Hospitali na vituo vya afya vinapambana kuongeza nguvu kazi katika sekta ya afya katika kukabiliana na janga la corona. Hitaji la watoa hud...
Divine Radio Live
MWANAMKE ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHADEMA
Dk. Mayrose Majinge, amekuwa mwanachama wa kwanza wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya kuwania ...
SHEIKH KISUKE: USHIRIKIANO BAINA YA WAISLAMU, WAKRISTO UTADUMU MILELE
Mwenyekiti wa Baraza la Waislamu Manispaa ya Singida, Alhaji Sheikh Hamisi Kisuke. Umoja na ushirikiano uliopo baina ya Waislamu na Wakristo...
UKARABATI WA MV BUTIAMA, MV VIKTORIA WAKAMILIKA
Muonekano wa Chelezo (kulia) ambacho kimekamilika kwa asilimia mia moja na maendeleo ya Ujenzi wa Meli Mpya ya MV Mwanza (kushoto) ambayo...
WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI KWA LOCKDOWN WAREJEA NYUMBANI
Balozi wa Tanzania nchini Afrka Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafiris...
WEST HAM WAPO KWENYE MAZUNGUMZO NA MASHABIKI WAO
Club ya West Ham United ya England ipo kwenye mazungumzo na mashabiki wake kuona namna ya kutengeneza atmosphere uwanjani wakati wa mechi za...
ZLATAN APATA MAJERAHA YANAWEZA HITIMISHA MAISHA YAKE YA SOKA
Mshambuliaji wa AC Milan Zlatan Ibrahimovic ,38, ameripotiwa kuumia mguu wake (achilles tendon Injury) wakati akifanya mazoezi na timu yake ...
SAMATTA AFUNGA GOLI BORA LA MWAKA
Mshambuliaji wa club ya Aston Villa ya England Mbwana Samatta goli lake aliloifunga Liverpool kwenye michuano ya UEFA Champions League Novem...
VYAMA VYA SIASA VYAKUMBUSHWA KUKABIDHI RATIBA ZAO MAPEMA
Msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mtungi, amevikumbusha vyama vya siasa kukabidhi ratiba zake za mchakato wa mambo mbalimbali wanapoe...
MAAFISA WAWILI WA TRA MANYARA WADAKWA NA TAKUKURU KWA KUMUOMBA MTEJA WAO RUSHWA YA MILIONI KUMI
Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Manyara (TAKUKURU) Holle Mkungu, amesema wanatarajia kuwafikisha katika Mahakama y...
RAIS WA SUDAN KUSINI AKANUSHA KUUMWA CORONA
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba amekimbizwa nje ya Nchi baada ya kuugua corona “Acheni utoto na propa...
MPANGO WA SIRI WA OPERESHENI YA NCHI KADHAA ZA MAGHARIBI DHIDI YA LIBYA WAFICHULIWA
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamefichua mpango wa siri wa nchi kadhaa za Magharibi ikiwemo Marekani na Uingereza katika kuwaunga mkono wapi...
KAULI YA CHADEMA KUHUSU MGOMBEA URAIS
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa CHADEMA, Tumaini Makene Chama cha CHADEMA kupitia kwa Mkuu wa Idara ya Mawasiliano wa chama hicho,...
AJALI ZA BARABARANI ZATAJWA KAMA SABABU NAMBA MOJA YA VIFO VYA WATOTO WA MIAKA 5 HADI 14
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Ajali za Barabarani zimetajwa kuwa kama sababu namba moja ya vifo kwa watoto wa umri kati ya miaka 5 had...
WHO YASITISHA MAJARIBIO YA HYDROXYCHLOQUINE KAMA TIBA YA CORONA
Shirika la Afya ulimwenguni WHO, limesema linaahirisha majaribio ya dawa ya hydroxychloroquine kama tiba ya ugonjwa wa COVID-19. Mkuu wa sh...
CHINA YATISHIA KULIPIZA KISASI KWA MAREKANI
China imetangaza kulipiza kisasi kama Marekani itajiingiza katika masuala ya nchi yake hasa eneo lake la Hong Kong baada ya nchi hiyo kuiony...
RAGE: TAKUKURU WAMENIKUTA MSIKITINI
MDAU maarufu wa masuala ya soka nchini na mchezaji wa zamani wa Simba SC, Ismail Aden Rage, amekana kukamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamb...
KUHUSU LIGI KUCHEZWA KITUO 1, KLABU YAMUOMBA WAZIRI
Baadhi ya klabu za Ligi Kuu Tanzania bara zimeonekana kulalamikia gharama zitakazojitokeza pindi ligi itakapoendelea kwa kuchezwa katika kit...
TETESI ZA SOKA ULAYA LEO JUMANNE 26 MEI, 2020
Everton imewasilisha ombi la £40m kumsaini kiungo wa kati wa Napoli, Allan, 29, lakini klabu hiyo inataka dau la £60m kumuuza raia huyo wa B...
ASKARI ALIYEMUOKOA KICHANGA KWENYE SHIMO LA CHOO ASIMULIA, AELEZEA MAISHA YAKE
Askari wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji, Danis Minja ameeleza jinsi alivyofanikiwa kumuokoa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja aliyekuwa ametu...
WANACHAMA WA CHADEMA WAMTAKA MUSA NDILE AGOMBEE UBUNGE SUMBAWANGA MJINI
Musa Ndile Wanachama wa Chadema kutoka kata 19 zilizopo katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamemuomba Musa Ndile (35) aweke nia ya k...
WATU 7 WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI WAUAWA DAR ES SALAAM
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi saba na kufanikiwa kukamata silaha ndogo Bastola aina ya BERETA ...
HUYU NDIYE MWANAMKE ANAYEJULIKANA KWA KUPIGWA BUSU MARA NYINGI ZAIDI DUNIANI
Wakati flani katika karne ya 19, mwili wa msichana mdogo ambaye alikuwa amekufa maji uliopolewa katika mto Seine. Kama ulivyokuwa utamaduni ...
TUME YA UCHAGUZI YAMTANGAZA EVARISTE NDAYISHIMIYE KUWA MSHINDI WA URAIS BURUNDI
Evariste Ndayishimiye Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa ...