...
RAIS WA VENEZUELA AELEZEA MAREKANI WALIVYOSHINDWA KUMTEKA
Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa Askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa Askari 13 waliokamatwa baa...
SON HEUNG-MIN AMALIZA MAFUNZO YA KIJESHI SOUTH KOREA
Staa wa Tottenham Hotspurs Son Heung-min ,27, amemaliza mafunzo ya kijeshi kwa mujibu wa sheria za nchi yake ya South Korea. Sheria ya...