BAJETI ya makadirio ya wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi, imeanza kujadiliwa Bungeni leo Mei 11, baada ya waziri mwenye dhamana...
OBAMA AMPONDA TRUMP “MBINU ANAZOTUMIA KUKABILIANA NA COVID19 HAZISAIDII”
Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama amemtuhumu Rais Donald Trump kuwa ameshindwa kuikabili #COVID19 kwani mbinu anazotumia hazijasaidia c...
PAINFUL HOMECOMING FOR MAN WHOSE WIFE DIED IN INDIA
Mr Geoffrey Imathiu overcame hardships in India to return with his wife's body. When the Kenya Airways Flight 205 landed at the Jomo Ken...
POGHISIO REPLACES MURKOMEN IN SENATE LEADERSHIP
West Pokot Senator Samuel Poghisio who was on May 11, 2020 elected as the new Senate majority leader. He has replaced Elgeyo-Marakwet Senato...
VIDEO: CHADEMA YAWAFUTA UANACHAMA WABUNGE WANNE
“Kamati Kuu CHADEMA imeazimia Wabunge Anthony Komu na Joseph Selasini pamoja na kuwa wamejipotezea sifa ya uanachama wa CHADEMA, wameendelea...
DHANA YA UWEZESHAJI WANANCHI IMEGUSA MAHITAJI YA MAKUNDI MAALUM
SERIKALI ikishirikiana na wadau mbalimbali kutoka Sekta Binafsi imekuwa ikitekeleza majukumu mbalimbali ya kuwawezesha Wananchi Kiuchumi ili...
VIDEO: GWAJIMA AMTAKA WAZIRI MKUU AMPE RUHUSA AKAWAOMBEA WAGONJWA WA CORONA
"Nikiongea Mungu anaponya wanaanza kunijadili, kwa taarifa yao mimi nachukua hatua ya pili, nimemuandikia Waziri Mkuu Majaliwa anipe ru...
SHIRIKA LA AGAPE LATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA VIJIJI VYA KATA YA MWAMALA SHINYANGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi ndoo ya kunawia mikono Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasint...
CHINA YARIPOTI VISA VIPYA VYA CORONA
China imeripoti visa vipya 17 vya maambukizi ya corona ambapo 10 kati ya hivyo yakiwa ni maambukizi ya ndani huku wagonjwa watano wakiwa wan...
KISA CHA MAPENZI CHIMBUKO LA KAMPUNI ILIYOTAJIRIKA NA CORONA
Kwa mara ya kwanza katika maisha yake, mwanzilishi wa programu mpya ya mawasiliano Zoom , Eric Yuan aliorodheshwa katika orodha ya Forbes ya...
CORONA: ZAMBIA YAFUNGA MPAKA WAKE NA TANZANIA KWA MUDA USIOJULIKANA
Mpaka wa Tanzania na Zambia, (Nakonde), umefungwa rasmi leo Mei 11, 2020 baada ya nchi ya Zambia kurekodi visa vingi vya corona ndani ya sik...
TETEMEKO LA ARDHI LATOKE NCHINI INDONESIA NA JAPAN
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5,5 katika kipimo cha Richter laripotiwa kutokea katika eneo la Ibaraki Mashariki mwa Japan na katika mkoa...
IKULU YA MAREKANI YAKANUSHA MAKAMU WA RAIS PENCE KUKAA KARANTINI
Makamu wa rais wa Marekani Mike Pence anaripotiwa kwamba atakwenda karantini nyumbani kwake baada ya mshauri mmoja wa ikulu ya White House k...
BABA AMJERUHI MWANAE NA KITU CHENYE NCHA KALI KISHA NAYE KUJICHOMA TUMBONI NA UTUMBO WAKE KUTOKA NJE
Jeshi la polisi mkoani Katavi linamshikilia Alfan Mlewa mwenye umri wa miaka ishirini na minane mkazi wa kitongoji cha Mnyagala 'A' ...
MSHAURI WA RAISTRUMP, MIKE PENCE AJITENGA KUTOKANA NA COVID-19
Msemaji wa makamu wa rais wa Marekani na mashauri wa rais Donald Trump Mike Pence amejitenga baada ya msemaji wa Katie Miller kugunduliw...
WATU WATATU WAMEFARIKI KATIKA SHAMBULIZI DHIDI YA MSIKITI AFGHANSTANI
Watu wameripotiwa kuuawa katika shambulizi la silaha lililolenga mskiti mmoja unaopatikana katika eneo la Paktiya. Watu ambao bado hawajajul...
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA ALEGEZA VIKWAZO KWA MARA YA KWANZA NCHINI HUMO TANGU JANGA LA CORONA LIIKUMBE NCHI HIYO
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kwa mara ya kwanza ametangaza kulegeza vikwazo dhidi ya virusi vya corona. Johnson amesema kuanzia l...
KENYA WAVUMBUA KIFAA CHA KURAHISISHA UPIMAJI CORONA
Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Serikali cha Meru nchini Kenya, kimevumbua mfumo wa kidigitali unaofahamika kama ‘CovIdent’ utakaotoa alama za...
NAIBU WAZIRI WA AFYA DKT FAUSTINE NDUGULILE AKANUSHA TAARIFA KWAMBA NI MGONJWA
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Faustine Ndugulile, amekanusha taarifa za kwamba yeye ni mgonjwa na ha...
MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI KUENDELEA KUSOTA RUMANDE
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Nchambi (CCM), imetajwa tena leo Jumatatu Me...
KATIBU BARAZA LA ARDHI KITETO KIZIMBANI KWA RUSHWA
Ofisi ya TAKUKURU Kiteto, imemfikisha mahakamani katibu wa baraza la ardhi kata ya Sunya, Hamisi Hemedi Saidi kwa kosa la kuomba na kupokea ...
WAKUSANYAJI MAPATO MKOANI TABORA AMBAO HAWAJAPELEKA FEDHA BENKI KUCHUKULIWA HATUA
SERIKALI ya Mkoa wa Tabora imeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa watumishi wote waliopewa mashine za kukusanyia mapao (POS) ambao hadi ...