Serkali mkoani Geita imeanza kugawa vitambulisho zaidi ya elfu sitini kwa wafanyabishara wadogo kwa wilaya tano za mkoa huo huku ikitumia mf...
'CORONA' SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO) LAKUBALI KUCHUNGUZWA
Shirika la Afya Duniani limekubali kuanzisha uchunguzi ufanywe dhidi yake kuhusu namna lilivyoushughulikia mzozo wa virusi vya corona, kati ...
MAGUFULI AYAMALIZA NA KENYATTA “HAIWEZEKENI KILA DEREVA ANA CORONA”
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, dkt. John Magufuli amesema tayari ameongea na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu na kum...
DILUNGA KUBAKI SIMBA SC KWA MIAKA MIWILI
Kiungo mshambuliaji wa mabingwa wa Tanzania bara Simba SC, Hassani Dilunga, amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuendelea kukipiga Msimbazi ...
MPIANA MONZIZI ANASUBIRI MUDA MUAFAKA
Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo Mpiana Monzizi amefichua kuwa anasubiri kumalizika changamoto ya Corona ili aweze kuja nchini kujiunga...
KOCHA MSAIDIZI BURNLEY AUGUA CORONA
Baada ya EPL kuthibitisha kuwa jumla ya viongozi na wachezaji 748 wamepimwa Corona na kukutwa watu 6 kati ya hao wana maambukizi. Burnley ...
NCCR MAGEUZI YAANZA KUIMARISHA NGOME KANDA YA ZIWA, YANG'OA VIONGOZI CHADEMA (+PICHA)
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Shinyanga Mjini, Charles Shigino na Operation Kamanda Chade...
VIDEO: RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MBAMBALI AKIWA NJIANI AKITOKEA CHATO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 may 2020 akizungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali w...
HAFTAR FORCES PULL OUT OF PARTS OF LIBYA'S TRIPOLI
Members of Libya's internationally recognised government flash victory signs after taking control of Watiya airbase, southwest of Tripol...
EIGHT AFGHAN SOLDIERS DIE FIGHTING OFF TALIBAN ATTACK ON KEY CITY
Afghan security forces sit in a Humvee vehicle amid ongoing fighting between Taliban militants and Afghan security forces in Kunduz on May 1...
WATU 20 WAMEUAWA KATIKA MASHAMBULIZI YALIOENDESHWA NA BOKO HARAMU NCHINI NIGERIA
Watu 20 wameripotiwa kuuawa katika mashambulizi yaliotelekezwa na wanamgambo wa kundi la Boko haramu katika jimbo la Borno na Yobe nchini N...
TROY DEENEY: SITARUDI KWENYE MAZOEZI
Nahodha wa Watford Troy Deeney amesema hatarudi mazoezini kwa sababu anahitaji kulinda afya ya familia yake wakati huu wa janga la virusi vy...
WATU MILIONI 60 HATARINI KUKUMBWA NA UMASIKINI MKUBWA
Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass ameonya kuwa kutokana na janga la virusi vya corona watu takriban Milioni 60 wapo hatarini kukumb...
SHIBOLI: NIPO HURU, NAMKARIBISHA YOYOTE
Mchezani wa zamani wa klabu za Simba, Coastal Union, JKT Tanzania na Dodoma Jiji, Ally Ahmed Shiboli amesema kwa sasa yupo huru baada ya ugo...
RC GAMBO AELEZA NAMNA KENYA INAVYOTUMIA CORONA KUUA UTALII TANZANIA KWA KUTOA TAARIFA ZA UONGO KUHUSU MADEREVA WA TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kuwa mamlaka nchini Kenya zimekuwa zikitangaza kuwa madereva wa Tanzania wanaotaka kuingia nch...
WAKULIMA WA PAMBA MWASWA WARUDISHIWA FEDHA WALIZODHULUMIWA
Baada ya vuguvugu la wakulima wa Pamba wilayani Maswa mkoani Simiyu kudhulumiwa fedha zao na viongozi wa vyama, imeelezwa kuwa fedha hizo zi...
SIMBA SC YAJITOSA JUMLA JUMLA KWA SARPONG
Mabingwa wa soka Tanzania bara Wekundu Wa Msimbazi Simba wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Michael Sarp...
MADEREVA 21 WA KENYA WAKUTWA NA CORONA, MPAKA WA NAMANGA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ametangaza visa vipya vya Corona ambavyo vimethibitishwa katika mpaka wa Namanga vya madereva 21 wa mal...
