Tanzania imetangaza rasmi kufungua anga lake ambalo lilikuwa limefungwa kutokana na ugonjwa wa covid 19 ambapo kwa sasa ndege zote zikiwemo ...
WAZIRI WA KILIMO AZINDUA MFUMO WA KUWAUNGANISHA WAKULIMA NA WANUNUZI WA MAZAO (MOBILE KILIMO)
Ili kukabiliana na uhaba wa masoko ya mazao ya kilimo serikali amezindua mfumo wa kutoa huduma za masoko na huduma za ugani kwa njia ya mtan...
VIDEO: TAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu huungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Maadhimisho ya Siku ...
WATATU MBARONI KWA KUDAKWA NA MTAMBO WA KUTENGENEZEA GONGO, YUMO MWANAFUNZI WA DARASA LA 6
Picha hii haiuhusiani na tukio Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu watatu akiwamo mwanafunzi wa darasa la sita kwa tuhuma za k...
WAZIRI AHIMIZA WAMILIKI WA VIWANDA KUKATA BIMA ZA MOTO
Waziri wa viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuhakikisha wanakata bima za moto ili pale wanapokumb...
HOSPITALI ZA JIJI KUBWA ZAIDI BRAZIL KUZIDIWA KWA WAGONJWA WA CORONA
Meya wa jiji kubwa zaidi nchini Brazili, Sao Paulo amesema kuwa mfumo wa afya unaweza kuporomoka huku kukiwa na ongezeko la mahitaji ya vita...
MTOTO MWENYE NGUVU ZA AJABU, MWILI WAKE UNATOA MOTO
FAMILIA moja inayopatikana Kinyanambo "A" Halmashauri ya Mji wa Mafinga mkoani Iringa, imelazimika kuishi katika mazingira magumu ...
WHO WAMFUATA RAIS MAGUFULI
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema dawa inayopulizwa mitaani katika baadhi ya nchi kama lengo la kuua virusi vya corona haisadiii chocho...
NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WADAIWA SUGU KODI YA ARDHI KUBANWA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angelina Mabula amezitaka halmashauri zote nchini kuhakikisha zinapeleka hati za mad...
STAMICO YAAGIZWA KUWACHUKULIA HATUA WATU WANAOKWAMISHA UZALISHAJI
Serkali imelitaka shirika la Madini nchini Stamico na mgodi unaomilikiwa na serkali wa Stamigold ulipo Biharamulo mkoani Kagera kuwachukulia...
ANUSURIKA KUMEZWA NA CHATU AKICHUNGA NG'OMBE LINDI
Mwanaume mmoja Hatibu Hassani (23) Mkazi wa Kata ya Wailes Katika Halmashauri ya Manispaa ya Lindi, amenusurika kumezwa na nyoka aina ya cha...
POLISI SIMIYU YAMNASA ALIYEBAKA MTOTO WA MIAKA MITANO
Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu, linamshikilia Mkazi wa Wilaya ya Bariadi, Ndamo Mabula (25) kwa tuhuma za kumbaka Mtoto mdogo wa miaka mitano...
WAGONJWA WA CORONA KENYA WAFIKA 887 BAADA YA WENGINE 57 KUONGEZEKA
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika...
KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA ATOA WITO KWA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANDA
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe ametoa wito kwa Halmashauri zote nchini kutenga maeneo maalumu ya uwekezaji k...
MAAFISA TARAFA 22 MKOANI TABORA WAKABIDHIWA PIKIPIKI ZA JPM
JUMLA ya pikipiki 22 zimekabidhiwa kwa Maafisa Tarafa 22 wa Mkoani Tabora ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta...
MRADI WA MAJI WA BIL 9.4 KYAKA- BUNAZI WASAINIWA
Serikali kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA) imesaini mkataba na Mkandarasi Kampuni ya China Civil En...
WAFANYABIASHARA WA VYUMA CHAKAVU WASISITIZWA KUFUATA SHERIA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) amesema ni wajibu wa kila mfanyabiashara wa vyuma chakavu kufuata sheria ili ku...
"HAKUNA WATU 92 WALIOKUFA KWA CORONA MOROGORO KWA WIKI MOJA ILIYOPITA" - MGANGA MKUU WA SERIKALI
Serikali imekanusha taarifa zilizotolewa na baadhi ya mitandao ya kijamii zinazosema kuwa watu 92 wamekufa mkoani kwa corona katika kipindi ...
SPIKA MSTAAFU AWAPONGEZA CHADEMA KWA HILI
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pius Msekwa, amesema kuwa CHADEMA wako sahihi kuwafukuza wanachama wake ambao wam...
AUDIO: MANARA ATAKA KOMBE LIKABIDHIWE KWA RAIS MAGUFULI
Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema endapo Simba itabeba ubingwa wa ligi ataongea na uongozi wa klabu ili ikiwezekana kombe ...
IBADA KUU YA JUMAPILI (SUNDAY CELEBRATION) 17 MAY, 2020 - TUMEFANYIKA KUWA WANA WA MUNGU
Bwana Yesu Asifiwe, karibu usikilize Neno la Mungu lililofundishwa na Mtu wa Mungu Overseer Jovin Mwemezi katika Ibada kuu ya jana Jumapili....
OFFICAL VIDEO: CHARLES JOSEPH - ACHA NIIMBE
Kutoka mjini Kahama, leo tunakusogezea video hii toka kwa muimbaji wa muziki wa Injili. Anaitwa Charles Joseph na kazi yake hii mpya inaitw...
NAIBU WAZIRI KANYASU AKERWA NA WAVAMIZI WA MAENEO YA HIFADHI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ameonesha kukerwa na baadhi ya wananchi wanaendelea kujenga nyumba na kuendes...
ARUMERU WAZINDUA KIWANDA KIDOGO CHA BARAKOA
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Jerry Muro amezindua kiwanda kidogo cha kutengeneza Barakoa (mask) ikiwa ni sehemu ya jitihada za wilaya kat...
ASKARI WA JWTZ WATAKIWA KULINDA MIPAKA NA RAIA KWA NGUVU NA GHARAMA YEYOTE
Mkuu wa mafunzo na Utendaji Kivita wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Meja Jenerali Alfred Kapinga amewataka Askari wa jeshi la Ul...