} });
 
AFGHANISTAN YAWAACHIA HURU WAFUNGWA 900 WA TALIBAN
AFGHANISTAN YAWAACHIA HURU WAFUNGWA 900 WA TALIBAN

Serikali ya Afghanistan imewaachia huru wafungwa 900 wa Taliban, kama ishara ya nia njema kufuatia uamuzi wa Taliban kusitisha mapigano. Kul...

Read more » Soma zaidi »

MSANII IDRIS SULTAN AFIKISHWA MAHAKAMANI…. APATA DHAMANA
MSANII IDRIS SULTAN AFIKISHWA MAHAKAMANI…. APATA DHAMANA

Msanii Idris Sultan  amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka yanayomkabili baada ya kushikiliwa na Polisi kwa takriban...

Read more » Soma zaidi »

TAFITI KATIKA VYUO VYA KILIMO KUTIMIZA ADHMA YA UCHUMI WA VIWANDA
TAFITI KATIKA VYUO VYA KILIMO KUTIMIZA ADHMA YA UCHUMI WA VIWANDA

SEKTA ya Kilimo nchini imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla hususan katika wakati huu ...

Read more » Soma zaidi »

NHIF TANGA YAKABIDHI MASHUKA 50 KWA WILAYA YA PANGANI
NHIF TANGA YAKABIDHI MASHUKA 50 KWA WILAYA YA PANGANI

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) umekabidhi mashuka 50 kwa ajili ya vituo vya kutoka huduma ya Afya wilayani Pangani ikiwa...

Read more » Soma zaidi »

LIJENDARI WA MANCHESTER CITY GLYN PARDOE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 73
LIJENDARI WA MANCHESTER CITY GLYN PARDOE AFARIKI AKIWA NA MIAKA 73

Beki wa zamani wa Manchester City Glyn Pardoe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.  Pardoe amecheza mechi 380 akiwa na Manchester City...

Read more » Soma zaidi »

MWENDESHA BAISKELI MAARUFU 'DALADALA' AKUTWA AMEFARIKI DUNIA SHINYANGA MJINI
MWENDESHA BAISKELI MAARUFU 'DALADALA' AKUTWA AMEFARIKI DUNIA SHINYANGA MJINI

Mwendesha Baiskeli Maarufu ‘Daladala’ aliyejulikana kwa jina la Wakaka Kusaba anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 hadi 35 amekutwa amefar...

Read more » Soma zaidi »

JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LAKAMATA MAGARI 17 YA WIZI
JESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LAKAMATA MAGARI 17 YA WIZI

Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma limekamata magari 17 yadhaniwayo kuwa ya wizi katika msako wa siku nne uli...

Read more » Soma zaidi »

MKEMIA FIDELIS SEGUMBA ATOA USHAHIDI KESI YA SHAMIM MWASHA NA MUMEWE
MKEMIA FIDELIS SEGUMBA ATOA USHAHIDI KESI YA SHAMIM MWASHA NA MUMEWE

Mkemia, Fidelis Segumba amedai mahakamani kwamba katika bahasha tano alizochunguza katika kesi ya Shamim Mwasha na mumewe, mbili zimebainika...

Read more » Soma zaidi »

AUSTRALIA YAANZA JARIBIO LA KWANZA LA CHANJO YA CORONA
AUSTRALIA YAANZA JARIBIO LA KWANZA LA CHANJO YA CORONA

Mkurugenzi wa utafiti wa kampuni ya biotechnology Novavax, yenye makao makuu nchini Marekani, Gregory Glenn ametangaza kwamba awamu ya kwanz...

Read more » Soma zaidi »

YOUNG AFRICANS KUANZA MAZOEZI LEO
YOUNG AFRICANS KUANZA MAZOEZI LEO

Kikosi cha Young Africans kinatarajia kuanza mazoezi yake leo (Mei 27, 2020) chini ya kocha msaidizi Charles Boniface Mkwasa. Mazoezi yatafa...

Read more » Soma zaidi »

JESHI LA POLISI: IDRIS SULTAN ALIJARIBU KUHARIBU USHAHIDI
JESHI LA POLISI: IDRIS SULTAN ALIJARIBU KUHARIBU USHAHIDI

Mchekeshaji Idris Sultan anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za makosa ya kimtandao likiwemo la kujaribu kuharibu ushahidi....

Read more » Soma zaidi »

DODOMA FC KUANZA MAZOEZI ALHAMISI
DODOMA FC KUANZA MAZOEZI ALHAMISI

Uongozi wa timu ya Dodoma FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL) umepanga kikosi chao kuanza mazoezi rasmi Mei 28 kujiandaa na mechi za...

Read more » Soma zaidi »

RC CHALAMILA AKAGUA MAENDELEO YA UTALII FUKWE ZA ZIWA NYASA
RC CHALAMILA AKAGUA MAENDELEO YA UTALII FUKWE ZA ZIWA NYASA

Mkuu wa Mkoa (RC) wa Mbeya, Albert Chalamila jana alifanya ukaguzi wa Fukwe za Ziwa Nyasa, hususan eneo la Matema wilayani Kyela kwa lengo l...

Read more » Soma zaidi »

WATANZANIA 16 WAKUTWA NA CORONA UGANDA
WATANZANIA 16 WAKUTWA NA CORONA UGANDA

Baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita, Uganda imetangaza wagonjwa wapya 31 wa covid -19 waliopatikana na kufanya jumla y...

Read more » Soma zaidi »

NDAYISHIMIYE AHUTUBIA TAIFA KWA MARA YA KWANZA KAMA RAIS
NDAYISHIMIYE AHUTUBIA TAIFA KWA MARA YA KWANZA KAMA RAIS

Hutuba ya kwanza ya Rais mteule wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amesema ushindi wake ni wa raia wote waliomchagua na ambao hawakumchagua. ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATANO 17 MEI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATANO 17 MEI, 2020
Read more » Soma zaidi »
 
Top