Mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Mafumu Bilal Bombenga maarufu ‘Super Sax’, amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kisukari ...
RAIS MUSEVENI AHOFIA CORONA KUKWAMISHA UCHAGUZI 2021
Ikiwa takriban wagombea 24 wametangaza nia ya kugombea kiti cha Urais nchini Uganda na wamewasilisha maombi yao kwa Tume ya Taifa ya Uchaguz...
RUKSA KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA ITALIA
Klabu za soka nchini Italia zimepewa tuhusa ya kuanza kufanya mazoezi ya pamoja kuanzia mwanzoni mwa juma lijalo (Mei 18), kabla ya kuanza r...
WAGONJWA WATANO WA CORONA WAFARIKI KWA MOTO HOSPITALI
Wakati Urusi, leo ikiripoti kesi mpya 10,899 za virusi vya corona katika kipindi cha saa 24, kumezuka ajali ya moto katika hospitali ya St G...
AMUUA MKE WAKE KISHA KUMUUNGUZA MOTO KWA KUNYIMWA TENDO LA NDOA
Jeshi la polisi mkoa wa Mara limamshikilia Mokiri Wambura (46) mkazi wa Kengesi wilaya ya Serengeti mkoani Mara kwa tuhuma za kumuua mke wak...
LIVE: MFUNGWA MWANAMKE ANATAFUTWA NA POLISI, ALITOROKA SIKU YA HUKUMU, RPC AZUNGUMZA
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linawasaka wahalifu wawili kwa tuhuma za ujangili. Pia jeshi hilo linamsaka mwanamke anayefahamika kwa jina l...
BUNGE LIVE: HATMA YA CHADEMA KUJULIKANA LEO, BAJETI YA KILIMO INAJADILIWA
BAJETI ya wizara ya Kilimo, imeanza kujadiliwa Bungeni leo Mei 12, baada ya waziri mwenye dhamana, Japhet Hasunga,. kuiwasilisha Bungeni hapo.
GHANA: MFANYAKAZI AWAAMBUKIZA CORONA WAFANYAKAZI 533
Mfanyakazi mmoja wa kiwanda cha samaki nchini Ghana, amewaambukiza kirusi cha corona kinashosababisha maradhi ya Covid-19 wafanyakazi wenzak...
MAJAMBAZI WAVAMIA NA KUPORA MATAIRI YA GARI LA KAMANDA WA POLISI GEITA
Jeshi la polisi mkoani Geita linawashikilia watu wawili waodaiwa kuwa ni majambazi huku likiendelea kuwasaka watu kadhaa kwa tuhuma za kuvam...
SPIKA NDUGAI ATOA MASHARTI YA KUMTIMUA BUNGENI CECIL MWAMBE
Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amewataka wale wote wanaotaka amfukuze Ubunge Mbunge wa Ndanda Cecil Mwambe, basi wamshauri amuandiki...
MAMA AUA MTOTO WAKE WA MIAKA MIWILI ILI APATE UTAJIRI KISHIRIKINA
WATU wanne wanashikiliwa na Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto, Tamali Simon (2), ambapo miongoni mwa watuhumiwa ni mama mzaz...
RAIS TRUMP AKATISHA MKUTANO NA WAANDISHI BAADA YA KUKERWA NA SWALI LA MWANDISHI WA HABARI
Rais Trump amekatisha mkutano na waandishi baada ya kukerwa na swali la Mwandishi wa CBS Weijia Jiang aliyemuhoji ni kwanini amekuwa anashin...
WALIOFARIKI KWA CORONA NCHINI MAREKANI WAFIKA 81,795
Kulingana na takwimu zilizotolewa na shirika la habari la Reuters, idadi ya vifo vinavyotokana na janga la Corona imefikia zaidi ya 81,795 n...
MADEREVA WA TANZANIA WALALAMIKA ZOEZI LA UPIMAJI CORONA MPAKA WA NAMANGA KWENDA KENYA
Madereva wa malori na magari 302 waliokuwa wanasafirisha bidhaa na abiria kwenda nchi jirani ya Kenya, jana walizuiliwa katika mpaka wa Nama...
UEFA WAKO TAYARI KUWAONGEZEA MUDA EPL WAKULETA MPANGO KAZI WAO MEZANI
Chama soka ulaya (UEFA) kimeripotiwa kuwa kitaongeza muda mbele zaidi endapo Ligi Kuu England hawatokuwa wamefikia muafaka wa namna ya kurej...
IRANI YAWAUA WANAJESHI WAKE KIMAKOSA KATIKA JARIBIO LA KOMBORA JIPYA
Wanamaji 19 wameuawa na wengine 15 wakajeruhiwa katika tukio la ajali lililohusisha meli za kijeshi za Iran katika Ghuba ya Oman , jeshi la ...
BIASHARA KUENDELEA TUNDUMA LICHA YA ZAMBIA KUFUNGA MPAKA WAKE NA TANZANIA
Wafanyabiashara wametakiwa kuendelea na shughuli mbalimbali za kiuchumi katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma ambao uko katika Mpaka wa Tanza...
CHADEMA WAPUUZA MADAI YA SPIKA JOB NDUGAI
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeadhimia kuyapuuzia maagizo ya Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wo...
DAVID SILINDE AWAJIBU CHADEMA BAADA YA KUFUTWA UANACHAMA, "MAAMUZI YAO NI YA KITOTO"
Muda mfupi baada ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kuwafuta uanachama wabunge wake wanne, Anthony Komu (Moshi Vij...