Mdau wa soka nchini Jamal Kisongo ambaye aliwahi kuwa meneja wa kiungo wa klabu ya Simba SC Said Khamis Ndemla, ametoa ya moyoni baada ya ku...
BALOZI WA KENYA AOMBA CORONA ISIHARIBU MAHUSIANO NA TANZANIA
Balozi wa Kenya nchini Tanzania Dan Kazungu ametoa wito kwa wananchi wa nchi hizo mbili kuhakikisha mlipuko wa virusi vya corona hauyumbishi...
LIVE: MUSWADA WA SHERIA YA AFYA YA MIMEA UNAJADILIWA MUDA HUU
Waziri mwenye dhamana ya kilimo, Japhet Hasunga, leo Mei 19, amewasilisha Bungeni muswada wa sheria ya afya ya mimea ya mwaka 2020.
WAKRISTO WATAKIWA KUTAMBUA MSINGI WA KANISA ALIOUWEKA YESU KRISTO
Na Imani Anyigulile - Mbeya Waumini wa dini ya Kikristo jijini Mbeya wametakiwa kutambua kuwa msingi wa Kanisa ni ule alio weka Yesu Kristo ...
WAKAZI WA MBARALI WATAKIWA KUENDELEA KUFANYA KAZI HUKU WAKIENDELEA KUJIKINGA NA CORONA
Na Imani Anyigulile - Mbeya Wananchi wilayani Mbarali mkoani Mbeya wametakiwa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi huku wakifuata taratibu za ...
SERIKALI YAWAKATA WAKULIMA SHINYAGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA VIWANDA
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe katikati akiangalia mashine ya kuoka mikate iliyobuniwa na Shirika l...
MAHAKAMA YAMTAKA RICK ROSS KUTOA MATUNZO YA MTOTO
Rapa Roozey Rich Forever, ametakiwa na Mahakama kutoa pesa kwa ajili ya matunzo ya watoto wake wawili aliozaa na ex-girlfriend wake Briana C...
BURUNDI KUPIGA KURA KESHO KUCHAGUA RAIS
BURUNDI inajianda kufanya uchaguzi mkuu wiki hii kuamua nani atachukua nafasi ya Rais Pierre Nkurunziza anayemaliza muda wake,baada ya miak...
FAUSTINA MFINANGA "NANDY" AANIKA THAMANI YA MJENGO WAKE
Mwanadada anayefanya vyema kwenye kiwanda cha burudani nchini, Faustina Mfinanga, maarufu kwa jina la Nandy ameweka wazi kuwa ametumia zaidi...
BOMU LAWAUA WANAJESHI SITA, NA KUWAJERUHI WANNE, PAKISTAN
Wanajeshi sita wameuawa na wanne kujeruhiwa katika mkoa wa Baluchistan unaokabiliwa na machafuko, ulioko kusinimagharibi mwa Pakistan. Gari ...
WANACHAMA 20 WA KUNDI LA KIGAIDI LA BOKO HARAM WAUAWA NA JESHI LA NIGERIA BORNO
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewaua wanachama 20 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo...
KATIBU MKUU WA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI TFF WILFREDY KIDAU AHOJIWA TAKUKURU
Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF Wilfredy Kidau amehojiwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa. Katibu mkuu huyo aliingia...
JAPAN CONTRIBUTES 3.4BN/- TO CURB MALNUTRITION IN CENTRAL ZONE
THE Japanese government has contributed $1.5 million (3.4bn/- ) to the United Nations World Food Programme (WFP) to support the implementati...
JPM’S HEALING SPEECH WIDELY APPLAUDED
RELIGIOUS leaders, academicians and political analysts have welcomed President John Magufuli’s Sunday speech, saying it raised hopes and def...
EAST AFRICAN COURT STARTS VIRTUAL HEARINGS
THE Appellate Division of the East African Court of Justice (EACJ) is starting virtual hearings this week as a measure to protect stakeholde...
