} });
 
SIKILIZA NA KUPAKUA IBADA KUTOKA KANISA LA CGRA
SIKILIZA NA KUPAKUA IBADA KUTOKA KANISA LA CGRA

Bwana Yesu Asifiwe, sasa unaweza kupata Ibada zinazofanyika katika Kanisa la CGRA hapa mjini Kahama. Bofya HAPA kusikiliza na kupakua.

Read more » Soma zaidi »

DIWANI AWASHUKURU WANANCHI KWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KIMAENDELEO
DIWANI AWASHUKURU WANANCHI KWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA KIMAENDELEO

Na Anyigulile Amani - Mbeya Diwani wa kata Lugelele kata iliyopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya Mh. Nelson Vicent amewashukuru wananchi wa ka...

Read more » Soma zaidi »

KENYA: AMUUA MUMEWE KWA SABABU YA DENI LA SH 1,700
KENYA: AMUUA MUMEWE KWA SABABU YA DENI LA SH 1,700

Mama wa watoto watano alifikishwa mahakamani kwa madai alimuua mumewe kwa sababu ya deni la Sh1,700. Susan Kawira alimsihi hakimu mkuu Marth...

Read more » Soma zaidi »

MTOTO WA MBOWE BAADA YA KUUGUA KWA SIKU 57 HATIMAYE APONA CORONA
MTOTO WA MBOWE BAADA YA KUUGUA KWA SIKU 57 HATIMAYE APONA CORONA

Mtoto wa Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dudley Mbowe, ametangaza kupona rasmi virusi vya Corona ikiwa ni baada y...

Read more » Soma zaidi »

CORONAVIRUS: BRAZIL YAREKODI VIFO 881 NDANI YA SAA 24
CORONAVIRUS: BRAZIL YAREKODI VIFO 881 NDANI YA SAA 24

Wizara ya Afya nchini Brazil imethibitisha jumla ya vifo 12,400 kutokana na COVID-19 huku idadi ya visa ikifika 178,214 na kuipita Ujerumani...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI YADAI UWEZEKANO WA KUPATA COVID19 DAR NI MKUBWA
MAREKANI YADAI UWEZEKANO WA KUPATA COVID19 DAR NI MKUBWA

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umedai kuwa hatari ya kupata COVID-19 katika mkoa wa Dar ni kubwa japo hakuna ripoti rasmi za Ugonjwa hu...

Read more » Soma zaidi »

NIYONZIMA ACHIMBA MKWARA MZITO YANGA
NIYONZIMA ACHIMBA MKWARA MZITO YANGA

KIUNGO mnyumbulifu wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema endapo Ligi Kuu Bara, itarejea timu yake ina uhakika mkubwa wa kucheza michuano ya Ko...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: LIGI KUU KUREJEA “MASHABIKI HAWAINGII UWANJANI” WAMILIKI VIBANDA UMIZA WAJIPANGA
VIDEO: LIGI KUU KUREJEA “MASHABIKI HAWAINGII UWANJANI” WAMILIKI VIBANDA UMIZA WAJIPANGA

Wamiliki wa vibanda vya kuonyeshea mpira maarufu kwa jina la vibanda umiza mkoani Morogoro wameanza maandalizi ya kukabiliana na wingi wa wa...

Read more » Soma zaidi »

WABUNGE WATAKA BENKI YA DUNIA KUFUTA MADENI
WABUNGE WATAKA BENKI YA DUNIA KUFUTA MADENI

Wabunge kutoka nchi mbalimbali duniani wametoa wito kwa shirika la Fedha la kimataifa (IMF) na Benki ya dunia kufuta madeni kwa nchi masikin...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA KUU MUSOMA YASIKILIZA MASHAURI 18 KWA NJIA YA VIDEO (+PICHA)
MAHAKAMA KUU MUSOMA YASIKILIZA MASHAURI 18 KWA NJIA YA VIDEO (+PICHA)

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Musoma, imesikiliza jumla ya mashauri kumi 18 kwa njia ya Mahakama Mtandao ‘Video Conference’ tangu ilipoa...

Read more » Soma zaidi »

WIZARA YA MALIASILI YAUNDA KIKOSI KAZI CHA KUPAMBANA NA UPOTOSHAJI
WIZARA YA MALIASILI YAUNDA KIKOSI KAZI CHA KUPAMBANA NA UPOTOSHAJI

Wizara  ya Maliasili na Utalii imeunda kikosi kazi kitakachoshirikiana na taasisi zingine kukabiliana na watu wanaotoa taarifa za upotosasha...

Read more » Soma zaidi »

AMUUA MKEWE BAADA YA KUMPOKONYA SIMU AKIMTUHUMU ANACHEPUKA NA MWANAMKE MWINGINE
AMUUA MKEWE BAADA YA KUMPOKONYA SIMU AKIMTUHUMU ANACHEPUKA NA MWANAMKE MWINGINE

Jamaa mmoja mwenye miaka 65, kutoka kijiji cha Sikuvale, eneo bunge la Navakholo, Kakamega nchini Kenya amekamatwa kwa madai ya kumchapa had...

