} });
 
IDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAPUNGUA NCHINI
IDADI YA WAGONJWA WA CORONA YAPUNGUA NCHINI

Rais Dk John Magufuli amesema idadi ya wagonjwa wa COVID- 19 imepungua sana kwenye hospitali nchini. Amesema kama hali ya sasa itaendelea kw...

Read more » Soma zaidi »

CORONA TANZANIA: VYUO KUFUNGULIWA, UTALII BILA KARANTINI
CORONA TANZANIA: VYUO KUFUNGULIWA, UTALII BILA KARANTINI

Rais, Dkt. Joh Pombe Magufuli ametangaza kuwa endapo hali ya maambukizi ya virusi vya corona itaendelea kupungua kama ilivyo sasa, siku za h...

Read more » Soma zaidi »

“HELA ALIZOTOA RAIS MAGUFULI HAZIKUINGIA KWENYE AKAUNTI YA TFF”
“HELA ALIZOTOA RAIS MAGUFULI HAZIKUINGIA KWENYE AKAUNTI YA TFF”

Shirikisho la soka nchini (TFF) limesema Shilingi Bil 1 zilizotolewa na Rais Magufuli kwaajili ya maandalizi ya Fainali za AFCON U17 mwaka j...

Read more » Soma zaidi »

'HAKUNA IBADA YA EID KITAIFA' - BAKWATA
'HAKUNA IBADA YA EID KITAIFA' - BAKWATA

Mufti Mkuu wa Tanzania Aboubakari Zuberi Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA), limeeleza hakutakuwa na Swala ia Eid ya Kitaifa wala Bara...

Read more » Soma zaidi »

'BAADA YA WIKI TUTAANGALIA KURUHUSU MICHEZO' - JPM
'BAADA YA WIKI TUTAANGALIA KURUHUSU MICHEZO' - JPM

Rais Magufuli amesema kuanzia wiki ijayo kama maambukizi ya Corona yataendelea kupungua, atafikiria kufungua Vyuo na kuruhusu michezo iendel...

Read more » Soma zaidi »

VIDEO: MTOTO WA MAGUFULI APONA CORONA KWA KUJIFUKIZA
VIDEO: MTOTO WA MAGUFULI APONA CORONA KWA KUJIFUKIZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema kuwa mtoto wake mwenyewe alipata maambukizi ya virusi vya corona vinavyo...

Read more » Soma zaidi »

BALOZI WA CHINA – ISRAEL AKUTWA AMEFARIKI NYUMBANI KWAKE
BALOZI WA CHINA – ISRAEL AKUTWA AMEFARIKI NYUMBANI KWAKE

Balozi wa China nchini Israel, Du Wei amekutwa akiwa amefariki dunia nyumbani kwake jijini Tel Aviv, leo, Mei 17, 2020. Jeshi la polisi nc...

Read more » Soma zaidi »

NDUGU WANNE WAFARIKI KWENYE TOPE WAKIMWOKOA MWENZAO
NDUGU WANNE WAFARIKI KWENYE TOPE WAKIMWOKOA MWENZAO

Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia Bagamoyo, walipokuwa wakivua samaki kwenye dimbwi jirani na mto na kuzama kwenye tope. Kamanda...

Read more » Soma zaidi »

UGANDA YATANGAZA KUWAACHIA HURU WAFUGWA 170 WA RWANDA
UGANDA YATANGAZA KUWAACHIA HURU WAFUGWA 170 WA RWANDA

Serikali nchini Uganda imetangaza kuwa itawaachilia huru wafungwa 170 wa Rwanda ambao wanashikiliwa katika Magereza ya nchi hiyo.  Waziri ...

Read more » Soma zaidi »

UMMY MWALIMU ATOA NENO BAADA YA UTEUZI WA NDUGULILE KUTENGULIWA, NDUGULILE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI
UMMY MWALIMU ATOA NENO BAADA YA UTEUZI WA NDUGULILE KUTENGULIWA, NDUGULILE AMSHUKURU RAIS MAGUFULI

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amemshukuru kwa ushirikiano wake aliokuwa akimpa, aliyekuwa Naibu ...

Read more » Soma zaidi »

DEOGRATIUS NSOKOLO ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA
DEOGRATIUS NSOKOLO ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA

Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma (KGPC)Deogratias Nsokolo akishukuru wajumbe wa mkutano mkuu kwa kumpa fursa ya ...

Read more » Soma zaidi »

KANISA LA KKKT LAWAPATIA WAGANGA WA JADI USHETU VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
KANISA LA KKKT LAWAPATIA WAGANGA WA JADI USHETU VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA

Katika jitihada  za kupambana na Ugonjwa wa homa kali ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzan...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 17 MEI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 17 MEI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top