MIAKA SITINI JELA KWA KUBAKA MWANAFUNZI
Mahakama ya wilaya Mkoani Singida imemuhukumu Abduli Bakari (27) kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ...
SAID NDEMLA AKUBALI KUBAKI SIMBA SC
Imeelezwa kuwa, kiungo Simba SC Said Ndemla ameongezewa mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kukipiga kwenye klabu hiyo kwenye msimu ujao ba...
WAZIRI MKUU LESOTHO AJIUZULU, TUHUMA ZA MAUAJI YA MKEWE
Waziri mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane ametangaza kujiuzulu baada ya kuhusishwa na mauaji ya mke wake wa zamani Lipolelo Thabane. Aliyekuwa...
TRUMP ATISHIA KUIONDOA MAREKANI KWENYE SHIRIKA LA AFYA DUNIANI WHO NA KUSITIOSHA MISAADA YOTE
Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiondoa Marekani kwenye Shirika la Afya Duniani WHO, akidai kuwa taasisi hiyo ya kimataifa ni kikar...
MAKAMU RAIS WA KWANZA WA SUDANI KUSINI RIEK MACHAR NA MKE WAKE WAAMBUKIZWA CORONA
Makamu Rais wa kwanza wa Sudani Kusini Riek Machar na mke wake Angelina Teny wamethibitishwa kuambukizwa virusi vya corona. Dkt. Machar alis...
UGANDA: VISA VYAFIKIA 260, RAIS MUSEVENI KUGAWA BARAKOA BURE
Rais Yoweri Museveni ametangaza kuwa serikali yake itatoa barakoa za bure kwa wananchi kuanzia miaka sita na kuendelea. Akihutubia taifa Jum...
MPANGO WA ‘BLUE PRINT’ UMEANZA KULETA NEEMA YA KIUCHUMI KWA WAFANYABIASHARA
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR -TAMISEMI) inatekeleza Mpango wa wa Uboreshaji wa Mazingira ya Biashara (BLUE PRINT) ...
HAJI MANARA APANDISHA MZUKA, ARUDISHA MAJIBU
Mkuu wa kitengo cha idara ya habari na mawasilino ya mabingwa wa soka Tanzania Bara (Simba SC) Haji Sunday Manara, amewajibu baadhi ya wadau...
MBOWE NA WENZAKE WANAVYOPAMBANA KUKWEPA JELA MIEZI 60
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine saba waandamizi wa chama hicho wamekata rufaa M...
MUSEVENI AMETANGAZA MIPAKA YAKE ITAENDELEA KUFUNGULIWA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza mipaka yake itaendelea kufunguliwa, akidai kwamba hawezi kusukumwa na hasira za raia kuifunga kwa...
TRUMP ASEMA ANATUMIA HYDROXYCHLOROQUIN KUJILINDA NA COVID-19
Rais Donald Trump wa Marekani amesema anatumia dawa ya hydroxychloroquine ya kutibu Malaria, kujilinda na maambukizi ya virusi vya corona. ...
NCHI 11 ZA ULAYA ZAAMUA KUFUNGUA TENA MIPAKA
Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali mashar...
MKUU WA MKOA WA TANGA APIGA MARUFUKU MAGARI YA MIZIGO YA KENYA KUINGIA NCHINI TANZANIA
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigella ameziagiza mamlaka zote zilizopo katika mpaka wa Horohoro mkoani Tanga kutoruhusu gari lolote kuingi...
MBUNGE WA KILOMBERO, PETER LIJUALIKALI AMWAGA MACHOZI BUNGENI AKIOMBA KUHAMIA CCM
Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kupitia Chadema, amemwaga chozi ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akitangaza kujiondoa Ch...
SPIKA NDUGAI ASISITIZA MBOWE NI LAZIMA ARUDISHE PESA
Spika wa Bunge, Job Ndugai amemtaka Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kurejesha Tsh milioni mbili alizopewa na Bunge ili kuhudhuria vikao...