Read more » Soma zaidi »

MUUZA MAJI ANG'OLEWA JINO BAADA YA KUMTUMIA SMS YA MAHABA BINTI WA JIRANI YAKE
MUUZA MAJI ANG'OLEWA JINO BAADA YA KUMTUMIA SMS YA MAHABA BINTI WA JIRANI YAKE

Taarifa kutoka Mahakama ya Mombasa nchini Kenya, zinaripoti kuwa jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Maurice Ochieng, ameachiwa kwa dhaman...

Read more » Soma zaidi »

AKAMATWA KWA KUVAA SARE ZA JWTZ ALIZOIBA KWA BABA MKWE ILI ASILIPE NAULI KATIKA BASI
AKAMATWA KWA KUVAA SARE ZA JWTZ ALIZOIBA KWA BABA MKWE ILI ASILIPE NAULI KATIKA BASI

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Mrisho Ibrahimu mwenye umri wa miaka 34 kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi (JWTZ...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YATAJA SABABU ZA SUKARI KUADIMIKA NCHINI
SERIKALI YATAJA SABABU ZA SUKARI KUADIMIKA NCHINI

Serikali imetaja sababu tatu ambazo zimesababisha kuadimika kwa sukari nchini, huku ikitoa msimamo wake kuhusu bihaa hiyo muhimu. Waziri wa ...

Read more » Soma zaidi »

UMEME UTAKAOTUMIKA KATIKA RELI YA KISASA YA KUENDESHA TRENI- SGR KUKAMILIKA MWISHONI MWA MEI, 2020
UMEME UTAKAOTUMIKA KATIKA RELI YA KISASA YA KUENDESHA TRENI- SGR KUKAMILIKA MWISHONI MWA MEI, 2020

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaotumika katika Reli ya kisasa ya kuendesha...

Read more » Soma zaidi »

UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU MWANZA WASHIKA KASI
UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU MWANZA WASHIKA KASI

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wapili kulia) akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella  na kulia ni Afisa Madini Mkazi w...

Read more » Soma zaidi »

WAZAZI WATAKIWA KUWALINDA WATOTO ILI KUEPUKA MATUKIO YASIYO YA LAZIMA KWENYE JAMII
WAZAZI WATAKIWA KUWALINDA WATOTO ILI KUEPUKA MATUKIO YASIYO YA LAZIMA KWENYE JAMII

Na Anyigulile Amani - Mbeya Wazazi na walezi wa watoto wametakiwa kuwa makini kwa kuwalinda watoto wao ili kuweza kuepukana na matukio yasiy...

Read more » Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)
NAIBU WAZIRI IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa amekabidhi msaada wa vifaa vya kukabiliana na ugonj...

Read more » Soma zaidi »

HALMASHAURI YA WILAYA MISENYI YAKUSANYA ZAIDI YA BILIONI 2 MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020
HALMASHAURI YA WILAYA MISENYI YAKUSANYA ZAIDI YA BILIONI 2 MAPATO YA NDANI KWA MWAKA WA FEDHA 2019/2020

Halmashauri ya wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera imefanikiwa kwa kiwango kikubwa cha  ukusanyaji wa mapato ya ndani wilayani humo kutoka  bil...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YAWAKABIDHI WAVUVI INJINI ZA BOTI KUBORESHA UVUVI NCHINI
SERIKALI YAWAKABIDHI WAVUVI INJINI ZA BOTI KUBORESHA UVUVI NCHINI

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhi injini nane za boti awamu ya pili kwa wabunge wa majimbo mbalimbali kwa lengo la kuvip...

Read more » Soma zaidi »

CHADEMA MARA YAMFUTIA UANACHAMA DIWANI MARRY ELIAS NYAGABONA
CHADEMA MARA YAMFUTIA UANACHAMA DIWANI MARRY ELIAS NYAGABONA

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)  MKOA WA MARA                TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Uongozi wa Chama cha Demo...

Read more » Soma zaidi »

BEI JUU YA SUKARI YAWALIZA WANANCHI KIBAHA
BEI JUU YA SUKARI YAWALIZA WANANCHI KIBAHA

BAADHI ya maduka wilayani Kibaha yanauza sukari kwa bei ya sh. 3,200-4,000 kwa kilo ambayo ni kinyume na bei elekezi ya serikali kwa mkoa wa...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA AJIRA KWA WAUGUZI
SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA AJIRA KWA WAUGUZI

Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nc...

Read more » Soma zaidi »

BENKI KUU YA TANZANIA YASHUSHA RIBA ZA MIKOPO KWA MABENKI KUKABILI CHANGAMOTO ZA UGONJWA WA CORONA
BENKI KUU YA TANZANIA YASHUSHA RIBA ZA MIKOPO KWA MABENKI KUKABILI CHANGAMOTO ZA UGONJWA WA CORONA
Read more » Soma zaidi »

WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA
WAWILI MBARONI KWA KUJARIBU KUINGIA MBUGA ZA WANYAMA KWA UJANGILI HUKU WENGINE WAKIMBILIA NCHI JIRANI YA KENYA

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha huko kwenye kitongoji cha Oloshoo kata ya Enguserosambu Tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wamefanikiwa k...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATANO 13 MEI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATANO 13 MEI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top