CAS KUMALIZA UTATA JUNI 08-10
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), imesema kuwa rufaa ya klabu ya mabingwa wa soka nchini England Manchester City, itasikilizwa Juni 8...
UCHAGUZI MKUU BURUNDI LEO, BAADA YA NKURUNZIZA KUONGOZA MIAKA 15
Wananchi nchini Burundi wanafanya uchaguzi kuandika historia mpya katika safari ya democrasia leo Mei 20 baada ya Pierre Nkurunziza kuwaongo...
SPIKA NDUGAI NA CECIL MWAMBE WASHTAKIWA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA
Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai (MB) na aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Ndanda...
TBS YATAJA MAMBO 7 YA KUZINGATIA KWA WAZALISHAJI NA WATUMIAJI WA BARAKOA ZA VITAMBAA
Katika kuendelea kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona nchini, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa vigezo vinavyotakiwa kuzin...
SUDANI YAAMRIWA KUWALIPA FIDIA WAATHIRIKA WA SHABULIZI LA MABOMU UBALOZI WA MAREKANI KENYA NA TANZANIA LILILOFANYWA NA AL-QAEDA
Mahakama Kuu nchini Marekani imeaiagiza Sudani kuwalipa fidia waathiriwa wa shambulio la mwaka 1998 katika balozi za Marekani Nairobi nchin...
WHO: KUPULIZIA DAWA YA KUUA VIUATILIFU BARABARANI, SOKONI (FUMIGATION) HAKUONDOI VIRUSI VYA CORONA
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuwa zoezi la kupulizia dawa ya kuua viuatilifu(fumigation) barabarani au sokoni hakuondoi virusi vy...
RC MALIMA: MARUFUKU MADEREVA WA MALORI TOKA KENYA KUINGIA TANZANIA KUPITIA MPAKA WA SILALI
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima amezuia madereva wa malori ya mizigo kutoka Kenya kuingia nchini Tanzania badala yake mizigo hiyo ishushw...
MBUNGE WA IRINGA MJINI PETER MSIGWA AMUOMBA RADHI ABDULRAHMAN KINANA KWA KUMKASHIFU NA KUMCHAFUA
Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa amemwomba radhi Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kutokana na kauli...
WAZAZI, WALEZI WAHIMIZWA KUVAA BARAKOA WANAPOPELEKA WATOTO KLINIKI
Muuguzi wa Zahanati ya Madizini, Wilayani Mvomero Bi. Eliainenyi Tarimo akijaza taarifa kwenye rejesta ya kliniki ya watoto. WAZAZI na walez...
SERIKALI YASISITIZA KUTOA USHIRIKIANO KWA WASANII
Serikali imesisitiza kuendelea kutoa ushirikiano kwa wasanii kupitia vyombo na idara zake zinazosimamia sekta hiyo ili kusaidia kazi zao kuf...
MKUCHIKA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA YA NDEGE ZA SERIKALI
Serikali imezindua Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Ndege za Serikali ambayo itakuwa na jukumu la kumshauri Waziri mwenye dhamana juu ya namna b...
RC MAKONDA AWATAKA WALIOFUNGA BAA, MAHOTELI KISA CORONA WAFUNGUE WACHAPE KAZI, WALIOKIMBILIA MIKOANI PIA WARUDI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda amewaelekeza Watu wote waliofunga Hotel, Migahawa na sehemu za biashara kutokana na hofu ya ...
WIZARA YA KILIMO YAWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA AFYA YA MIMEA NA.2 WA MWAKA 2020
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe.Japhet Hasunga amewasilisha bungeni jijini Dodoma Muswada wa Sheria ya Afya ya Mime...
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO: SERIKALI HAITOONGEZA MUDA KWA WAKANDARASI WALIOZEMBEA KUMALIZA SKIMU ZA UMWAGILIAJI
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya, tarehe 19 Mei, 2020 ameonya wakandarasi wanne waliochelewesha kumaliza miradi ya ujenzi wa skimu...
WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MWENYEKITI MSTAAFU WA BARAZA LA WAZEE DODOMA, BALOZI, JOB LUSINDE
Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, M...
VIDEO: WAZIRI MKUU AWASIMAMISHA KAZI WATUMISHI WATATU TEMESA, ATOA ONYO KWA MTENDAJI MKUU WA TEMESA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa ...