Serikali imetangaza kuendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria wafanyabiashara nchini wanaotumia uwepo wa ugonjwa wa homa ya mapafu (COV...
MUUZA DUKA AFARIKI KWA AJALI YA MOTO DUKANI
Kijana Enock Asenga (17) amefariki dunia, kwa kuungua moto akiwa amelala ndani ya duka alilokuwa akiuza lililopo eneo la Sanawari jijini Aru...
JPM AMTUMBUA DKT. NDUNGULILE, AMTEUA DKT. MOLLEL
Rais Magufuli amemteua Dkt. Godwin Mollel (Mbunge wa Siha) kuwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuanzia le...
KENYA YAFUNGA MIPAKA YAKE KATI YA TANZANIA NA SOMALIA ILI KUKABILIANA NA CORONA
Kenya imefunga kwa muda wa siku 30 mipaka yake ya kimataifa kwenda Tanzania na Somalia kuanzia saa sita usiku wa Jumamosi Mei 16,2020. Katik...
WATU 11 WAFARIKI DUNIA MOROGORO, KATI YAO 7 WATOTO KUSOMBWA MAJI, WANNE KUANGUKIWA UKUTA
Watu 11 wameripotiwa kupoteza maisha katika matukio mawili tofauti ikiwemo watoto 7 kusombwa na maji wilayani Mvomero na huku watu wengine w...
MWANAUME ATUPWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUMWINGILIA KIMAPENZI MJUKUU WAKE WA MIAKA 5
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 ...
TRUMP FIRES STATE DEPARTMENT INSPECTOR GENERAL
Steve Linick was appointed by Barack Obama , to overseer spending and detect mismanagement at the state department. The US state department&...
FUGITIVE FÉLICIEN KABUGA ARRESTED
Rwandan fugitive Félicien Kabuga One of the world’s most wanted fugitives Félicien Kabuga, who is alleged to have been a leading figure in t...
JOTO LA UCHAGUZI MKUU: MADIWANI 8 WA CUF WATIMKIA CCM
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho na viongozi mbalimbali wa mkoa na wilaya wamewapokea madiwani 8 kutoka CUF leo Mei 16. Ma...
VIFO VYA CORONA MAREKANI VYAFIKA 88,507… TRUMP ANADAI ANAMATUMAINI CHANJO ITAPATIKANA MWISHONI MWA MWAKA HUU
Rais Donald Trump wa Marekani amesema serikali yake itawekeza kwa makampuni yote makubwa yanayofanya jitihada za kutafuta chanjo ya virusi v...
WATOTO 100 WASHAMBULISHWA NA UGONJWA UNAOHUSISHWA NA CORONA
Uingereza na Marekani watoto wengi wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe ambapo ugonjwa huo unahusishwa na Virusi vya...
ASHIKILIWA KWA KUMUUA MAMA YAKE NA KUNYWA DAMU
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Daniel Emmanuel (32) anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
RIPOTI YA AJALI ILIYOMUUA KOBE BRYANT IMETOKA
Picha ya eneo la ajali pamoja na Kobe Bryant na binti yake Gianna. Ripoti ya post-mortem ya ajali ya Helikopta iliyoua watu 9 akiwemo nguli ...
DC MTATIRO AVUNJA NDOA YA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA
Mkuu wa wilaya Tunduru, mkoani Ruvuma Julius Mtatiro amewabaini wanafunzi wawili wa darasa la saba katika shule ya msingi Mchangani wakiishi...
WATUMIA MKOJO WA NG'OMBE ILI KUZUIA CORONA
Baadhi ya wakazi wa Kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi nchini Kenya, wamelazimika kutumia mkojo wa Ng'ombe kama maji ili kuosha mikon...
WAGONJWA WA MOYO WAPUNGUA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA HOFU YA CORONA
Wagonjwa wenye matatizo ya moyo, kisukari, shinikizo la juu la damu, figo na saratani wameshauriwa kuhudhuria kliniki zao bila kukosa ili ku...
WASAMARIA WEMA WAFANIKISHA MATIBABU YA MTOTO ALIYEZALIWA NA MATATIZO YA MOYO
Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina tunalo) ambaye alizaliwa na tatizo la moyo aliloishi nalo kwa miaka yote hiyo, ametibiwa kwa mafanik...
UTEUZI WA WAKURUGENZI WA MAMLAKA ZA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA – ARUSHA NA SUMBAWANGA
Waziri wa Maji Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb) amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira za Arusha na...
WAGONJWA WA CORONA NCHINI UGANDA WAFIKA 203 BAADA YA WENGINE 43 KUONGEZEKA
Wizara ya Afya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa wapya 43 wa corona wote wakiwa ni madereva wa malori na kufanya jumla ya maambukizi ...
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO: “NIMERIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI SKIMU YA UMWAGILIAJI MVUMI”
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya amesema ameridhishwa na hatua ya ujenzi wa skimu ya umwagiliaji kijiji cha Mvumi wilaya ya Kilosa...
WATANZANIA WALIOKWAMA INDIA WAREJEA NCHINI, KUISHUKURU SERIKALI
Ubalozi wa Tanzania nchini India, kwa kushirikiana na Shirika la Ndege la Tanzania (Air Tanzania) pamoja na Diaspora wa Tanzania nchini Indi...
VIONGOZI WA TFF WAHOJIWA NA TAKUKURU KWA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF kuzirejesha fedha wali...