Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, amekagua hosteli za wanafunzi zilizotumika kama karantini kwaajili...
NDALICHAKO: MARUFUKU WANAFUNZI KWENDA SHULE NA TANGAWIZI, MALIMAO, NA SPRITI
Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako, amepiga marufuku vyuo na shule zenye wanafunzi wa kidato cha sita zitakazofunguliwa Juni 1, kuzgiza ...
IANIS HAGI KUBAKI IBROX STADIUM
Uongozi wa klabu ya Rangers ya Scotland umefanikiwa kumsainisha mkataba wa kudumu mshambulaiji wa pembeni kutoka nchini Romania, Ianis Hagi....
SHAH MJANJA: LIGI KUCHEZWA MKOA MMOJA SAWA NA KUCHEZA UGENINI
Maamuzi ya michezo ya Ligi Kuu kuchezwa jijini Dar es salaam, yamepokelewa tofauti na mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Mbeya City F...
SERIKALI YATOA SABABU KUCHELEWA UZALISHAJI SUKARI KIWANDA CHA MKULAZI
Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba ametaja sababu za kuchelewa kuanza kwa uzalishaji wa Sukari kupitia kiwanda cha Mkulazi ulioanza kuteke...
BAHATI VIVIER: KUNA JAMBO LA KUREKEBISHA
Kocha Msaidizi wa Azam FC, Mrundi Bahati Vivier, ameona utofauti wa utimamu wa miili ya wachezaji wake katika mazoezi yao ya kwanza ambayo ...
MTUHUMIWA MKUU MAUAJI YA KIMBARI AKANA MASHTAKA “SIJAUA WATUSI WOWOTE”
Mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Felicien Kabuga, ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache...
MOROGORO: MCHUNGAJI AFANYA MAOMBI KWA KUWAINGILIA KIMWILI WAUMINI, MWANAFUNZI APATA MIMBA
Mchungaji wa Kanisa la Mlango wa Ukombozi Gairo mkoani Morogoro, Joseph Gervas (28), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumpa mimb...
MASAU BWIRE AHOFIA LIGI KUU KUCHEZWA DAR ES SALAAM
Mkuu wa Idara Ya Habari Na Mawasiliano ya klabu ya Ruvu Shooting Masau Bwire, ametoa maoni kuhusu maamuzi ya michezo iliyosalia ya ligi kuu ...
TRUMP ATISHIA KUFUNGA MITANDAO YA KIJAMII NCHINI MAREKANI
Rais wa Marekani Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White Ho...
HALIMA MDEE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU KATIKA KESI YA KUTOA MANENO YA KUUDHI DHIDI YA RAIS
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemkuta na kesi ya kujibu, Mbunge wa Kawe, Halima Mdee, katika kesi ya uchochezi ya kutoa maneno ya kuudhi...
MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI
Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchin...
MWANAMKE AUA MWANAE NA KISHA KUMZIKA BAADA YA KUTELEKEZWA NA MWANAUME ALIYEMPA MIMBA
Mkazi wa kijiji cha Seke Ididi wilayani Kishapu mkoani shinyanga Lucia Lukenya (42) kwa tuhuma ya kumuua na kisha kumzika mwanae mwenye jins...
MKWASA: WACHEZAJI WAMEPOTEZA UWEZO WA KUMILIKI MPIRA
Kocha msaidizi wa Young Africans, Charles Boniface Mkwasa amesema amegundua mambo mawili, baada ya kuanza mazoezi ya kikosi cha klabu hiyo j...
WAFANYAKAZI WANNE EPL WAGUNDULIKA KUWA NA CORONA
Round ya tatu ya upimaji wa virusi vya Corona EPL kwa wafanyakazi 1008 wa Vilabu vya Ligi Kuu England umefanyika Jumanne na Jumatano na wafa...
MASHITAKA MAWILI YANAYOWAKABILI IDRIS SULTAN NA MWENZAKE
Msanii wa vichekesho, Idris Sultan, na mwenzake, Innocent Maiga wamefikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo Mei 27, 2020, na kusomewa mashtak...
MABASI YA MWENDOKASI YAAGIZWA KUREJESHA HUDUMA YA USAFIRI KAMA KAWAIDA KABLA YA JUNE 01
Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDA...
VYUO VIKUU ZANZIBAR KUFUNGULIWA JUNI MOSI, MICHEZO KUANZIA TAREHE 5 JUNI, 2020
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyu...
TAKUKURU YAANZA KUICHUNGUZA CHADEMA KUHUSU TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha...
SADC WAPENDEKEZA KUONDOLEWA KWA VIKWAZO VYA KIBIASHARA MIPAKANI
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert Ibuge amewataka watanzania kuendelea kudumisha...
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DODOMA (+PICHA)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Uku...
WAGONJWA WA CORONA UGANDA WAFIKA 281 BAADA YA WENGINE 28 KUONGEZEKA
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza ongezeko la Wagonjwa wengine 28 na kufanya jumla ya visa vya Corona nchini humo kufikia 281. Wagonjwa ...
VIFO VYA CORONA MAREKANI VYAPINDUKIA 102,107
Idadi ya wagonjwa waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini Marekani imefika 102,107 katika kipindi cha chini ya miezi minne. Taifa ...
NEC YAKUTANA VYAMA VYA SIASA KUJADILI NA KUPITISHA KANUNI NA MAADILI KWA UCHAGUZI MKUU 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejizatiti na imejipanga kuhakikisha kuwa inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba, Sheria, Kanuni pa...
CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT) CHASEMA CORONA IMEPUNGUA SANA TANZANIA
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema kinafanya uchambuzi ili kubaini tiba mbadala ambazo zimetumika kwenye kukabiliana na virusi vya ...