BAADA ya Rais John Magufuli kuruhusu michezo yote kuendelea kuanzia Juni Mosi, Promota wa ngumi za kulipwa hapa nchini Ally Mwanzoa amesema ...
WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA VIZURI OFISI ZA WANASHERIA
Na Imani Anyigulile - Mbeya Wananchi jijini mbeya wametakiwa kuzitumia vizuri ofisi za wana sheria ili kutatua masuala mbalimbali mbali kati...
WAKULIMA WATAKIWA KUJIFUNZA KUWEKA AKIBA “ITAWASAIDIA KWENYE MAJANGA”
Wakulima wa Vyama vya Ushirika nchini wamepewa wito wa kuboresha maisha yao kwa kuweka akiba baada ya msimu wa mavuno ya mazao yao ili akiba...
MAREKANI KUIPA TANZANIA BILIONI 5.6 ZA ZIADA KUSAIDIA KUPAMBANA NA CORONA
Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 2.4 (Takriban...
NDEGE YATUA MWANZA KUBEBA MINOFU YA SAMAKI, MHANDISI STELLA MANYANYA ATANGAZA SOKO LA SAMAKI WA KANDA YA ZIWA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mhandisi Stella M. Manyanya ametangaza fursa za soko la samaki kanda ya ziwa. Mhe. Manyanya ameyase...
VIDEO: POLEPOLE 'AMVAA' MBOWE, ZITTO KABWE...."WALITAKA TUFUNGIWE, TUNGEKULA WAPI?"
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema anawashangaa viongozi wa upinzani ambao walikuwa wakiko...
MAWAZIRI 10 WAAMBUKIZWA CORONA SUDAN KUSINI
Mawaziri 10 wameambukizwa virusi vya corona nchini Sudan Kusini, msemaji wa serikali ameithibitishia BBC. Waziri wa Habari wa Sudani Kusini...
SERIKALI YA TANZANIA YARUHUSU LIGI KUU NNE KUANZA KUCHEZWA KUANZIA JUNI MOSI
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza leo Jijini Dodoma na Waandishi wa Habari kuhusu mfumo utak...
WAFANYAKAZI AKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) WAJADILI UFANISI WA KAZI NA MASLAHI YAO
Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) umejadili kwa kina ufanisi wa kazi pamoja na msisitizo kuhu...
TAKUKURU MANYARA YAMREJESHEA NYUMBA MAMA MJANE ALIEPORWA NA AFISA MAENDELEO YA JAMII
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Manyara (TAKUKURU) ,imefanikiwa kumrudishia Nyumba, mama mjane Antusa Duncan Kaaya,ambayo i...
KIKUNDI CHA WANAWAKE ‘WOMEN FORCE’ CHATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SHINYANGA (+PICHA)
Kikundi cha Wanawake maarufu ‘ Women Force’ kinachojihusisha na Masuala ya Hisa na Kusaidia Jamii kimetoa msaada wa vifaa kinga vyenye Thama...
TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA
Mshambuliaji wa Manchaster City, mjerumani Leroy Sane, 24, ametengewa jezi nambari 10 katika kikosi cha Bayern Munich kwa ajili ya msimu uja...
WABUNGE WAWILI WA CHADEMA WATIMKIA NCCR - MAGEUZI
Wabunge wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametangaza kuhamia chama cha NCCR Mageuzi mara baada ya bunge kumali...
ULINZI NA USALAMA SHEREHE ZA EID EL FITRI WAIMARISHWA
Jeshi la polisi Tanzamia limesema sikuku ya Eid el Fitri itasherehekewa huku dunia ikiwa imekumbwa na janga la ugonjwa wa Covid 19, hivyo wa...
MIRAJI AWATUMIA UJUMBE HUU MASHABIKI
Mshambuliaji wa mabingwa wa soka Tanzania bara Miraji Athuman ‘Sheva’ ambaye anashikilia rekodi ya kuwa ‘Super Sub’ wa kikosi cha mabingwa h...
MSHAMBULIAJI WA ROYAL FRANCS BORAINS KUTUA YOUNG AFRICANS
Kocha Mkuu wa Klabu ya Young Africans, Mbelgiji, Luc Eymael, ameweka wazi kuwa amepanga kumsajili mshambuliaji raia wa Ubelgiji, Andréa File...
ASKOFU BAGONZA AFUNGUKA TETESI KANISA KUCHOMWA “AKUMULIKAYE MCHANA…”
Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, umesema umekuwa ukipokea simu nyingi zinazoulizia kuhusu kuc...
LIGI KUCHEZWA DAR ES SALAAM, MWANZA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema mashindano manne ya soka yataanza kurindima na kisha mengine ...
WAHUDUMU WA AFYA 10,000 WAAMBUKIZWA CORONA IRAN
Naibu Waziri wa Afya nchini Iran, Qassem Janbabaei, jana ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuwa Virusi vya corona vimewaathiri wahudumu w...
BURUNDI WATAKIWA KUWA WATULIVU, MATOKEO WIKI IJAYO
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Burundi, Pierre-Claver Kazihise, ametoa wito kwa wananchi kuwa na subira, huku masanduku ya kura yakiw...
N'GOLO KANTE AHOFIA MAZOEZI CHELSEA
Kiungo wa Chelsea N’golo Kante amesita kuhudhuria mazoezi ya klabu yake katika siku ya pili kwa kile kinachoelezwa kwamba Kante bado ana hof...
DK. ABBAS: TIMU ZIANZE MAZOEZI
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dk. Hassan Abbas amezitaka timu za ligi kuu na ligi za madaraja ya chini kuanza mazo...
BENDERA YA MAREKANI YASHUSHWA NUSU MLINGOTI, MAOMBOLEZO VIFO VYA CORONA
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamar...
WAZIRI KAIRUKI AVUTIWA NA UWEKEZAJI KIWANDA CHA MAFUTA YA ALIZETI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki ameeleza kuridhishwa na hatua za uwekezaji wa ki...
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YAANZA MAANDALIZI YA MALIPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WANAOTEGEMEA KUFUNGUA JUNE 01
Tunapenda kuwajulisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa, tumeanza kufanya malipo yeny...